Download free JF application for Android

Kwa wale wa
naotumia devices ambazo zinatumia operating system ya Android iwe simu y

a mkononi au Tablet PC, tafadhali tembelea link ifutatayo Jamii Forums | The Home Of Great Thinkers ili kuweza kudownload JF Application for Android na kuinstall kwenye kifaa chako cha Android ambacho unakitumia kwa ajili ya kutembelea JF.

Pia msisahau kutoa maoni yenu kuhusiana na hii application huko kwenye Android market na sio JF kama mlivyozoea kufanya. Hii itasaidia kuweza kupata maoni yanayoeleweka ambayo pia yatasaidia kuborasha application hiyo.

Mkuu hivi siwezi ku download bila kuwa na google akaunta, maana nilishazoea simu ya syimbian hana masherti kwenye ku download.!
 
Kwa wale wanaotumia devices ambazo zinatumia operating system ya Android iwe simu ya mkononi au Tablet PC, tafadhali tembelea link ifutatayo Jamii Forums | The Home Of Great Thinkers ili kuweza kudownload JF Application for Android na kuinstall kwenye kifaa chako cha Android ambacho unakitumia kwa ajili ya kutembelea JF.

Pia msisahau kutoa maoni yenu kuhusiana na hii application huko kwenye Android market na sio JF kama mlivyozoea kufanya. Hii itasaidia kuweza kupata maoni yanayoeleweka ambayo pia yatasaidia kuborasha application hiyo.

mkuu hii program hipo tena?
 
Mkuu Young Master...natumia android version 4.1. Kwen galaxy s3. Of recent nimeobserve hii app inahang/freeze mara kwa mara. Msg inasema "unfortunately JF has stopped". Sasa sijui tatizo ni nini? Inaboa upo katikati ya issue afu inakuwa ivo . Sijui kama kuna ambaye ana tatizo kama hili langu?
 
Last edited by a moderator:

Inawezekana tatizo ni compatibility with that version of Android a.k.a Android Jelly Bean. Nadhani kuna haja ya ku update hii app.
 
Yeah inawezekana mkuu . Imagine hapa hata ku quote post yako inazingua haikubali kirahisi kama ilivokuwa kabla. Some homework wakuu fanyieni kazi
 
Wakuu Kaizer, Mayasa na wanaJF wote, baada ya kuitest application hiyo nimegundua kweli kuna tatizo na nimelifikisha tatizo lenu kwenye uongozi wa JF ili liweze kufanyiwa kazi haraka iwezekanavyo. Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza na utakaojitokeza. Tunaomba muwe wavumilivu wakati tunatafuta ufumbuzi wa hili swala na tutawajulisha pale mambo yatakapokaa sawa. Asante.
 
Last edited by a moderator:
Young Master tafadhali tuchekie application yetu toka juzi haifunguki.

yeah its true Mayasa, ile application kwa ajili ya mi ninayetumia Android haipatikani toka Juzi.....so natumia mobile version inapobidi kulog in kwa simu.
Young Master tunashukuru kwa kuliona hilo, tunasubiri kwa hamu ufumbuzi wake. Nitaomba pia app "mpya" muifanye compartible na Android jelly bean bana ili isiwe inanizingua tena:mvutaji:
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Young Master, mimi nimeshindwa kujua namna ya kudelete post kupitia hii App.. nikiingia kwenye "edit" sipati option ya kudelete post kama ilivyo kwenye PC
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Young Master, mimi nimeshindwa kujua namna ya kudelete post kupitia hii App.. nikiingia kwenye "edit" sipati option ya kudelete post kama ilivyo kwenye PC

Naam ni kweli mkuu. Nimegundua kuwa hakuna hiyo option ya kudelete Post. Tunashukuru kwa taarifa. Ntalifikisha hili swala kwenye uongozi wa JF ili liweze kufanyiwa kazi.
 
Young master. .. naomba ulifikishe hili mapema maana mi ninafungua hii app ila kwenye hii operation system ya jelly beans inakuwa haina uwezo wa ku-like kitu.. ukijaribu tu inajifunga yenyew mpaka u restart tena
 
Tatizo hili limeshafikishwa kwa uongozi wa JF na Invisible analishughulikia. Mtajulishwa pindi mambo yatakapokaa sawa. Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza. Asante.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom