Dowans wamelipwa watu kimyaaaaaaa

Najijua

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
1,039
180
wadau nashangazwa na kusikitishwa sana na ukimya wa watanzania juu ya ukimya wetu, tulipiga kelele eeeehhhh kuhusu DOWANS lakini mwisho wa siku wamelipwa, watu wakafanya maandamano ila wamelipwa nasi tupo kimya kabisa.

ugumu wa maisha unapanda kila siku raia tupo kimya hakuna anayepiga kelele, ona bei ya sukari imepanda hakuna anayejigusa, Jairo karudishwa ofisin watu kimya, mafuta bei juu watu kimya.

Nimegundua sisi wapiga kelel tu action hakuna kabisa, nawasilisha

...Source plz

Hivi tz mabomu yanapatikana wapi?Nimelalamika imetosha,kama kuna mahal yanapatikana wenye roho ngumu tupewe,tuanze kulipuka na magamba mmojammoja,alaaaaa!

Mara hii mdororo wa uchumi duniani utaanzia kwenye nchi ya wasanii,Tanzania.

wamelipwa na symbion baada ya kuinunua

sasa symbion watamalizana na gizanesco

kiasi ni 104bil.

source;symbion contract doc.

weka jamvini hako ka-document. namaanisha kamkataba ka si-mbio-ni tukasome.

Hivi tz mabomu yanapatikana wapi?Nimelalamika imetosha,kama kuna mahal yanapatikana wenye roho ngumu tupewe,tuanze kulipuka na magamba mmojammoja,alaaaaa!

Taharir square hawakutumia mabomu wala risasi za moto. Umoja wa wanyonge naia ya pamoja ya kuondoa udhalimu ni silaha tosha.

wadau nashangazwa na kusikitishwa sana na ukimya wa watanzania juu ya ukimya wetu, tulipiga kelele eeeehhhh kuhusu DOWANS lakini mwisho wa siku wamelipwa, watu wakafanya maandamano ila wamelipwa nasi tupo kimya kabisa.

ugumu wa maisha unapanda kila siku raia tupo kimya hakuna anayepiga kelele, ona bei ya sukari imepanda hakuna anayejigusa, Jairo karudishwa ofisin watu kimya, mafuta bei juu watu kimya.

Nimegundua sisi wapiga kelee tu no actionn hakuna kabisa, nawasilisha
Mkuu Nakunga mkono,kichwa,tumbo, na miguu ila swala tuanzie wapi? roho inauma karibu ya kupasuka ila tuanzie wapi????Mungu yupo pamoja nasi ,sisi bado hatujlogwa kama wagalitia we have to fight

hata kama tutajua wamelipwa serikali ni sikivu mno kiasi kwamba hawaoni ugumu wa maisha ya watu wake

no way out hatuna la kufanya ila waje majimboni tuwashangilie kwa ngoma za makabila yetu eti kwa kazi nzuri wanayo ifanya

Wewe uliye Post Thread Hii,umepata wapi Habari hizi?na Una Uhakika na Ushahidi na unachosema????au ni majungu tu?

Similar Discussions

Back
Top Bottom