TANESCO is worth more than those big three telecom companies put together. Hii kampuni kama ikipata mtu ambaye atai run vizuri mbona ni profitable sana?
TANESCO haiwezi ku-declare bankruptcy ina assets (14% ya Tanzanians, customers) ambao wana gurantee income kila mwezi. Wakijaribu declare bankruptcy, anachaguliwa administrator ana-run company for 12months na jamaa wanapata hela zao, on top of that administrator anaweka fees zake, (uuuuiiiii) ni very expensive kwa kampuni kama TANESCO ku-declare bankruptcy.
Kama ingekuwa ATCL wanadaiwa ndio ingekuwa cheap ku-declare bankruptcy.
TANESCO wanatakiwa wa-negotiate longtime payment, lakini inaonekana DOWANS watalipwa haraka sana kwa kuwa hii ni inside job.
TANESCO wana opportunities nyingi sana za kushinda hii kesi even now, lakini hii ni inside job kwa hiyo TANESCO lazima washindwe na DOWANS lazima walipwe.
Kwanini vyama vya upinzani visiiambie serikali sisi tutaitetea TANESCO na wa-appeal on their behalf (the problem is how many commercial lawyers ni wapinzani na je govt watakubali?)
Part II ipo mkuu invisible ameshawajibika kazi kwako mkuu.Tuwekee na hiyo Part II ili tujue moja.
OP uko vague sana kwenye swali lako na nini haswa unachotaka kutufahamisha hapa
Nimesoma lakini inaonekana kuwa doc iko incomplete. Sidhani kama kuna mtu anaweza akaja na proper legal arguments on this kwa document iliyokuwa posted na kama akija na hoja then atakuwa ana mislead wasomaji wa JF. If anything itakuwa ni ngumu hata mtu kuwa na bias (either way) kwa kuwa kilichopo hakijakamilika na kwa kuelewa types za watu wa humu ni kuwa out of 100 or so watakao download maybe ni watu 6 tu ndio watakao kuwa wameisoma the whole thing na kati ya hao maybe ni watu 4 au 3 ndio watakao kuja na proper legal arguments ambazo hazina bias na walio baki wote itakuwa yale yale ambayo tumezowea humu nayo ni:
a) CCM ni mbaya
b) JK hafai
c) DR SLAA is the right person
d) ROSTAM ashitakiwe
USHAURI:
Weka nondo nzima then watu (hatakama wachache ) waingie kazini kuja na arguments or counter arguments on this document
Kiongozi hii mambo ni zawadi tukufu kwa watanzania...Asante sana!
Kwa nini wamelazimika kutoa mifano ya kesi ambazo Tanzania imepata kushinda katika mahakama hiyo, katika kujenga hoja kuwa NI LAZIMA SERIKALI IILIPE DOWANS sasa? Is there any one with an idea, why
Hapa huwa nachanganyikiwa na kazi ya hii kamati! Hawakuliona hili??
Mkuu Ogah! pole sana ni kilio cha wote, Kuna tatizo
1. Kufanya kazi kwa mazoea
2. Kutojua mikataba ya kimataifa
3. Kuzidiwa nguvu aidha kwa makusudi au bahati mbaya, ambapo naamini kabisa kwa shirika kubwa kama hili ni uzembe
Mkuu Ogah! Mwakyembe is responsible for this, tusitete watu wa aina yake
Kwa ufahamu wa Mwakyembe alitakiwa kuonya au
1. Aidha alikosa ushirikano wa ndani ya TANESCO
2. Aliwaamini kuwa alipoishia wao wateza
3. Au alijua wazi matokeo ya kesi hii na alishindwa atapambana nalo vipi. Na kama yuko serious na uzalendo he was supposed to speak out and alert Tanzanians the danger ahead! Leo angekuwa hero!
Lazima ifike muda professionals wawe accountable na matokeo yao,
Mwakyembe ameulizwa why this happened, au ndiyo yaleyale ya kuogopa baada ya kupewa uwaziri, OK, achilia mbali Mwakyembe hata mwanasheria nguli Sitta?
Bila kuwabana hawa watu tunaendelea na tabia hii, IFIKIE MUDA WATU KUKATAA KABISA kufanyika mgongo, while we are blaming Rostam we need to reveal this Network mpaka ngazi ya chini, watu tunaweka professionals mfukoni tunapofanya kazi serious kama hii.
Kibaya ni kuwa hawa wanasheria wa TANESCO HAWAKUPEWA NGUVU na serikali na backup za kutosha, kuna kila dalili wanasheria wa TANESCO waliuziwa mbuzi kwenye gunia na Dr. Rashid!
Wakuu,
Hii ni SIRI KUBWA, hivyo tunahitaji wanasheria mtushauri kwa kusoma SIRI HII KUBWA na kuangalia kama taifa tuna pa kujinusuru au hii 2011 tuhesabu maumivu tu.
BTW: Happy New Year 2011 (with my 1st dose)
Ewe Mungu tuokoe!Kama ingekuwa ATCL wanadaiwa ndio ingekuwa cheap ku-declare bankruptcy.
TANESCO wanatakiwa wa-negotiate longtime payment, lakini inaonekana DOWANS watalipwa haraka sana kwa kuwa hii ni inside job.
TANESCO wana opportunities nyingi sana za kushinda hii kesi even now, lakini hii ni inside job kwa hiyo TANESCO lazima washindwe na DOWANS lazima walipwe.
Kwanini vyama vya upinzani visiiambie serikali sisi tutaitetea TANESCO na wa-appeal on their behalf (the problem is how many commercial lawyers ni wapinzani na je govt watakubali?)