Download free JF application for Android

Michael Amon

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
8,775
3,610
Kwa wale wanaotumia devices ambazo zinatumia operating system ya Android iwe simu ya mkononi au Tablet PC, tafadhali tembelea link ifutatayo Jamii Forums | The Home Of Great Thinkers ili kuweza kudownload JF Application for Android na kuinstall kwenye kifaa chako cha Android ambacho unakitumia kwa ajili ya kutembelea JF.

Pia msisahau kutoa maoni yenu kuhusiana na hii application huko kwenye Android market na sio JF kama mlivyozoea kufanya. Hii itasaidia kuweza kupata maoni yanayoeleweka ambayo pia yatasaidia kuborasha application hiyo.
 
tatizo play store haifanyi kazi kwenye simu yangu. ina load but kudownload ndo shida

Pole sana NingaR, I wish ningeweza kukusaidia ila kwa bahati mbaya mimi situmii kifaa cha android. Ngoja niliwasilishe tatizo lako watalaamu ili nione kama kuna njia ya kuweza kutatua tatizo lako.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana NingaR, I wish ningeweza kukusaidia ila kwa bahati mbaya mimi situmii kifaa cha android. Ngoja niliwasilishe tatizo lako watalaamu ili nione kama kuna njia ya kuweza kutatua tatizo lako.

NATANGULIZA SHUKRANi
 
Last edited by a moderator:
Thank you moderators,mimi nimedownload jana hii application ya JF for android na inafanya kazi vyema kwenye simu yangu.,labda watu wengine waelewe tu kuwa android sio simu bali ni operating system inayotumika kwenye most of smart phones kwahiyo sio kila simu itaweza kuinstall hii application unless iwe na OS ya android
 
Thanks Young_Master,

We will release the iPad & iPhone apps next week. We're also planning to release the BlackBerry app next week. There are some minor fixes we will apply one these apps based on customer reviews over the Android app

Safiiii sana Inv. Can't wait for iphone app and Blackebrry's...let us know when they hit appstore and appworld.
 
Last edited by a moderator:
Thank you moderators,mimi nimedownload jana hii application ya JF for android na inafanya kazi vyema kwenye simu yangu.,labda watu wengine waelewe tu kuwa android sio simu bali ni operating system inayotumika kwenye most of smart phones kwahiyo sio kila simu itaweza kuinstall hii application unless iwe na OS ya android

mkubwanaomba unisaidie kuiupload hapa Jf, me nimeshindwa idoqnload toa play store coz play store app inazingua in my 4n, natanguliza shukrani.
 
Overview

With this JamiiForums app, you can access JamiiForums.com forums directly from your Android device.

- Send and receive PM's
- Access and post to the most recent discussions
- Read and post to JamiiForums
- View JamiiForums profiles
- Upload images, videos etc
- Customize your mobile account anywhere, anytime
Ni kipi hapo ambacho kwa sasa huwezi kukifanya kwenye android phone bila ya hiyo app? Hahahahahahaaaa....

Invisible usifute post zangu, ni majadiliano tu, usiniogope!
Hahahaaaaa...
 
Kwa wale wanaotumia devices ambazo zinatumia operating system ya Android iwe simu ya mkononi au Tablet PC, tafadhali tembelea link ifutatayo https://play.google.com/store/apps/developer?id=Home+of+Great+Thinkers ili kuweza kudownload JF Android Application na kuinstall kwenye kifaa chako ambayo utaitumia kwa ajili ya kutembelea JF.

Pia msisahau kutoa maoni yenu kuhusiana na hii application huko kwenye Android market na sio JF kama mlivyozoea kufanya. Hii itasaidia kuweza kupata maoni yanayoeleweka ambayo pia yatasaidia kuborasha application hiyo.
Mkuu nilikua natafuta hii sana, kwa ajili ya tab. yangu kwani kwenye i phone ipo poa thanks mkuu, let me try!
 
Thanks Young_Master,

We will release the iPad & iPhone apps next week. We're also planning to release the BlackBerry app next week. There are some minor fixes we will apply one these apps based on customer reviews over the Android app

Mkuu mbona ya I phone ipo kwenye store kitambo na ni bure! kwa i phone 4
 
Back
Top Bottom