DOWANS (BEHIND THE SHADOWS): What you were not supposed to know...!

DOWANS (BEHIND THE SHADOWS): What you were not supposed to know...!

RostamAziz.jpg

Kama hujui kusoma shauri yako.........................

So what? RA is a highly successful businessman, a great politician, we have seen no opposition at his constituency. Au hayo huyapendi?
 
Dawa ni KUMKAMATA RA na kumshtaki kama MHUJUMU WA UCHUMI.

Unampa Songombingo hadi aseme wenzie ni nani.

Mambo yakiharibika, utasikia amekimbia sasa hivi au watam-Kolimba.

Jamaa ajihurumie nafsi yake na akiweza basi akimbie sasa hivi, vinginevyo, TISS wako nyuma yake.

Matumaini ya kukata tamaa....nyuma yake wafanye nini sasa??
 
unajua RA ameshinda kwa asilimia ngapi uchaguzi uliopita kulinganisha na ule wa 2005?
 
Mkuu Dar-es-Salaam, heshima mbele.

Sasa mimi nina swali kwako maana inaelekea unafahamu kwa kiasi kikubwa juu ya mambo mbalimbali yanayoendelea.

Je ni kwanini Dowans Holdings walikuwa wakitumia (kinyume na makubaliano ya mkataba wake na Tanesco) jina la Richmond Development Company?
 
Awamu ya kwanza ulijibana mwenyewe unawasingizia watu you think I will sympathize with you. Am not a loser sorry

Hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, who has asked for your sympathy? ulijibana mwenyewe? hata hujui unachokisema. Loser or not, JMK ndio Mr. President:

thumbnail.aspx
 
DSM...you are a moron...., stimulate your medulla oblongata .... you have been seduced by RA
 
So what? RA is a highly successful businessman, a great politician, we have seen no opposition at his constituency. Au hayo huyapendi?

you are a moron...., stimulate your medulla oblongata .... you have been seduced by RA
 
Mkuu Dar-es-Salaam, heshima mbele.

Sasa mimi nina swali kwako maana inaelekea unafahamu kwa kiasi kikubwa juu ya mambo mbalimbali yanayoendelea.

Je ni kwanini Dowans Holdings walikuwa wakitumia (kinyume na makubaliano ya mkataba wake na Tanesco) jina la Richmond Development Company?

Swali lako zuri sana , Richmond na Dowans ni vitu viwili tofauti. Richmond ndio iliingia mkataba wa mwanzo, baada ya kushindwa kuutekeleza, Dowans ikaununuwa huo mkataba kwa makubaliano pamoja na Tanesco kuwa, haya ndio tuliokuwa tunayahitaji kutoka kwa Richmond wameshindwa kuyatekeleza, Jee nynyi Dowans mtaweza? ndio tutaweza, wakasaini na wakatimiza yale yalio washinda Richmond.

Nadhani umeelewa, kama bado, endelea tu kuuliza.
 
you are a moron...., stimulate your medulla oblongata .... you have been seduced by RA

Hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, ahsante, wewe umesema, Mimi zangu ni facts.
 
Sikiliza, sasa hakuna cha kununuwa hiyo mitambo, hilo ni suala lilikuwa kabla hukumu haijatolewa. Ni mapendekezo ya walioona kuwa hili la kulipa gharama kibao litakuwepo ikiwa kesi itaendelezwa. Yalitukuta kwa kuvunja mkataba na IPTL hatujasoma.

Watu wanashindwa kuelewa kuwa hakuna mfanya biashara asiye taka faida, na katika hili la Dowans, mitambo ilishafikishwa pale Ubungo na ikawa-commissioned na miwili kati ya hiyo ni brand new. Leo uwaambie wafanya biashara hatuitaki, halafu wao wakae kimya, wanakutizama wanangoja wafilisike? Hakuna mahakama duniani itayoipa ushindi Tanesco kwenye kesi hii, iende itavyokwenda. Ingekuwa mitambo haijaletwa, au imletwa chini ya kiwango, au mibovu, au mitambo hewa, hapo ndio tungeweza kushinda.

Hawa mahakimu wanaotizama hizi kesi ni watu makini na wanapitia mikataba na wana-tazama real situation na wanajuwa biashara za kima-Taifa zinaendeshwaje.

