DOWANS (BEHIND THE SHADOWS): What you were not supposed to know...!

i came across these documents which to some of you might cause you get angrier (i hope not at me). Our sources have become of late somewhat extraordinarily active. I would argue that these are of vital importance in the ongoing saga involving tanesco's payment to dowans holding sa.

Well, while our eyes and ears were focused in what was going on in icc arbitration, something else was going in us courts involving dowans sa and rdevco. Well, you have to read the following to know what they didn't want you to know. (they who? Dunno!)

but, please read the ruling of the icc and write down (if you can't memorize) who owns dowans tanzania limited according to those documents (pg 126 i think). Then, read these documents and ask yourself this question is the dowans tanzania limited a "whole owned subsidiary" of dowans s.a according the us documents or a company which has minority shareholders according to icc documents?

I might be wrong..for i have within my hands the articles of association of dtl... And u guessed it.

special request...magazeti yachapishe hizi nyaraka na yazichambue kwa lugha rahisi ili kila mwananchi aelewe hali halisi. Vinginvyo hizi habari zitaishia humu kwa watu wachache ambao wana uwezo wa ku-surf kwenye mtandao wa jf. Najua mafisadi watajitokeza na kusema huo ni uzushi ila ujumbe utakuwa umefika kwa wananchi na wahusika wote hasa jk.
 
Ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu ?......hivi jamani, vita vya panzi ni furaha kwa kunguru au mafahali wakipigana zinazoumia ni nyasi ? which is which ?
======

Ndugu yangu

Mafahali wapigane, nyasi zitaumia. Wakifanya mapenzi, nako pia nyasi zinaumia. Tufanyeje?
 
Hakuna cha kuwahamisha fikra, nawaambia ukweli na ukweli mtupu. Haya ya Dowans tulibishana sana humu, rejea post za nyuma, tulisema hawa jamaa, watashinda kesi, na sasa tumeona. Yaani ilikuwa haina haja hata ya kufikiria ni kitu kilikuwa wazi. Mitambo imefika, mitambo mingine ni brand new, imeletwa haraka haraka na midege mikubwa ambayo ndio mara ya kwanza ituwe kiwanjani kwetu, mi Antonov.

thumbnail.aspx

Sasa nyie kwa fikira zenu, mlitaka hawa wafanya biashara waachie tu, wasidai kusitishwa mkataba? siwaelewi!

Kama ni madudu kuhusu umeme yalifanywa toka awamu ya kwanza, ya pili, ya tatu! Huyu JMK aliyeliona tatizo akaona afanye kila njia kulitatuwa ndio kawa mbaya? na Jee, hamkuona jinsi alivyolishughulikia hilo suala? For the First Time in The History of Tanzania, Waziri Mkuu na Mawaziri wengine nje. Nani alieweza kufanya hayo kabla ya JMK?

u always talk rubbish and non sense pls cut the crap!
 
Kwa wale mliosoma nyaraka hizi mbili (za ICC na za US); Je Dowans Tanzania Limited:

a. Ni wholly subsidiary owned by Dowans SA - kwamba hakuna kampuni au taasisi nyingine yoyote ambayo inamaslahi humo? (according to US courts) au

b. Ni shareholding with minority shares ya Portek International (according to ICC documents)?
 
Inaonyesha hujasoma hizo document hapo juu, serikali ya Tanzania isingeweza kununua hizo jenereta kutoka kwa DOWANS kwani kampuni ya
REDVCO iliclaim ya kuwa hiyo mitambo ni ya kwake! Na kama serikali ingenunua hiyo mitambo kitu kingechofuata kingekuwa ni lawsuit tuu.

REDEVCO, DOWANS wote ni wafanya biashara, sidhani kama Idrissa, Zitto, Lipumba walikuwa hawayajui hayo mpaka washauri mitambo inunuliwe. Walishauri baada ya kupewa offer na wote hao kuwa mkiinunuwa kesi inakwisha kule Paris.

Hakuna mfanya biashara asiyetaka faida ya haraka haraka. Mashirika ya uma tu ya Tanzania ndio huwa hayajui biashara kwani hata leo nilikuwa namsikiliza Mhando wa TANESCO kwenye channel 10 nikaona jinsi alivyo incompetent, few minutes ziliweza kuonyesha kuwa yule hana analolijuwa kibiashara, labda theory za shule za biashara, vitu ambavyo ni tofauti na ukija kwenye msitu wa biashara.

