Dowans wamelipwa watu kimyaaaaaaa

Mmewachagua wasanii sasa wanasanii.Msirudie tena ee!!!!!!!

Hakuna aliyewachagua hao wasanii, na ndo wanawajibika kwao. Tuliowachaagua ndo wanawajibika kwetu. Watanzania tu wepesi wa kusahau maumivu.

Ina sikitisha sana kusikia watu na wabunge wa magamba wanasema serikali ya ccm ni sikivu. Hivi wameshafika mitaani wakaona watu wanavyo taabia na maisha kweli ? masaburi yenu

Wamelipwa lini na nani kawalipa na ni kiasi gani cha fedha wamelipwa?

Hivi na wewe unajiita mtanzania tena ni member wa jf? Oooooh my GOD! Lakini nina makosa sana kukulaumu sana ngoja nikae kimya kwa sababu bado ni usiku sana, ila kukicha utakuwa umeelewa hata kabla sijaongea kitu

Hoja zinajibiwa kwa hoja,mjibu tu jamaa yanini ukimbie hoja yake?

wadau nashangazwa na kusikitishwa sana na ukimya wa watanzania juu ya ukimya wetu, tulipiga kelele eeeehhhh kuhusu DOWANS lakini mwisho wa siku wamelipwa, watu wakafanya maandamano ila wamelipwa nasi tupo kimya kabisa.

ugumu wa maisha unapanda kila siku raia tupo kimya hakuna anayepiga kelele, ona bei ya sukari imepanda hakuna anayejigusa, Jairo karudishwa ofisin watu kimya, mafuta bei juu watu kimya.

umesahau kuwa watanza huwa tunazoea shida?

Ingia mtaani uone, wewe hatutakupiga risasi za moto, ni maji ya kuwasha kwenye ghala la silaha,ujikune hadi silaha yote inapukutika.

Acha kuutishia uma, itafika wakati tutazoea hayomaji kwani same tunashida ya maji sana, na inauma kusikia maji hayohayo yanatumika kama silaha

Hivi na wewe unajiita mtanzania tena ni member wa jf? Oooooh my GOD! Lakini nina makosa sana kukulaumu sana ngoja nikae kimya kwa sababu bado ni usiku sana, ila kukicha utakuwa umeelewa hata kabla sijaongea kitu

Aina hii ya kujibu hoja inathibitisha kuwa hata ulichoandika na mada uliyotuletea ni mwendelezo wa staili mpya ya magamba ya kutanguliza mada jf kabla hawajafanya jambo ili kucheki mwelekeo wa upepo! Sasa nenda kawaambie wawalipe hao jamaa ndio watatutambua vzuri!? You are coming with such a cheap and hollow thread and you call Urself a great thinker! Shame on U! Kweli masaburi was right!

wadau nashangazwa na kusikitishwa sana na ukimya wa watanzania juu ya ukimya wetu, tulipiga kelele eeeehhhh kuhusu DOWANS lakini mwisho wa siku wamelipwa, watu wakafanya maandamano ila wamelipwa nasi tupo kimya kabisa.

ugumu wa maisha unapanda kila siku raia tupo kimya hakuna anayepiga kelele, ona bei ya sukari imepanda hakuna anayejigusa, Jairo karudishwa ofisin watu kimya, mafuta bei juu watu kimya.

Nimegundua sisi wapiga kelel tu action hakuna kabisa, nawasilisha

kaka tatizo sio sisi wapiga kelele ila hao viongozi ambao ni wanafiki na wazandiki ndio wanaotugharimu..

Hivi tz mabomu yanapatikana wapi?Nimelalamika imetosha,kama kuna mahal yanapatikana wenye roho ngumu tupewe,tuanze kulipuka na magamba mmojammoja,alaaaaa!

kaka mabomu yanapatikana mbagala na g/mboto ..nenda waambie unataka ya kubomolea nyumba yako bila fidia, watakupa tu hawana shida yapo mengi na hayana kazi coz wanashindwa hata kuomba friend match hata na somalia matokeo yake yanatulipukia wenyewe

ulieanzisha hii thread kalisha kwanza masaburi yako chini halafu uache kutujazia nafasi kwa thread za kipuuzi

wadau nashangazwa na kusikitishwa sana na ukimya wa watanzania juu ya ukimya wetu, tulipiga kelele eeeehhhh kuhusu DOWANS lakini mwisho wa siku wamelipwa, watu wakafanya maandamano ila wamelipwa nasi tupo kimya kabisa.

ugumu wa maisha unapanda kila siku raia tupo kimya hakuna anayepiga kelele, ona bei ya sukari imepanda hakuna anayejigusa, Jairo karudishwa ofisin watu kimya, mafuta bei juu watu kimya.

Nimegundua sisi wapiga kelel tu action hakuna kabisa, nawasilisha

Ndio maana wakati mwingine huwa nakata tamaa ya kuandika nafanya tu kusoma post za watu, wengi wetu tunatumia muda mwingi kushangaa mambo tunayoyajua wazi kwamba yapo. Kwa mfano huu ni mwaka wa sita Mshikaji pale Magogoni anavurunda, utashangaa kwamba watu wengi wanashangaa ati jamaa kavurunda??? tutashangaa mpaka lini? mbona mimi sioni jipya? ina maana kwamba hatujaona tunaenda shimoni? tuamke inawezekana kabisa tusifike shimoni. Imefika mahali hata wezi wameaza kusemana wenyewe kwa wenyewe sisi bado tunashangaa, watanzania tuna matatizo gani? kwanini hatuwezi kupanga kitu kikapangika? Kwa uoga alionao huyu mpenda raha wa Magogoni tukikomaa wala hafikishi wiki huyu jamaa pale Magogoni anapakimbia, ni suala tu la mikakati midogo sana na kunia mamoja.

wadau nashangazwa na kusikitishwa sana na ukimya wa watanzania juu ya ukimya wetu, tulipiga kelele eeeehhhh kuhusu DOWANS lakini mwisho wa siku wamelipwa, watu wakafanya maandamano ila wamelipwa nasi tupo kimya kabisa.

ugumu wa maisha unapanda kila siku raia tupo kimya hakuna anayepiga kelele, ona bei ya sukari imepanda hakuna anayejigusa, Jairo karudishwa ofisin watu kimya, mafuta bei juu watu kimya.

Nimegundua sisi wapiga kelel tu action hakuna kabisa, nawasilisha

Soma signature yangu. JK kajilipa mwenyewe anachoya tu pesa kwani mtamfanya nini wakati yeye ni Fisadi papa.

Similar Discussions

Back
Top Bottom