Ama kweli - Miafrika ndivyo tulivyo!..damn..
.......
Tumevaa sana chupi za mitumba na kuzipa uhalali,ndiyo maana tunaona ni sawa tu kununua mitambo mtumba yenye baraka na mikono nuksi ya Mafisadi.
Watu wasilete zao kwa kisingizio cha dharura.
Natumaini Mkurugenzi wa Tanesco atajiwajibisha mwenyewe na kuachia ngazi au la, Rais anatakiwa kumfukuza kazi mara moja.
Zaidi ya hapo, kutokana na statement yake aliyoitoa, inaonyesha wazi kuwa KAZI IMEMSHINDA NA PIA ANATAKIWA KUFUNGULIWA MASHITAKA MARA MOJA KWA KUTAKA KUVURUGA AMANI YA NCHI.
Rais alishaonya kuhusu jambo hilo mwanzoni mwa mwaka huu.
Heheheheheee...back on your BS!
Nchi nzima inahaha kwa kitu kinacho worth Usd 100,000 chini ya bei ya Vogue mpyaaa..Wanasiasa na Wachumi wote akili zime freeze! ama kweli tutachekwa kwa mengi....Lol..Tumevaa sana chupi za mitumba na kuzipa uhalali,ndiyo maana tunaona ni sawa tu kununua mitambo mtumba yenye baraka na mikono nuksi ya Mafisadi.
Watu wasilete zao kwa kisingizio cha dharura
Tatu, nimeipenda signature yako inayosema "It is NOT just a forum, it's a MOVEMENT!"
wewe msidanganywe mbona baada ya richmond kushindwa dowans wakaleta generator within six months.....
nina rafiki yangu anfanya kampuni ambayo ina supply cooling sytems za generator kwa kampuni kubwa ie GE, CATERPILAR, KAWASAKI N MORE....
SHIFT MOJA YA 8 HOURS INATOA COOLING SYTEM 4. NA SASA HIVI WANAFANYA KAZI SIKU NNE TU KWA AJILI HAMNA KAZI SANA
Zitto bribed or not (and i personally think you are clean) you have shown extremely poor judgement in this case. It cannot be a surprise to you that you have lost a lot of respect and will continue to do so by supporting this completely ridiculous idea.
Buying used, overpriced equipment from a company that is linked to one of the worst corruption cases in Tanzanian history is just not going to fly. There are so many things that do not add up here, so many red flags (which i'm not going to list because i'm pretty sure you are aware of them) that it boggles the mind that anyone would even consider this.
PM, nakubaliana nawe kwamba procedures za kuagiza mitambo mipya mpaka iingie nchini na kuanza kazi ni ndefu na zinaweza kuchukua hata miaka miwili. Kiongozi wa shirika nyeti kama TANESCO anatakiwa awatumie wataalamu tulio nao pale ili kuangalia mahitaji yetu ya umeme na kuanza kujiandaa mapema ni jinsi gani TANESCO wataweza kukidhi mahitaji hayo. Kama sikosei matatizo yetu ya umeme yaliyoifanya nchi yote iwe kizani kwa muda mrefu yalitokea mwaka 2006 na sasa tuko katika mwaka 2009. Kulikuwa na miaka mitatu ambayo Idrissa Rashid na wataalamu wa TANESCO wangeweza kabisa kutoa taarifa mapemaB]
..nawaeleweni sana ..na ieleweke kuwa sitetei mafisadi...sasa mtoto ameshanyea unafanyaje..tupo kwenye tatizo tunafanyaje..tunaendelea kubishana au tuchukue hatua???
lingine muelewe tanesco kama tanesco hawana pesa au uwezo wa kununua hata jenereta moja..hali yao ya kipesa mnaijuwa!!Hazina ndio wanatakiwa kutoa capital....na tanesco wataalamu walishaipa serikali mahitaji yake ya umeme ..kama kawaida yetu serikali huwa haitoi pesa hadi itokee zimamoto.....lakini strategic plan ya tanesco kama ilivoelezwa hapo nyuma ..ilikuwa inatakiwa hadi sasa tuwe na umeme wa kiwira,segerea ,singida,nk.....sasa serikali imepewa hiyo plan tangu 2006....hadi sasa hawajatoa pesa ku finance hiyo miradi..ukiwemo wa kiwira ambao hali ya malumbano iliyopo ni vigumu kwa benki au strategic investor yeyote pale kuingia......tunao mradi wa mtwara..ambao nao hii economic crunch imesababisha mwekezaji barrick aliyekuwa na share pale kujiondoa baada ya mabenki yanayo finance huo mradi mkubwa kukwama.....
so we have a problem ..somebody is drowning ..does it worth to keep on debating and call people all that names........hivi niwaulize ingekuwa nchi imevamiwa na dowans ingekuwa silaha[yes umeme ni silaha].....mngekuwa na muda wa debate..!!!
lets solve this problem then twende mbele ...hata ikibidi tuchukue huu mtambo kwa bei ndogo...ukizingatia tunawadai...ni vema...au la wazawa wanunue dowans ...alafu waiuzie tanesco umeme..kama tatizo hamtaki ku deal na dowas!
Wasi wasi wangu mkubwa ni kuwa Tayari nchi inahujumiwa - there is more to this than we are being told. Huyu bwana ni kawaida yake - historia yale imejaa vituko na kama si uswahiba wake na mkuu wa kaya angekuwa historia.
The cheek of this man - eti ana jeuri ya kusema, "Mmenikatalia kununua mitambo ya Dowans, sasa subirini muone kitakachofuata kama mtaweza hata kuonana humo gizani !" - na bado yuko kazini !!
Nakumbuka alivyotishia kujiuzulu mara ya kwanza:-
Hapa aonekana akimkandia mzee wa watu - matokeo tunayajua - alikumbatiwa. Je atendelea kukumbatiwa baada ya kututishia nyau ?? Huyu ni mtu hatari, period.