Haya mashirika ya Uma kama hayajamalizwa kabisa, tutabaki kulalama kila siku. Tuwaachie waliozaliwa kwenye damu ya biashara waje kuziendesha hizi biashara.

Mfano, leo hii ukimuwezesha Mchaga au Mpemba yeyote mwenye biashara zake pale Kariakoo, awe hata hajasoma, umwambie tunakupa huu msingi anzisha biashara ya umeme, tutaona jinsi itavyoenda vizuri na kuwa na faida. Sasa wewe unampa mtu kuendesha biashara kubwa kama hiyo, huko alikotoka hawajawahi kufanya biashara hata ya bisi, unategemea nini?

Mfanya biashara huwa hatafuti sababu za kushindwa, mfanya biashara huiona opportunity kila kwenye tatizo. Kama hakuna matatizo hakuna opportunity. Hili ni somo kubwa sana nawapa vijana wa leo lizingatieni.

Msifate porojo za kalamu na karatasi za kutoka kwa watu ambao hata maana na asili ya neno biashara hawajui. Mkifanya hivyo mtarudia makosa aliyoyafanya Nyerere, ilhali yeye mwenyewe kausia muwache "makosa" yake. He was a man of theories which never worked in the real world, akatuwacha hata dawa za meno hatuna, hizi toilet paper zilikuwa luxury wakti waken you know why? Kwa sababu alifikiri kujaza viwanda na kutaifisha ndio suluhisho! Kumbe masikini, lile ndio kosa kubwa economically. Matokeo, ndio hapa tulipo.
 
Yaani mijitu mingine kwa kumwaga pumba! sasa hizo documents ndio zinasaidia nini na ni siri ipi? mbona zipo wazi tu hizo!

Mijitu mingine basi humu inashangilia hata haijuwi inacho-kishangilia na mkjj anawapata kweli. "ama kweli wajinga ndio waliwao".

Weye Rostam alias Dar Es Salaam, hata siku moja hujawahi kuandika chochote hapa cha kumkosoa Kikwete au kuukosoa ufisadi mbali mbali uliofanywa katika awamu ya tatu au hii ya nne ikiwemo huo wa Richmond/Dowans. Kwa vile wewe ni mmoja waliofaidika kwa kiasi kikubwa basi siku zote hupigia debe uhuni mkubwa ulifanywa katika mkataba huo wa Richmond/Dowans. Kwa taarifa yako tu sasa Watanzania tumechoshwa tena sana tu na kikundi cha wahuni wachache wanaoifanya nchi yetu kama shamba la bibi kujitajirisha kila kukicha na ndiyo maana tunafuatilia ili kuuweka uozo wote hadharani ili kuhakikisha hakuna malipo hata ya senti tano yatakayofanywa kwa kundi hilo la wahuni.

Yule Valambhia alishinda kesi yake miaka mingi iliyopita hadi leo hajalipwa, wale wastaafu wa EAC mafao yao toka jumuiya ile yalikabidhiwa kwa Serikali muda mfupi tu baada ya jumuiya ile kuvunjika mwaka 1977 lakini hadi leo hawajalipwa. Iweje leo haya malipo ya kundi hili la wahuni yanapigiwa debe la nguvu ili yafanyike haraka haraka? Kama anayestahili kulipwa kwanza basi wale Wazee wastaafu wa EAC na Valambhia wanastahili kulipwa kwanza kabla yako na mafisadi wenzio.
 
Weye Rostam alias Dar Es Salaam, hata siku moja hujawahi kuandika chochote hapa cha kumkosoa Kikwete au kuukosoa ufisadi mali mbali uliofanywa katika awamu ya tatu au hii ya nne ikiwemo huo wa Richmond/Dowans. Kwa vile wewe ni mmoja waliofaidika kwa kiasi kikubwa basi siku zote hupigia debe uhuni mkubwa ulifanywa katika mkataba huo wa Richmond/Dowans. Kwa taarifa yako tu sasa Watanzania tumechoshwa tena sana tu na kikundi cha wahuni wachache wanaoifanya nchi yetu kama shamba la bibi kujitajirisha kila kukicha na ndiyo maana tunafuatilia ili kuuweka uozo wote hadharani ili kuhakikisha hakuna malipo hata ya senti tano yatakayofanywa kwa kundi hilo la wahuni.

