Dowans: Another Richmond in making?

Dowans: Another Richmond in making?

Inavyoelekea hawa wanapiga debe Serikali ichote mapesa ya wananchi inunue mitambo ya Dowans walisahau kitu kimoja: serikali inunue kutoka kwa nani. Hili hawakulitia maanani tangu mwanzo -- kwamba wananchi watahoji kwamba serikali ina-deal na nani katika ununuzi? Walisahau ulazima huo wa kuonyesha mmiliki.

Dakika za mwisho na baada ya mambo kuwa magumu ndiyo wakatuletea mwali wa Kiarabu -- kwa kudhani kwa kuwa ni mweupe basi tutakubali tu!
 
MMM nimesoma habari kwenye mwanahalisi naTanzania daima inaonyesha hapa kuna ugumu kwani hawa jamaa walioshikilia mpini hawataki kufanya maamuzi nafikiri inabidi yale ya madagasca yaje na hapa kwetu ili jamaa wajifunze. Ila kwa watanzania tulivyo inabidi tubadilike kweli kimawazo ili kuweza kupigania haki yetu. Maana ukisoma hizo habari kwakweli inasikitisha sana. But the time is coming when all who played damn will pay for their doings
 
Nimesoma kwenye cheche kuwa RA amepata wadhifa ikulu,je amekuwa nani -wadhifa gani?

Kuhusu hii dowans kujipakazia haya ya ushirika na portek na wengine , je serikali kwani haijui haya yote?
Je bunge linaweza kuzuia serikali isinunue hii midubwana ya dowans maana kwenye thread nyingine kule inayohusu hii hii dowans imegusiwa kuwa piga ua serikali itanunua mitambo mwishoni kwa kuwa ni wale wale waliokunywa uji wa mgonjwa.
 
Kutokana na makala hiyo ya Cheche, inawezekana kabisa kuwa Karamagi aliwasiliana na mtu mmoja au zaidi wa Portek na kukubaliana (kwa deal maalum) kutumia jina la kampuni hiyo katika kusafisha kashfa ya RDC. Hilo linawezekana kutokana na kauli inayosemekana ilitolewa na Waziri huyo wa zamani kuhusu kuamisha mkataba wa Tanesco na RDC kwenda Dowans kupitia mawasiliano ya simu alipokuwa nje ya nchi (ref: Taarifa ya Kamati ya Bunge). Kama hivyo ndivyo, si rahisi kwa Portek kukubali kuhusishwa na kashfa za Dowans, kwani ushiriki wao ulikuwa ni wa kauli tu. Kwa kufanya hivyo, Dowans kama ilivyokuwa kwa RDC nayo ni batili vile vile.

Si hivyo tu, inawezekana kuwa kuna deal kati ya real Portek na Waziri kuhusu tender za supply kwa TICTS kabla na baada ya hii ya RDC/Dowans. Deal ambalo liliwafanya wakubali jina lao kutumika kufunika kashfa ambazo zingemkabili waziri na serikali. Deal hilo ni nini?

Mwali huyu anaweza kufunua mambo mengine ambayo wala hayakuwa katika mjadala huu kabisa.
 
Naona hadi mhariri anaonekana ana maumivu ya kichwa!
 
Hivi BRELLA wanaposajiri kampuni lenye ubia na makampuni mengine yaliyoko nje ya nchi hawafanyi uchunguzi wowote? Na kutokana na habari hizi BRELLA hawawajibiki kwa lolote? let say kufuatilia nyaraka zilizowasilishwa na hao wahuni, kuwasiliana na portek kisha kuwashtaki waliotoa taarifa za uongo!

Usalama wa taifa bado wapo matatizoni, inakuwaje watu watoe taarifa za uongo na kujipatia mabilioni ya walipa kodi bila usalama wa taifa kushtukia na kuchukua hatua. Hivi kweli Mkuu wa Usalama wa Taifa hana habari kuwa Dowans haina uhusiano na portek?

