Young Master msaada hapa tafadhali. Nokia Lumia 720 JF application yake inapatikana??Dah,sie wenye Nokia ndio tunapitwa na kila kitu duniani.Nokia smartphones zote ni window phones.Mie ya kwangu ndo kabisaa,Nokia N9 hata kwenye windows haipo,yenyewe ina OS ya kivyake ambayo ni some kind of linux inaitwa Meego.Mtukumbuke na sie minority jamani mkuu Young Master
Young Master msaada hapa tafadhali. Nokia Lumia 720 JF application yake inapatikana??
mm nashindwa kuweka picha kwenye simu smartphone natumia window nifanyeje?
Nashindwa kuaccess smilies zote. Zipo chache tu then nkiscroll pembeni hairespond.
Au hapo ndio mwisho?
Phone Samsung galaxy pocket