Yule Valambhia alishinda kesi yake miaka mingi iliyopita hadi leo hajalipwa, wale wastaafu wa EAC mafau yao toka jumuiya ile yalikabidhiwa kwa Serikali muda mfupi tu baada ya jumuiya ile kuvunjika mwaka 1977 lakini hadi leo hawajalipwa. Iweje leo haya malipo ya kundi hili la wahuni yanapigiwa debe la nguvu ili yafanyike haraka haraka? Kama anayestahili kulipwa kwanza basi wale Wazee wastaafu wa EAC na Valambhia wanastahili kulipwa kwanza kabla yako na mafisadi wenzio.

mkuu..... usihangaike sana kwani..... huyu DSM ni peremende ya RA.... nimemaliza
 
Kwa wale mliosoma nyaraka hizi mbili (za ICC na za US); Je Dowans Tanzania Limited:

a. Ni wholly subsidiary owned by Dowans SA - kwamba hakuna kampuni au taasisi nyingine yoyote ambayo inamaslahi humo? (according to US courts) au

b. Ni shareholding with minority shares ya Portek International (according to ICC documents)?

Mimi huwa nakwambia siku zote, wewe ni pumba tu. Hebu kuwa na reality japo kidogo.
Nyaraka, nyaraka, nyaraka. Nyaraka na reality ni vitu viwili tofauti. Wafanya biashara huwa hawana time na nyaraka, wanaweka watu wakushughulikia hayo ma paper work. Yanapoteza time ya biashara. Biashara ni timely decisions, na hizo decisions making instincts huwa aidha zina-rithiwa au ni kipaji maalum, hakuna chuo cha kufundisha hizo. Hiyo ndio reality.

Wewe baki na nyaraka zako na wataokusikiliza "wajinga ndio waliwao". Be realistic. Kila unavyo create problem ndio unazidi kutoa opportunities. Kwani wafanya biashara hu-create biashara kwenye matatizo.

Solution: Serikali iachane na biashara, yeyote ile, iwe ya umeme, madini au madafu. Halafu uone disaster kama hizi za Tanesco kutokea. Hutosikia ng'o na ukisikia kuna ubadhirifu ujuwe huyo aliefanya anapelekwa kwenye viombo vya haki. Mfanya biashara yupi anakubali aibiwe?? Mfanya biashara wa mashirika ya uma tu!
 
Weye Rostam alias Dar Es Salaam, hata siku moja hujawahi kuandika chochote hapa cha kumkosoa Kikwete au kuukosoa ufisadi mali mbali uliofanywa katika awamu ya tatu au hii ya nne ikiwemo huo wa Richmond/Dowans. Kwa vile wewe ni mmoja waliofaidika kwa kiasi kikubwa basi siku zote hupigia debe uhuni mkubwa ulifanywa katika mkataba huo wa Richmond/Dowans. Kwa taarifa yako tu sasa Watanzania tumechoshwa tena sana tu na kikundi cha wahuni wachache wanaoifanya nchi yetu kama shamba la bibi kujitajirisha kila kukicha na ndiyo maana tunafuatilia ili kuuweka uozo wote hadharani ili kuhakikisha hakuna malipo hata ya senti tano yatakayofanywa kwa kundi hilo la wahuni.

Yule Valambhia alishinda kesi yake miaka mingi iliyopita hadi leo hajalipwa, wale wastaafu wa EAC mafau yao toka jumuiya ile yalikabidhiwa kwa Serikali muda mfupi tu baada ya jumuiya ile kuvunjika mwaka 1977 lakini hadi leo hawajalipwa. Iweje leo haya malipo ya kundi hili la wahuni yanapigiwa debe la nguvu ili yafanyike haraka haraka? Kama anayestahili kulipwa kwanza basi wale Wazee wastaafu wa EAC na Valambhia wanastahili kulipwa kwanza kabla yako na mafisadi wenzio.

