Safi sana... niliwahi kuuliza kule Champlaints and Congrats why kuna ya iPhone alone!! Kina Lizzy wakadandia train kwa mbele..
mkubwanaomba unisaidie kuiupload hapa Jf, me nimeshindwa idoqnload toa play store coz play store app inazingua in my 4n, natanguliza shukrani.
Thanks Young_Master,
We will release the iPad & iPhone apps next week. We're also planning to release the BlackBerry app next week. There are some minor fixes we will apply one these apps based on customer reviews over the Android app
Blackberry??!!!
Kwa wale wanaotumia devices ambazo zinatumia operating system ya Android iwe simu ya mkononi au Tablet PC, tafadhali tembelea link ifutatayo https://play.google.com/store/apps/developer?id=Home+of+Great+Thinkers ili kuweza kudownload JF Android Application na kuinstall kwenye kifaa chako ambayo utaitumia kwa ajili ya kutembelea JF.
Pia msisahau kutoa maoni yenu kuhusiana na hii application huko kwenye Android market na sio JF kama mlivyozoea kufanya. Hii itasaidia kuweza kupata maoni yanayoeleweka ambayo pia yatasaidia kuborasha application hiyo.
Daaah wa blackberry msitusahau mkuu!
Big up mkuu@Young Master