OP uko vague sana kwenye swali lako na nini haswa unachotaka kutufahamisha hapa
Nimesoma lakini inaonekana kuwa doc iko incomplete. Sidhani kama kuna mtu anaweza akaja na proper legal arguments on this kwa document iliyokuwa posted na kama akija na hoja then atakuwa ana mislead wasomaji wa JF. If anything itakuwa ni ngumu hata mtu kuwa na bias (either way) kwa kuwa kilichopo hakijakamilika na kwa kuelewa types za watu wa humu ni kuwa out of 100 or so watakao download maybe ni watu 6 tu ndio watakao kuwa wameisoma the whole thing na kati ya hao maybe ni watu 4 au 3 ndio watakao kuja na proper legal arguments ambazo hazina bias na walio baki wote itakuwa yale yale ambayo tumezowea humu nayo ni:
a) CCM ni mbaya
b) JK hafai
c) DR SLAA is the right person
d) ROSTAM ashitakiwe
USHAURI:
Weka nondo nzima then watu (hatakama wachache ) waingie kazini kuja na arguments or counter arguments on this document
Hizi comments ni za mtu mwenye ubongo unaofanya kazi? Na cha kusikitisha ni kwamba hii listi ya watu wenye mawazo ya kifisadi kama huyu ni ndefu ... Wareboya, Kasheshe, Zitto, Uwiano maalumu....... Hawa wote wanamsifia Zitto. Kwa ushauri feki aliotoa wa kununua zile genereta. Wanataka kutuaminisha mwizi akikupora mali suluhisho lake ni kumbembeleza na kwenda kuinunua ili asikuibie tena.
Hongera kwa akili zako 100. Lipi bora kunegotiate na Mwizi au kumlipa mwizi.
Ni hivi, mwizi anakuibia, unamshtaki kwenye baraza la usuluhishi, anakushinda (kwa sababu hilo baraza la usuluhishi liko under control ya mwizi wako) halafu unatakiwa kulipa. .
I concur with uNilichojifunza kwa kusoma kurasa za hii document ya dowans,watu wako smart sana kwenye namna wanavyoibia nchi hii.
A smart move from the very beginning from people we consider stupid.
JK si mjinga,anajua anachofanya na anachotumiwa kukifanya kwa maslahi yake na waliomweka hapo.
Hivi kweli mnaamini Wanasheria wa Tanzania walioshiriki kupelekwa huko ICC na kukubali mapema kuwepo vipengele hivyo vya arbitration wakati Tanzania yenyewe inayo Mahakama ya Biashara na utaratibu wa kutatua migogoro ya kibiashara walifanya hivyo kwa sababu hawajui au hawana uwezo?
Asante sana Mkuu Mdondoaji kwa ufafanuzi zaidi..................Naomba maoni/mtizamo y/wako kuhusu the argument ya kununua ile Mitambo ya DOWANS
Hili suala ninalifanyia kazi na nitalibandika humu jamvini kwa kushauriana zaidi................................
Wakuu,
Hii ni SIRI KUBWA, hivyo tunahitaji wanasheria mtushauri kwa kusoma SIRI HII KUBWA na kuangalia kama taifa tuna pa kujinusuru au hii 2011 tuhesabu maumivu tu.
BTW: Happy New Year 2011 (with my 1st dose)