Kama kulikuwa kuna uhuni umefanyika basi tumeshaona Waziri Mkuu, na mawaziri wengine wakimwaga unga kwa sakata la Richmond, kumbuka la Richmond si Dowans. Na Mkuruigenzi wa Richmond bado ana kesi mahakamani. Sasa hapo Kikwete nimlaumu nini?

Here we are talking about Dowans, Dowans walilipwa fedha na nani za kuleta ile mitambo?
 
Richmond/Dowans baba mmoja mama mmoja kama hutaki kuona hivyo basi kalaga baho. Kampuni imeingia nchini tangu 2006 hadi hii leo 2011 serikali inafanya jitihada zote ili kuwaficha wamiliki wake halafu unakuja hapa kutetea ufisadi wa kutisha unaofanywa na kikundi hiki cha wahuni wachache.

Hivi kuna chochote kinachofanywa dhidi ya Watanzania na mafisadi ambacho hata siku moja utasimama na kukipinga kwa nguvu zako zote? katika ufisadi mbali mbali uliofanywa dhidi ya nchi yetu ikiwemo Rada, IPTL, EPA, Meremeta, Kagoda, Mikataba ya Madini, KCM, Ununuzi wa magari ya jeshi na helicopters, Ndege ya Rais ni ufisadi upi ambao umewahi kuupinga hapa jukwaani!?

Mkuu tokea lini umeanza kupiga magitaa? Solo ama Rhythm Mbuzi hatoweza kucheza.
 
Mnasoma na kulinganisha na kuanza kuuona ukweli au mnasoma kuridhisha the intellectual curiosity? Wanasheria wa Tanesco kama wanataka zaidi wanajua pa kutupata.. Ila nina mashaka nao..

Hata mimi siamini mtu kwa sasa. Kuna jamaa yangu mwanasheria siku aliniambia kuwa hii nchi ukitaka kujimaliza basi uchukue kesi za kutetea walalahoi/masilahi ya nchi dhidi ya masilahi ya wakubwa aka mafisadi. Nina hakika watakuwa wameshatishwa kuachana na hii kitu, yaani waiache ishindwe.
 
Richmond/Dowans baba mmoja mama mmoja kama hutaki kuona hivyo basi kalaga baho. Kampuni imeingia nchini tangu 2006 hadi hii leo 2011 serikali inafanya jitihada zote ili kuwaficha wamiliki wake halafu unakuja hapa kutetea ufisadi wa kutisha unaofanywa na kikundi hiki cha wahuni wachache.

Hivi kuna chochote kinachofanywa dhidi ya Watanzania na mafisadi ambacho hata siku moja utasimama na kukipinga kwa nguvu zako zote? katika ufisadi mbali mbali uliofanywa dhidi ya nchi yetu ikiwemo Rada, IPTL, EPA, Meremeta, Kagoda, Mikataba ya Madini, KCM, Ununuzi wa magari ya jeshi na helicopters, Ndege ya Rais ni ufisadi upi ambao umewahi kuupinga hapa jukwaani!?

Rada, si unajuwa Kikwete alisema nini na kafanya nini kuhusu hilo au hujui?

IPTL, wametushinda mahakamani! tena unajuwa mahakama ipi?

EPA, unajifanya hujui kama fedha kibao zimerudishwa?

Meremeta, Kagoda: Haya si yalifikishwa Bungeni, sasa muulize Slaa, yeye anajuwa hizi ni kampuni za nani uone kama atakujibu. Si alikuwepo Bungeni.

Mikataba ya Madini: Si tuliona Kikwete akimchaguwa Zitto kushughulikia hili? au umesahau? For the first time, mpinzani amepewa kitengo alichokuwa akipigia kelele, sasa tumuulize, yeye kafanya nini? hapo napo unataka tumlaumu JMK?

Ndege ya Rais: Si mnamuona aliyesema (kumbuka ilikuwa wakati wa Mkapa) kuwa wa Tanzania watakula majani lakini ndege inunuliwe, si umeona wakati wa Kikwete, kafanywa nini, kapelekwa lupango akany** debe, au hilo hulijuwi?

