Download free JF application for Android

Niliwaambia hamia kwenye open source platform i mean welcome kwenye android maana now days kila product mpya za simu nzuri jamaa wanaanzaga na android os ...... [like]
 
Niliwaambia hamia kwenye open source platform i mean welcome kwenye android maana now days kila product mpya za simu nzuri jamaa wanaanzaga na android os ...... [like]
ni vigu watu wote kutumia bidhaa ya aina moja maana kila mtu na chaguo lake
 
Me bna hua nabonyeza ENTER kwenye hii app mpaka screen inataka kutoboka, hali respond.
 
Mkuu nisaidie na mimi simu yangu ni Sony Ericsson P990i,nisaidie ili nijaribu kutumia hyo App.
 
Mkuu Young Master nimejalibu mara kibao kuinstall kwenye sim yangu inakubali inadownload mpaka mwisho lakini ikifika 100% inasema unsuccessful installation pls help nahisi itakuwa ni matatizo ya sim yangu
 
Msaada: Nitapaje pc suite ya android? natumia Huawei Ascend Y100 (U8185), Thanks

ukiwa na adroid hautaji pc suit, wewe unatakiwa uwe USB cable, alafu chomeka hyo cable kati ya simu yako na Pc yako, then nenda kwenye simu yako nenda setting, then nenda Wireless&network settings, then nenda Tethering&portable hotspot, then nenda uchague USB TETHERING kama unatumia usb cable, ila kama pc yako ina detect wireless click kwenye PORTABLE Wi-Fi hotspot, then utaona mambo yanakua mazuri!
 
Mkuu Young Master nimejalibu mara kibao kuinstall kwenye sim yangu inakubali inadownload mpaka mwisho lakini ikifika 100% inasema unsuccessful installation pls help nahisi itakuwa ni matatizo ya sim yangu

Inawezekana phone memory yako ni ndogo! ebu angalia phone memory yako iliyo baki na ufanye camparison na ukubwa wa application yenyewe!
 
Back
Top Bottom