Hata ukiwalaumu wana-sheria wa Tanesco, bure tu. Walijkuwa hawana cha kufanya kwa hili, na walijuwa kuwa hii kesi hatushindi, lakini na wao wamepelekewa kazi waikatae? Wangeikataa ndio hayo hayo malipo lazima, sasa wafanye nini, wajaribu bahati yao, na ndicho walichofanya. Sasa sisi tubaki na porojo tuu humu.

Mimi nasema, fungilia mbali Tanesco na waache wafanya biashara waendeshe, tena si kwa kuingia ubia au kuwapa waendeshe lakini mali yetu, hapana. Ya ama wainunuwe iwe mali yao 100% au hisa zingine wauziwe wa Tanzania, kama yalivyofanywa mashirika mengine yaliyokuwa yanatia hasara kila siku, mbona leo yanaingiza faida? simply ni kuwa, hata umuweke nani kuendesha haya mashirika ya uma hataweza! wacha wenye vipaji vyao wafunguwe mashirika. Serikali ibaki kuweka kanuni tu, kama tunavyoona kwenye mambo ya mawasiliano, lilipokuwa shirika la uma moja tu, bei za mawasiliano zilikuwa juuu sana, hamna ufanisi, una book simu leo ya kwenda nje unaweza uipate baada ya wiki. Baada ya kuruhusu mashirika binafsi ya mawasiliano si tunaona matokeo,leo mawasiliano ni rahisi kuliko miaka 30 nyuma, huoni ajabu hapo, halafu hilo shirika moja tu, likawa halina faida.

Leo hii ikiamuliwa yaje mashirika mengine ya kugawa na kufuwa umeme, utaona bei za hii nishati zitavyo poromoka na hautosikia sijui nani kaiba mitambo sijui nani kaiba transformer, sijui nani kaiba mafuta ya transformer.

Leo nilikuwa na msikiliza Mhando wa Tanesco, nikamshangaa sana, anasema wanaweka Tranformer mara tano sehemu moja na kila wakiweka inaibiwa mafuta. Yaani huu kama si upumbavu ni nini, umeshaweka mara ya kwanza, umeibiwa, ya pili umeibiwa, hujatafuta solution tu? wewe unaendelea kuweka Transformer nyingine mpaka mara tano. Halafu unakuja kujisifu kwenye TV? what a shame. Halafu ndio kampuni itaendelea kwa kuendeshwa na watu kama huyu?

Taratibu ewe DSM! Unamshangaa anaweka transformer mara 5 inaibiwa ? Tunaongelea Dowans hapa, usipindishe mada...
Hizo transformers siku hizi wanaweka dry transformers, na ikiibiwa mafuta usiporeplace ujue zaidi ya watu 200 wako gizani
Kuhusu kuleta kampuni za kuuza umeme ili bei ishuke..fanya homework wewe! Artumas wana gridi na wanafanya distribution lindi na mtwara unajua nani anatoa subsidy kujazilizia bei wanayolipa wananchi?? Yes! U got it right government!! So bei sio friendly

Acha unazi wa kushambulia vitu, watu wanakuja hapa kuinvest na kumake profit, ukisoma EWURA's display on TANESCO wameonyesha where biggest revenues goes to, yep u guessed right ! To generation to IPP's...hiyo ndio khabari...

Lastly...show me with evidence ANY country in the world that doesn't have shares in transmission lines..
Hasta la vista
Mhandisi wa umeme Nsiande.
 
Ukitaka kujua kina cha ufisadi nchi ni pale unaposoma Enclosures one and two .........ambazo kwa makusudi mazima zinatamka ya kuwa uamuzi wa Msuluhishi ni wa mwisho........hivi vifungu vinakinzana na katiba yetu kabisa.........................haiwezekani masilahi ya taifa yakamalizwa na msuluhishi na Tanesco inapokubali hivyo ni dhahiri mlungula mkubwa ulilambishwa kwao........................This is criminal negligence............................Hawa watu wote ni wa kuwasekwa mahakamani tu......................

Arbitration ni option ambayo hailazimishiwi.The faCT THAT walikubali kwenda kwenye arbitration ( which may have been stipulated in the contract to sort out misunderstandings) ina maana walikuabaliana na hivi vifungu unavyosema vinakinzana na Katiba. Mikataba mingi ina vifungu vya arbitration na assumption is that wanajua kuwa kuna huo ukinzani ( conflict).

Tusisahau pia kuwa mikataba inataja kabisa the law applicable and in this case sijui walikubaliana sheria ipi itumike.Matatizo yanaanzia kwenye deal negotiation hadi kusaini mikataba.