KCM, Helicopters: Hayo madudu yote yalifanywa wakati wa Mkapa na kabla yake.

JMK leo hii ndio anayasafisha! mngeona watu wanarudisha mabilioni ya EPA ingekuwa si Kikwete? mngeona kina Mramba wanafikishwa mahakamani ingekuwa si Kikwete? mngeona Mawaziri pamoja na waziri mkuu akiachia ngazi kwa kashfa ingekuwa si Kikwete? na mengine mengi tu. msitake kusema hamjui mema anayoyafanya Kikwete hapa Tanzania. Yote kwa nini? Agenda za siri!
 
Eti pesa za EPA zimerudishwa!!!!! Walishindwa kutoa majina ya waliorudisha pesa hizo na kiasi walichorudisha. walishindwa kutoa bank account # na jina la bank ambako pesa hizo zilizorudishwa ziliwekwa halafu unataka watu tuamini kwamba pesa za EPA zilirudishwa!!!!! Majibu yako yote yamejaa usanii mtupu sina haja ya kuendelea kupoteza muda wangu.

HAPPY NEW YEAR

jamaaa kafanya vizuri kashusha some facts, tepambanue hapa tujue, sio kuwa na ushabiki tuu, mimi binafsi nionavyo baada ya kupitia documents zote, najiuliza, DOWANS TANZANIA LIMITED, AMBAYO IMEUNDWA KWA SHERIA ZA NCHI YA TANZANIA, IWEJE ISIWE NA SHAREHOLDER KUTOKA TANZANIA? HAIWEZEKANI KAMPUNI KUUNDWA TANZANIA BILA KUWA NA MZAWA KUTOKA TANZANIA, LABDA SIJUWI NIFAHAMISHWE. BRELA WANAJIBU, KAMA HAWANA, BASI BENKI ILIYOFUNGUA ACCOUNT NUMBER YA HII DTL LAZIMA WANACOPY ZOTE ZA ARTICLES NA MEMORANDUM OF ASSOCIATION, NA KAMA BRELA, BENKI HAWANA, BASI TRA WANAYO, JAMAA WALIPATAJE TIN NA VAT NUMBER, NA KAMA WOTE HAO HAWANA, ALMASHAURI YA ILALA, KINONDONI AU TEMEKE WANAYO, WAO WALITOAJE BUSINESS LICENCE? JAMANI MIMI NINA KAMPUNI YANGU HAPO DAR, NILISAJILI MWAKA 2004, NILIPITIA STAGE ZOTE:-

1. DRAFT - ARTICLES AND MEMORANDUM OF ASSOCIATION

2. REGISTER WITH BRELA FOR NAME SEARCH - HATIMAYE KUPEWA CERTICATE OF INCORPORATION.

3. KUPATA BANK ACCOUNT - WALITAKA ALL DOCUMENTS VALIDATED - ORIGINAL.

4. MANISPAA NA KINONDONI WALITOA BUSINESS LICENCE BAADA YA KUKAGUA SITE.

5. TRA MWENGE - WALITOA TIN NAMBA BAADA YA KUPEWA ALL SUPPORTING DOCUMENTS.

SWALI, NAOMBA JIBU, SHAREHOLDERS WA DOWANS TANZANIA LIMITED AMBAO NDIYO WANA EXCLUSIVE RIGHT YA MITAMBO ILIYOPO UBUNGO, NI AKINA NANI? HAWA WATANZANIA?.
 
Hayo ya EPA yalianza kwa Kikwete? Leo aneyafichuwa na kuyashughulikia ndio mbaya? Huna ulijuwalo zaidi ya majungu na fitna na agenda za siri.

