DOWANS (BEHIND THE SHADOWS): What you were not supposed to know...!

DOWANS (BEHIND THE SHADOWS): What you were not supposed to know...!

..dawa hii hapa inaitwa TURKISH BALL:

Unakamata RA, eL, Manji, Tannil, Enderea ....... et al unawajaza ndani ya kontena, una-pump out hewa yote, kisha unalitumbukiza baharini kwenye deep sea, yaani kina kirefu kabisa ili wakiwamo mle ndani basi wajaribu kuzidiana ujanja.
 
Kila siku tunaomba AMANI katika nchi yetu wakiwemo viongozi wakuu kumbe fix tupu. Hii chorichori sasa basi, bora tukose wote.
 
Kama wahusika na decision makers watashindwa kutumia hizi thread mbili zinazhusu Dowans kama think tank kufikia action plan yenye manufaa kwa taifa basi tutazidi kuthibitisha hatuna viongozi bali watawala.
 
Hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, who has asked for your sympathy? ulijibana mwenyewe? hata hujui unachokisema. Loser or not, JMK ndio Mr. President:

thumbnail.aspx

Tabasamu la nje ndani moto unawaka.
 
Mnasoma na kulinganisha na kuanza kuuona ukweli au mnasoma kuridhisha the intellectual curiosity? Wanasheria wa Tanesco kama wanataka zaidi wanajua pa kutupata.. Ila nina mashaka nao..

Mkuu wapo hao unaowataka waje wakuone??
hawakuliona hili alfajiri kabla jua halijachwa,watakuelewa leo siku ishavuka!
Hapa ni hao wa nje ya TANESCO ndo wakuwaomba watusaidie kutuondolea kikombe hiki!

Eee Mungu tusaidie.
 
Mwanakijiji karibu sana.. naona umerudi kwa kishindo! Thank you for the explosive material and only a fool can deny that this is truly scandalous. Kumbe Dowans and Richmond waliwekeana masharti na sasa ni dhahiri kuwa kuna dili chafu. Pia hatimaye tumeweza kudhihirisha kuwa Dowans inamilikiwa na Dowans SA pekee na also SA si South Afrika balini Costa Rica... vitu hivi tulivisikia lakini huu ni uthibitisho!
Nadhani kutegemeana na bajeti.. itabaki kujua tu hiyo Dowans SA wamiliki wake.. ingawa wengine tunawafahamu lakini ni kiasi cha kupata uthibitisho. Mwaka huku Ikulu na wasemaji wao kama akina Salva na Dar Es Salaam lazima watoke mapovu mdomoni! :whoo:
 
..dawa hii hapa inaitwa TURKISH BALL:

Unakamata RA, eL, Manji, Tannil, Enderea ....... et al unawajaza ndani ya kontena, una-pump out hewa yote, kisha unalitumbukiza baharini kwenye deep sea, yaani kina kirefu kabisa ili wakiwamo mle ndani basi wajaribu kuzidiana ujanja.

No! You need to fill it with sand instead for it to sink. If you pump out all the air, the container will just float away happily, but they may actually die for lack of good air.
 
Lakini kitu ambacho sielewi ni kuwa hakuna jambo lolote ambalo tunalisema kuhusu Dowans ambalo ni geni; hakuna.
 
I came across these documents which to some of you might cause you get angrier (i hope not at me). Our sources have become of late somewhat extraordinarily active. I would argue that these are of vital importance in the ongoing saga involving Tanesco's payment to Dowans Holding SA.

Well, while our eyes and ears were focused in what was going on in ICC arbitration, something else was going in US courts involving Dowans SA and RDEVCO. Well, you have to read the following to know what they didn't want you to know. (they who? dunno!)

But, please read the ruling of the ICC and write down (if you can't memorize) who owns Dowans Tanzania Limited according to those documents (Pg 126 I think). Then, read these documents and ask yourself this question is the Dowans Tanzania Limited a "whole owned subsidiary" of Dowans S.A according the US documents or a company which has minority shareholders according to ICC documents?

In the ICC documents Portek Systems and Equipment is mentioned to owns 40 percent of shares in Dowans Tanzania Limited. In other words Portek International of Indonesia must be aware of its subsidiary's holding in DTL. Please check out the company structure as it stands by the end of 2010.

I might be wrong..for I have within my hands the articles of association of DTL... and u guessed it.


MM,
Mbona sioni page 126 kwenye documents zile, au kuna ambayo umesahau kuiweka?
 
Lakini kitu ambacho sielewi ni kuwa hakuna jambo lolote ambalo tunalisema kuhusu Dowans ambalo ni geni; hakuna.

And this tells me kwamba hata akiibuka leo JK kwa ujasiri akasema Dowans ni ya RA hakuna kitakachotokea kama ambavyo hakuna kilichotokea huko nyuma.
 
special request...magazeti yachapishe hizi nyaraka na yazichambue kwa lugha rahisi ili kila mwananchi aelewe hali halisi. Vinginvyo hizi habari zitaishia humu kwa watu wachache ambao wana uwezo wa ku-surf kwenye mtandao wa jf. Najua mafisadi watajitokeza na kusema huo ni uzushi ila ujumbe utakuwa umefika kwa wananchi na wahusika wote hasa jk.

usisahau kuwaelewesha wasomaji wa kawaida manufaa ya kujua mmiliki wa dowans na kama itaweza kusaidia kupunguza maumivu wanayoyapata sasa.
 
Uzushi mtupu! Kwani watu humu hata huyo RA wanamchukia kwa rangi yake na dini yake tu, hana biashara haram, zote legal deals. Wanausongo tu. Mbona kina nanihii, wenye biashara za haramu kikweli hatuwasikii kufatwa-fatwa!

Pamoja na mabadiko mengine niliyoyaona ha JF... sijawahi ona sehemu Rostam Aziz amefanya biashara haramu... nasubiri kuona.
 
Je inawezekana mauaji ya Arusha ni mpango wa kujaribu kupeleka attention mahali pengine ili pesa za Dowans zilipwe haraka haraka kabla ya watu kuona ukweli huu?
 
i didnt know such a thing its real hurt. this show how fool we are
 
There is no individual or individuals within the government of the United Republic of Tanzania willing

to lift the veil of incorporation sorrounding Dowans Tanzania Ltd and Dowans Holdings S.A

Lets not waste time into these company documents as the legal system was purposely designed

to allow for true shareholders to hide behind agents and never appear in MemArts. However, the

money trail never decieves, no matter how complex the transaction web is arranged.

Follow the money trail and you will easily identify who are the true owners of the so called "Dowans"

Lets start with :

1. Who paid the turbine purchase amount?

2. What bank executed this transaction?

3. Who was the consignee?

4. Who paid for freight and oversee the delivery?

5. Who collected cheques from TANESCO/Treasury?

6. Which bank were these cheques being deposited?

7. Who are the major suppliers to DTL/ Dowans Holdings S.A turbines at Ubungo?

8. What else was DTL/Dowans Holding S.A doing with the money other than paying suppliers?

9. Who are in the schedule of bank signatories : Category A - D?

10. Who are the auditors?

11. Has the company ever filled financial statements with the Registrar?

12. Has any of the companies ever paid dividends?

13. Who received these dividend payments?

14. Are there loans to directors or offshore companies?

This set of questions would surely open the pandora box.
 
Back
Top Bottom