Download free JF application for Android

Download free JF application for Android

Mkuu Young Master hii appl imegome kwenye simu yangu toka juzi apa sijui kuna tatizo gani..nimeupdate lakini bado..haifunguki...always connecting to server. Anroid version 4.1.2

Please hebu chekini kama iko okay

Cc Invisible

Mi pia natumia Android 4.1.2 ila kwangu ipo poa.. May be inaweza kuwa Mtandao unasumbua
 
Last edited by a moderator:
Mi pia natumia Android 4.1.2 ila kwangu ipo poa.. May be inaweza kuwa Mtandao unasumbua

Sante mkuu ila apa natumia jf mobile kawaidabhaina shida..inaleta notifications but siwezi kuziaccess
 
habari za leo!naomba msaada cm yangu aina ya galaxy 2inashindwa kufungua attachment nifanyeje ili niweze kufungua? msaada wakuu,tafadhali.
 
Kwa wale wanaotumia devices ambazo zinatumia operating system ya Android iwe simu ya mkononi au Tablet PC, tafadhali tembelea link ifutatayo Jamii Forums | The Home Of Great Thinkers ili kuweza kudownload JF Application for Android na kuinstall kwenye kifaa chako cha Android ambacho unakitumia kwa ajili ya kutembelea JF.

Pia msisahau kutoa maoni yenu kuhusiana na hii application huko kwenye Android market na sio JF kama mlivyozoea kufanya. Hii itasaidia kuweza kupata maoni yanayoeleweka ambayo pia yatasaidia kuborasha application hiyo.

Mkuu kwangu imasumbua ilikuwa inafanya kazi vizuri lakini sasa inakataa inatoa erro meseji fail to connect check with administrstor naimba msaada.
pia nima tatizo na play store kwani nayo imekuanzito hsifanyi kazi natumua samsung galaxy core
 
Habari Young Master na wadau wengine?
Samahani nawezaje kuona notifications.. mathalani quotes na mention. Natumia Os ya android.. simu huawei

Unatumia latest version ya JF App? If yes then jaribu ku-clear cache and data ya JF app then jaribu kutumia tena uone kama tatizo limekwisha.
 
inafanya vizuri napokea notification km nitakavyo.

ili kuidownload hakikisha hizi application una mojawapo 1.play store
2. moboginie
3.mobile market

sasa ukiwa na mojawapo ya hizo application ingia na usearch Jamiiforum kisha install ni rahisi mno
 
Unatumia latest version ya JF App? If yes then jaribu ku-clear cache and data ya JF app then jaribu kutumia tena uone kama tatizo limekwisha.

Thax mkuu. Natumia latest version.. ambayo imekuwa updated julai. Ngoja nifanyie kazi hizo option ulizonipa nitarudi na feedback. Asante sana
 
inafanya vizuri napokea notification km nitakavyo.

ili kuidownload hakikisha hizi application una mojawapo 1.play store
2. moboginie
3.mobile market

sasa ukiwa na mojawapo ya hizo application ingia na usearch Jamiiforum kisha install ni rahisi mno

Yes mkuu natumia playstore. Na nilijaribu kua un install .. nakuweka upya ili nipate new updates.. but tatizo bado lipo. Ngoja nifanyie kazi ushauri wa Young Master. I will be back
 
km tayari ulisha install zingatia ushaur wa master ikizingua hakksha ume sign in kwenye akaunt ko then fanya setting kuruhusu updates na notification
 
Back
Top Bottom