Jakaya ndio Rais, Gharib ndio Makamu wa Rais, Shein ndio Rais Zanzibar na Seif Double ndio makamo zake.
 
jamaaa kafanya vizuri kashusha some facts, tepambanue hapa tujue, sio kuwa na ushabiki tuu, mimi binafsi nionavyo baada ya kupitia documents zote, najiuliza, DOWANS TANZANIA LIMITED, AMBAYO IMEUNDWA KWA SHERIA ZA NCHI YA TANZANIA, IWEJE ISIWE NA SHAREHOLDER KUTOKA TANZANIA? HAIWEZEKANI KAMPUNI KUUNDWA TANZANIA BILA KUWA NA MZAWA KUTOKA TANZANIA, LABDA SIJUWI NIFAHAMISHWE. BRELA WANAJIBU, KAMA HAWANA, BASI BENKI ILIYOFUNGUA ACCOUNT NUMBER YA HII DTL LAZIMA WANACOPY ZOTE ZA ARTICLES NA MEMORANDUM OF ASSOCIATION, NA KAMA BRELA, BENKI HAWANA, BASI TRA WANAYO, JAMAA WALIPATAJE TIN NA VAT NUMBER, NA KAMA WOTE HAO HAWANA, ALMASHAURI YA ILALA, KINONDONI AU TEMEKE WANAYO, WAO WALITOAJE BUSINESS LICENCE? JAMANI MIMI NINA KAMPUNI YANGU HAPO DAR, NILISAJILI MWAKA 2004, NILIPITIA STAGE ZOTE:-

1. DRAFT - ARTICLES AND MEMORANDUM OF ASSOCIATION

2. REGISTER WITH BRELA FOR NAME SEARCH - HATIMAYE KUPEWA CERTICATE OF INCORPORATION.

3. KUPATA BANK ACCOUNT - WALITAKA ALL DOCUMENTS VALIDATED - ORIGINAL.

4. MANISPAA NA KINONDONI WALITOA BUSINESS LICENCE BAADA YA KUKAGUA SITE.

5. TRA MWENGE - WALITOA TIN NAMBA BAADA YA KUPEWA ALL SUPPORTING DOCUMENTS.

SWALI, NAOMBA JIBU, SHAREHOLDERS WA DOWANS TANZANIA LIMITED AMBAO NDIYO WANA EXCLUSIVE RIGHT YA MITAMBO ILIYOPO UBUNGO, NI AKINA NANI? HAWA WATANZANIA?.

Kwa sasa kufunguwa Kampuni Tanzania si lazima uwe mTanzania au awemo M Tanzania.

Kuhusu Dowans ni akina nani: bofya hapa utapata habari zoote: BRELA-Home
 
"wajinga ndio waliwao" hiyo kujibu swali lako la kwanza.

Picha ipi wewe? watu wanadai haki zao humo, wee unafikiri utavunja tuu mikataba ya watu? Dowans lazima walipwe na wale waliowakopesha Dowans hiyo mitambo lazima walipwe. Usifikiri watu wanafanya biashara za kizamani za kuficha chini ya uvungu!

Si humu JF ndio mlikuwa mnashabikia Dowans wafutiwe mikata na mitambo isinunuliwe, tukasema, na hata mbunge wenu Zitto akasema "inunuliwe"! Great Tinkers waka-kataa! sasa mnalia nini? mlishindwa great thinkers na kujuwa consequences zake?

Ushauri wa bure: Kaeni chini na Dowans, wataelewa tatizo, lakini msijidai ubabe, enzi za ubabe zimekwisha! Hamsomi makosa ya zamani?

Nyerere alijidai ubabe kwa makaburu waliokuwa wanaunganisha materekta akawafungia akasema "sirudi" nyuma ntageuka "jiwe"! alivyoona mambo yamemkalia vibaya, kwani wale jamaa walikuwepo kihalali kabisa, akaona bora ageuke jiwe, akawawacha waendelee na shughuli zao.

Na haya ya Dowans tungejifunza kwa Nyerere! mbona hajageuka jiwe?

Umesoma vizuri hiyo kesi ya dowans na rdevco inahusu nini lakini? Yaani ulitaka Serikali inunue mitambo ambayo ipo kwenye kesi!! Halafu unajua PPA ya TZ inasemaje kuhusu manunuzi?
 
