Dowans: Another Richmond in making?

Dowans: Another Richmond in making?

Dr Rashid ameprove failure,nashindwa kuelewa anafanya nini kwenye ofisi ya umma,mtu asiyeweza kuwa na mipango ya muda mrefu,mfupi,na wakati.Lazima awajibike,natamani kama kungekuwa na jinsi ya umma kumwajibisha hata kwa maandamano nchi nzima,lazima aachie ofisi yetu,,,,,,,ni saa ya ukombozi,,,,,,,,
 
Then hapo ndipo kazi ya intelligentia ingeingia kuhakikisha wanatrace down whatever elements of sabotage that may be hidden...by the way can't we hold them liable for uzembe tutakapokuwa na hiyo black-out? wasitufanye mabwege tena hawa wapuuzi

Do not be suprised to hear that they conive in sabotage. This is Tanzania.
 
Dk. Rashid ametoa kauli ya KITISHO katika hitimisho lake kwa kusema, "Tanesco inatangaza rasmi kujitoa kwenye nia yake ya kununua mitambo hii. Ni imani yetu kwamba tumeishajieleza na kujenga hoja za kutosha, na wananchi wa Tanzania, watafanya maamuzi yao hapo ambapo nchi itakapokuwa imegubikwa na kiza, mahospitali hayatoi huduma, viwanda havizalishi, wanafunzi vyuoni wanashindwa kusoma kwa sababu tulishindwa kufanya maamuzi".R

Kama watu wanaopewa dhamana ya kuendesha mashirika muhimu wamefikia hatua ya kututishia walipa kodi basi naanza kuamini hii nchi kwa sasa inaendeshwa na "the Richmond et al". Our beloved country is now held at ransom!
 
Dk. Rashid ametoa kauli ya KITISHO katika hitimisho lake kwa kusema, "Tanesco inatangaza rasmi kujitoa kwenye nia yake ya kununua mitambo hii. Ni imani yetu kwamba tumeishajieleza na kujenga hoja za kutosha, na wananchi wa Tanzania, watafanya maamuzi yao hapo ambapo nchi itakapokuwa imegubikwa na kiza, mahospitali hayatoi huduma, viwanda havizalishi, wanafunzi vyuoni wanashindwa kusoma kwa sababu tulishindwa kufanya maamuzi".

tuelewa
R
Mbona anatutishia? Yaani hakuna njia mbadala ya kuepusha umeme kukatika mbali na mitambo ya Dowans? Can't these guys think out of the box?
 
Natamani kama ningekuwepo hapo kwenye hiyo briefing na mimi ningemjibu hivi.

Enzi ya Mkapa tulikua tayari kula majani na wala hakufa mtu.

kabla ya Dowani kuja tulikua na power rationing 18hrs a day
hospitalini watu hawakufa, wanafunzi walisoma, viwanda vilizalisha

Je, siku zote Dr. Idrisa alikuwa wapi?????? Je anaifahamu Business Plan
ya Tanesco vizuri, kama ndio kwa nini siku zote hakutafuta njia mmbadala
ya kutatua power blues????

Kuna miradi mingi ya umeme imejengwa nchini yenye capacity kubwa lakini inazalisha chini ya kiwango, amefanya jitihada gani kuhakikisha inazalisha to the maximum (maximum installed capacity)?????

Kuna report niliyosma mahali inasema Tanzania Installed capacity ya power production ni around 1,200MW lakini tunazalisha around 600MW, Swali je tunahitaji majenerator mapya ya kazi gani???????

Naelewa kwamba tunategemea maji (hydropower), But generators ni kwa ajili ya backups to na sitarajii itakuwa ni kwa ajili ya longterm power production maana ni gharama zaidi?