Kama ni ufisadi unachangiwa ama na uzembe katika negotiations au "makusudi mazima" yenye kulenga katika kufumbia macho mambo yapite na hatimaye kuleta hasara kwa taifa.

Ingekuwa vizuri sana kama wenye kuhusika na mikataba mibovu wangeadabishwa kwa namna ya kuwafanya wasikie uchungu badala ya jinsi mambo yanavyoenda ambapo mtu anaendelea kufurahia maisha huku wananchi wakiumia.
 
Either you are outright dumb or plain stupid. Umeng'ang'ana kutoa link hiyo ambayo haionyeshi majina ya wamiliki.

Nimekuwekea hapo uone kama hiyo kampuni imesajiliwa ki halali, na ukitaka kujuwa majina unakwenda pale Brela, wana fees zao, ukilipa unapewa data zote kuhusu hiyo kampuni. Na kama upo nje ya Tanzania unawasiliana nao, wanakujulisha namna ya kutuma hizo fees zao, halafu wanakupa data zooote.

Ahsante kwa kunipa sifa za u-dumb na plain stupid, the good thing is I am not a fool! sasa sijui hizo sifa ni za nani ikiwa hata hujui data za makampuni yalio sajiliwa Tanzania zinapatikanaje, si kitu. natumai ushauri niliokupa utakusaidia na kama baada ya kufanya hayo hujafanikiwa, sema tuu, ntazidi kukusaidia.
 
Arbitration ni option ambayo hailazimishiwi.The faCT THAT walikubali kwenda kwenye arbitration ( which may have been stipulated in the contract to sort out misunderstandings) ina maana walikuabaliana na hivi vifungu unavyosema vinakinzana na Katiba. Mikataba mingi ina vifungu vya arbitration na assumption is that wanajua kuwa kuna huo ukinzani ( conflict).

Tusisahau pia kuwa mikataba inataja kabisa the law applicable and in this case sijui walikubaliana sheria ipi itumike.Matatizo yanaanzia kwenye deal negotiation hadi kusaini mikataba.

Kama ni ufisadi unachangiwa ama na uzembe katika negotiations au "makusudi mazima" yenye kulenga katika kufumbia macho mambo yapite na hatimaye kuleta hasara kwa taifa.

Ingekuwa vizuri sana kama wenye kuhusika na mikataba mibovu wangeadabishwa kwa namna ya kuwafanya wasikie uchungu badala ya jinsi mambo yanavyoenda ambapo mtu anaendelea kufurahia maisha huku wananchi wakiumia.

Asante sana WoS, ndio maana mimi siamini kuwa hili ni matokeo ya bahati mbaya, kutokujua au kutokuwa na uwezo. Hakuna kitu chochote ambacho kilikuwa hakijulikani toka mwanzo. Nothing is new, ndio maana nimesema walipeni tu twende kwenye mkataba wa Airbus 320 tuwalipe.
 
Hivi babu wewe mpaka leo unasubiri kitu chenye fedha na muhimu hivi kifanyike kwa bahati mbaya? duh ndio maana nasema you are good in theories reality iko mbali sana...at least umeonyesha unahitaji "problem solving" course

In politics and business hakuna bahati mbaya kwa kila kitu especially nowdays ok?
 
Tatizo hapo sio Mkataba mbovu au Mkataba Mzima. Tatizo hapo ni umeme! Umeme leo Tanzania hatuna wa kututosha na wakati wa kuingia hii mikataba tulikuwa desperate, Richmond wakafanya madudu, Dowans wakasema sisi tutafanya, wakafanya kweli, sasa hata ukiwa na mkataba ambao si mbovu, utakataa kuwalipa gharama zao?

Mitambo wameleta, wameijaribu, tena wameileta kwa haraka sana kuliko ilivyokuwa Richmond, halafu umeshapata mvuwa, huna tatizo la umeme, ukurupuke tu, useme sasa hatuihitaji hii mitambo! khaa, hiyo mahakama ipi itakayo kwambia haya umeshinda usilipe ondoka.

Haiiingiiii akilini. Tuwe wakweli.
 
Hivi babu wewe mpaka leo unasubiri kitu chenye fedha na muhimu hivi kifanyike kwa bahati mbaya? duh ndio maana nasema you are good in theories reality iko mbali sana...at least umeonyesha unahitaji "problem solving" course

In politics and business hakuna bahati mbaya kwa kila kitu especially nowdays ok?

basi usome mtu alichoandika usisome unachofikiria ameandika. Ni wapi nimesema nafikiri kimefanyika kwa bahati mbaya?
 