COMPANY REGISTRATION
line.gif

Introduction

To register a company in the United Republic of Tanzania is a right of those who wish to associate and form themselves into a company pursuant to the existing company laws.
Companies Act, 2002

There are four main types of companies as follows: -
  • Private companies.
  • Non-private companies (Public).
  • Foreign companies (companies incorporated out of Tanzania).
  • Parastatal or state owned companies.
(a) Private companies

# Private companies are normally formed by persons with prior relationships other than only business relationship e.g. Father and son's and or daughters, friends etc.
# Minimum number of membership for a private company is two and maximum is fifty excluding persons who become member by virtue of being employees of the company.
# The shares of these companies are not freely transmissible. The transferability is subject to strict control and regulations, as such, these type of companies may not list in the stock exchange for purposes of trading in shares.
# These type of companies are supposed to submit annual returns and any other statutory filable documents to the Registrar (e.g. Changes of particulars of directors, change of company names etc). Filing fees are also payable and penalty for late filing is also levied.
(b) Non-private companies (Public)

# Public companies are open ended, and there is no restriction on the maximum number of members, while the minimum number is seven.
# Any person may subscribe and buy shares in the company, which may be listed in the stock market and traded in shares.
# One condition for incorporating these type of companies is the issuance of a prospectus in which the objectives, the proposed share capital, source of finances and general prospects of the company are stated. The Prospectus is in essence an invitation to the general public to subscribe for shares.
# A private company may be converted to a public one by merely amending its Articles of Association, increasing the minimum number to seven and issuing a prospectus.
# These type of companies need to have very effective articles of association to regulate their relationships between the members themselves, between members and directors, between dealers and stock brokers (in cases of listed companies) and the stock exchange.
(c) Foreign companies (companies incorporated out of Tanzania)

# These are companies incorporated outside Tanzania. Their offices in Tanzania are treated as branches of foreign company. Even if all subscriber and or shareholders are nationals of the United Republic of Tanzania, the companies are regarded as foreign. They are registered under part XII of Cap.212.
# The Registration procedure of this type of companies include the submission of :-
  1. Certified copies of Memorandum and Articles of Association.
  2. Notice of the location of the registered office in the country of domicile.
  3. List of Directors of the company.
  4. Persons resident in the country who are the representatives of the company.

# Fees payable is US$ 1,100 towards registration fees and US$ 300 for filing.
# Certificate of companies is issued to applicants.
(d) Parastatal or state owned companies

These are normally private companies which have more than 50% stake in the government.
All Companies

All companies need to submit annual returns which is done in prescribed forms. Audited balance sheets form a part of the returns. Foreign companies are required to file only audited balance sheets of their companies.
Fees Payable (CLICK HERE to download a document which contains all fees)

There are three types of fees payable by applicants for registration of new companies:-
  1. Registration fees.
  2. Filing fees.
  3. Stamp duty.
(a) Registrations Fees

Company whose nominal share capital is:
(b) Filing fee;

Is Shs. 45,000/- for the whole application. Meaning 15,000/- for each document i.e. Memorandum and Articles of Association, form no.1, 14a and 14beach Shs.15,000/- total shs. 45,000/-
(c) Stamp Duty

Is paid Tshs.6,000/- for the original Memorandum and Articles of Association, shs. 1,200/- for form no.1. Tshs. 5,000/- is paid as stamp duty for each copy of Memorandum and Articles of Association.
  • All payments are payable to the Registrar or Companies against which receipts are issued. Applicants are advised to desist from m aking payments for which no receipts are issued. Any demands or request by any officer in the Registry for money, which is not within the payment schedule stated, should forthwith be reported to phone no. 2180113 for necessary action.
  • Any changes that occur in the company should be reported to the Registrar immediately. The registrar after noting the reported change registers the same on payment of filing fees. Penalty is charged if the change in particulars is not reported in time. The current rate of penalty Shs. 1,500/- per month and part thereof.
  • If a company after one year fails to take off, for any reasons whatsoever, the officers thereof may notify the Registrar who issues notice to strike such company off the register off companies. If no notification is made, the Registrar assumes that the company is carrying on business and is therefore required to comply with all the requirement relating to existing companies.
Conclusion

  1. The process of company registration is done under the law and is a transparent one.
  2. If the correct procedure is followed, the process takes approximately three days and not more than five days.
  3. If after three days the process is not completed, an applicant may demand, as of right, to see any member of the management who will provide an explanation or assist the applicant to be informed of reasons for delay.
  4. The office sincerely looks forward to having cooperation from the stakeholders whose views and suggestions on the improvement of services of the registry are taken very seriously. Company Registration Procedures
 
Back
Top Bottom