Kuna mradi wa makaa ya mawe ambao ni cheap zaidi in terms of operational costs, je Huyu mkuu amefanya nini????????

sasa napata hasiraa.................Idrisa Get out
 
Dr Rashidi angepata heshima zaidi kama ataachia ngazi Tanesco. Akiwa kama MD hukubaliani na Board yake na vilevile conviction yake inamwambia yeye ni sahihi na pia kuna maaumzi ya kisiasa yanaingilia utendaji wake wa kazi basi ni bora kuachia ngazi na kuachia Board na wanasiasa kuweka mtu mwingine.
Ubavu huu anao?
 
Kote alikotoka huyu bwana ni FAILURE, mlitegemea mapya TANESCO?

Wapiga kura bwana mnanichekesha sana!
 
Ni lazima tuzipongeze kwa kulipigia kelele suala hili. Wananchi 1-Mafisadi 0
 
Kote alikotoka huyu bwana ni FAILURE, mlitegemea mapya TANESCO?

Wapiga kura bwana mnanichekesha sana!

Mkuu huyu jamaa amewahi kupigiwa kura kweli? Au ndio ameteuliwa tu mar zote!! Inawezekana anachokisema anakifahamu, labda hajajieleza vizuri au hatujamwelewa vizuri. Kama na yeye ni fisadi basi kna commission anayoitaka kwenye biashara hiyo, lakini kama ni mzalendo halisi inawezekana kuna message fulani kwenye anayosema.
 
Jamani kwanza tulichambue hilo GIZA lijalo, hivi ni kweli pasipo na uzalishaji wa DOWANS tunawasha vibatari? Inamaana hiyo mitambo inazalisha MW ngapi na taifa linahitaji MW ngapi za umeme? Dowans ikifa upungufu ni kiasi gani na njia za kurekebisha / kufidia upungufu WALIZO NAZO TANESCO ni zipi? Msaada tafadhali.........
 
Pamoja na matatizo yanayotokana na hii mitambo ya Dowans kinachonitia moyo na kunipa furaha ni kwamba Watanzania sasa hivi tumeamua kufuatilia kwa karibu mambo mbali mbali yanayojiri ndani ya nchi yetu na kutoa sauti zetu kwa nguvu na kwa umoja bila kujali itikadi zetu. Hili limesaidia katika kuzuia ununuzi wa mitambo michakavu ya kifisadi na kutuonyesha kwamba kama tukishirikiana tunaweza kabisa kubadilisha maamuzi yoyote ndani ya serikali ambayo hatukubaliani nayo kwa kuwa hayana maslahi yoyote kwa nchi yetu.

Ahsanteni sana Watanzania wenzangu na kamwe tusichoje kushiriki katika majadiliano mbali mbali kuhusiana na nchi yetu hasa katika kipindi hiki mabapo uongozi tulionao unayumba vibaya sana.

Alutta Continua!
 
Then hapo ndipo kazi ya intelligentia ingeingia kuhakikisha wanatrace down whatever elements of sabotage that may be hidden...by the way can't we hold them liable for uzembe tutakapokuwa na hiyo black-out? wasitufanye mabwege tena hawa wapuuzi

wakati hao intelligentia ndo masaboter wa kubwa wa kila kitu
 
Hivi tuna rais mtendaji au rais ceremonial?.... Can somebody please help me. Im lost.
 
Pamoja na matatizo yanayotokana na hii mitambo ya Dowans kinachonitia moyo na kunipa furaha ni kwamba Watanzania sasa hivi tumeamua kufuatilia kwa karibu mambo mbali mbali yanayojiri ndani ya nchi yetu na kutoa sauti zetu kwa nguvu na kwa umoja bila kujali itikadi zetu. Hili limesaidia katika kuzuia ununuzi wa mitambo michakavu ya kifisadi na kutuonyesha kwamba kama tukishirikiana tunaweza kabisa kubadilisha maamuzi yoyote ndani ya serikali ambayo hatukubaliani nayo kwa kuwa hayana maslahi yoyote kwa nchi yetu.