Asante sana WoS, ndio maana mimi siamini kuwa hili ni matokeo ya bahati mbaya, kutokujua au kutokuwa na uwezo. Hakuna kitu chochote ambacho kilikuwa hakijulikani toka mwanzo. Nothing is new, ndio maana nimesema walipeni tu twende kwenye mkataba wa Airbus 320 tuwalipe.

Haya si matokeo ya bahati mbaya kama ambavyo hutaki kuamini. Ni nani alishikilia huu mkataba na Dowans uvunjwe? wakati mitambo tayari imeshafungwa Ubungo na imesha jaribiwa? Huyo ndio wakuadabishwa, si muuzaji wala si mnunuzi.

Aliyevunja mkataba na baada ya hapo akawa na option ya haya bwana kama tatizo kwa sasa limekwisha basi tuvunje mkataba wa kuikodisha badili yake inunuweni ili nasi tulioileta tusipate hasara! Watu wakakataa. Khee sasa jamani, hapa bado tu unalamlaumu alieleta mitambo?

Mie nashindwa hata kushangaa, sijui watu wengine fikra zetu zikoje? wanga!
 
Taratibu ewe DSM! Unamshangaa anaweka transformer mara 5 inaibiwa ? Tunaongelea Dowans hapa, usipindishe mada...
Hizo transformers siku hizi wanaweka dry transformers, na ikiibiwa mafuta usiporeplace ujue zaidi ya watu 200 wako gizani
Kuhusu kuleta kampuni za kuuza umeme ili bei ishuke..fanya homework wewe! Artumas wana gridi na wanafanya distribution lindi na mtwara unajua nani anatoa subsidy kujazilizia bei wanayolipa wananchi?? Yes! U got it right government!! So bei sio friendly

Acha unazi wa kushambulia vitu, watu wanakuja hapa kuinvest na kumake profit, ukisoma EWURA's display on TANESCO wameonyesha where biggest revenues goes to, yep u guessed right ! To generation to IPP's...hiyo ndio khabari...

Lastly...show me with evidence ANY country in the world that doesn't have shares in transmission lines..
Hasta la vista
Mhandisi wa umeme Nsiande.

Napenda kukufahamisha kuwa the point was,ikiwa hawa watu wanaoweka transformer mara tano kwa ajili ya kuibiwa mafuta na hao ndio wanaamuwa kuwa hatulipi baada kuingia mkataba, kweli hawa ni watu wa kawaida hao?

Kuhusu Artumas, wala usiseme hilo, naijuwa Artunas kuliko unavyifikiria, tena nje ndani na for your information, sijui kama ushawahi kumsikia mtu anaitwa Tony (Anthony Lee) katika wa anzilishi wa hiyo Artumas, kama unamjuwa naweza kuendelea kuongea na wewe kuhusu Artumas, kama haumjuwi sina haja ya kukupa faida ya bure. Kuhusu subsidy, kama kweli ipo, basi hayo ndio mambo ya Kikwete, au na hilo litakukera?

Ewura iwepo kuweka kanuni na standards na kulinda maslahi ya consumers, hapo hatuna utata. Leo ji kampuni kama Tanesco, limekaa miaka yote hata asilimia 20% tu ya wa Tanzania imeshindwa kuwafikishia umeme, na hao inaowafikishia umeme hauna uhakika, si ndio hao wanaoanzisha mpaka nchi inaingia mikataba isiyokuwa na mpango.

Sasa huyo Mhando alikuwa hajui kama kuna transfomer ambazo ni Dry, mpaka akae abadili mpaka zifikie tano? kama si uzembe ni nini huo? halafu anajisifu kwenye TV kwa hoja kama hiyo!

Unafikiri hawa Tanesco wangekuwa competent kwa miaka yote aliokuwepo, leo tungisikia Dowans au Richmond au IPTL.

Yes, suala ni Dowans hapa na hao Dowans waliingia mkataba (ambao unatakiwa ulipwe) na nani? Au hujui kama ni Tanesco? sasa utaongea Dowansa usiwataje Dowans au waliingia mkataba na hewa? pole sana kwa umbali wako wa kuona.

Hiyo evidence uliyoitaka mwisho mimi sina wala hujanisikia nikiitaja.
 
Anayejua haya yote ni huyu huyu GbaGbo wa Bongo, kwa hili kwake hakuna jipya yote yana baraka zake na yanahusu msako wa pesa kufidia maumivu.
 
Back
Top Bottom