Hawa portek wanachukua hatua gani baada ya kuona wamepakaziwa? Nashauri tuanzishe move ya kuwataka portek watoe taarifa rasmi.

Tuanzishe petition ya kuitaka Serikali itaifishe mitambo ya dowans.

haya mambo yameanza toka Kikwete anaingia madarakani, sasa inakamilika miaka minne, sijui anayachukulia serious kwa kiasi gani, hasira za wa-Tanzania including JWTZ zinazidi kupanda, haya ya Madagaska yanaweza kutokea si muda mrefu.
 
Watu wanabishana vitu visivyo vya msingi, na msingi wanaviacha! Kwa mtindo huu Dowans watanesa tu.
 
Nilisha toa ushauri mapema sana mambo sio mazuri nchini the best solution ni viongozi wakuu kujiuzuru na kuitisha uchaguzi mpya.

Huwezi kuficha kosa kwa kosa lingine na bahati mbaya kosa ilwezi kufichwa kwa ukweli.

then the right solution ni kujiuzuru na kuitisha uchaguzi mwingine.
 
Last edited:
Nilisha toa ushauri mapema sana mambo sio mazuri nchini the best solution ni viongozi wakuu kujiuzuru na kuitisha uchaguzi mpya.

Huwezi kuficha kosa kwa kosa lingine na bahati mbaya kosa ilwezi kufichwa kwa ukweli.

then the right solution ni kujiuzuru na kuitisha uchaguzi mwingine.

Watu hawajaangalia uzito wa taarifa hii.. wakijua wataelewa ni kwanini mitambo ya Dowans siyo ya kununua ni ya kuitaifisha tu.
 
i283_serikali.jpg

i284_serikali2.jpg
 
Kweli Tanzania inahitajika kutokee kama Madagascar. Huwezi amini watu wameshupalia kule kwa Mwakyembe na kuacha RA azidi kula vyake. Kweli RA ana akili huyoooo!!!! Kesho nisikie mtu anasema SI KWELI.
 
Kweli Tanzania inahitajika kutokee kama Madagascar. Huwezi amini watu wameshupalia kule kwa Mwakyembe na kuacha RA azidi kula vyake. Kweli RA ana akili huyoooo!!!! Kesho nisikie mtu anasema SI KWELI.

Sikonge.. vitu vya msingi havijadiliwi na implications zake.. well.. tukiwaangalia viongozi wetu tunajiangalia sisi wenyewe.
 
Mahojiano na Al-Alawi yatarushwa kesho (Alhamisi) Mchana kuanzia saa sita za Mashariki ya Marekani (sawa na saa moja za Afrika ya Mashariki) kupitia mwanakijiji.com na bongoradio.com
 
Tunaamini kuwa kuingia kwa Dowans kuliingia kwa ulaghai (under false pretence) na
ya kuwa hawakuingia wakiwa na nia ya kuaminiana (good faith). Yote haya mawili yanatosha kabisa kuilazimisha serikali kuitaifisha mitambo ya Dowans na kuanza kuitumia bila kulazimika kulipa chochote!

Tutakubali kuwaachia majenereta hayo pale tu watakapokuja Portek Systems and Equipment Ltd kutuonesha kuwa ina hisa yoyote kwenye kampuni ya Dowans Tanzania Limited ukiondoa kwenye makaratasi ya BRELA.

Very bold of you Mwanakijiji. This could be the first step that is needed.

Kama kweli Idris alivyo kua anasisitiza udharula wa umeme within the next few months lasivyo giza nene litaikumba Tanzania. You have given them a life line kutaifisha mitambo ya Dowans to save the day.
 
Last edited:
Very bold of you Mwanakijiji. This could be the first step that is needed.

Kama kweli Idris alivyo kua anasisitiza udharula wa umeme within the next few months lasivyo giza nene litaikumba Tanzania. You have given them a life line kutaifisha mitambo ya Dowans to save the day.

unadhani basi wanafikiria hivyo basi? Nakuambia hawana mawazo ya namna hiyo.
 
Back
Top Bottom