Ahsanteni sana Watanzania wenzangu na kamwe tusichoje kushiriki katika majadiliano mbali mbali kuhusiana na nchi yetu hasa katika kipindi hiki mabapo uongozi tulionao unayumba vibaya sana.

Alutta Continua!

Tuko pamoja, pongezi ni zako pia. Kazi unayoifanya ya kuleta makala humu ndani kila siku ni ya muhimu. Kitaeleweka tu!
 
Siasa zinaipeleka nchi bapaya!!!!

Niko upande wa TANESCO 110% shabikieni siasa lakini nchi iko kwenye hati hati... siku yoyote kukiwa na mtambo wa MW hata 45 unatatizo tunaenda kwenye mgao...

It takes time kununua, kuagiza, kufunga na ku-komisheni mtambo... tutakuwa pamoja kwenye vibari au sio...

Heri yenu mlioko US... mtatucheka tu.

TANESCO wana facts,,, ninyi mnaongelea HISIA.
 
Siasa zinaipeleka nchi bapaya!!!!

Niko upande wa TANESCO 110% shabikieni siasa yakini nchi iko kwenye hati hati... siku yoyote kukuwa na mtambo wa MW hata 80% unatatizo tunaenda kwenye mgao...

Kwa maana nyingine unakubaliana na fisadi Idrisa Rashid kwamba kwa kuwa Watanzania tumekataa kununuliwa mitambo michakavu ya kifisadi toka Dowans basi nchi ikiingia gizani TANESCO wasiulamiwe!!!!! Hebu wakati mwingine uwe unachambua mambo kwa kina badala ya kuunga mkono tu hata maneno yasiyoingia akilini!!!!
 
Kwa uelewa wangu, njia kuu za kuzalisha umeme au vyanzo vikuu vya nishati hii ni kama ifuatavyo nikianza na njia yenye LOWEST OPERATIONAL COST

1/UMEME WA NGUVU ZA NYUKLIA-Unatumia madini ya URANIUM ambayo tunayo na BUSH alikuja kuyamiliki!

2/ UMEME UTOKANAO NA NGUVU ZA MAJI-tayari tunao na kuna vyanzo vingi tu vinahitaji kuendelezwa/kuanzishwa kama vile mito ya Rufiji, Kagera, Mara, mawimbi ya baharini, kujaa na kupwa kwa maji ya baharini, mikondo (current) ya bahari n.k.

3/ UMEME UTOKANAO NA MAKAA YA MAWE - Tayari tunautumia inahitajika uendelezaji/uwekezaji zaidi ili tuyafaidi haya makaa yaliyopo Kiwira, Mchuchuma nk.

4/ UMEME UTOKANAO NA GESI ASILIA AU UCHAFU/KINYESI CHA WANYAMA - unatumika tatizo gesi ni yetu, lakini kuna ma-midlemans weengi kabla ya kuzalisha umeme wa gesi hivyo kuongeza gharama za uzalishaji/uendeshaji. Hebu fikiria gesi ya wa TZ, anaichimba SONGAS, inasafirishwa sijui na bomba za nani, ananunuwa DOWANS kuzalisha umeme na kumuuzia TANESCO ambaye anausafirisha n.k. hadi kwa walala hoi!! Kwanini asichimbe gesi TANESCO?

5/ UMEME WA MAFUTA YA PETROLI/DIESEL NK - Upo tangu enzi za Mwalimu.

6/ UMEME WA NGUVU ZA UPEPO - Unavuma kila mahala

7/ UMEME WA NGUVU ZA JUA - Unatumika nchi nzima hadi kwenye taa za kuongozea magari toka kwa wachina!!

Iweje sasa huyo Daktari wa falsafa ashindwe kupata ufumbuzi wa muda mrefu anafikiria GESI pekee?
 
aaahaaaa.. na wewe pia umo kwenye wanaochambua mambo kwa kina.
 
Theories, practical na reality wanazijua TANESCO.
 
Back
Top Bottom