Najijua
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 1,039
- 180
wadau nashangazwa na kusikitishwa sana na ukimya wa watanzania juu ya ukimya wetu, tulipiga kelele eeeehhhh kuhusu DOWANS lakini mwisho wa siku wamelipwa, watu wakafanya maandamano ila wamelipwa nasi tupo kimya kabisa.
ugumu wa maisha unapanda kila siku raia tupo kimya hakuna anayepiga kelele, ona bei ya sukari imepanda hakuna anayejigusa, Jairo karudishwa ofisin watu kimya, mafuta bei juu watu kimya.
Nimegundua sisi wapiga kelel tu action hakuna kabisa, nawasilisha