Double Standard Kuhusu Kauli ya "Zanzibar Sio Nchi!"

Double Standard Kuhusu Kauli ya "Zanzibar Sio Nchi!"

Juzi juzi kuna mtu kavuliwa uanachama na Wazanzibari kwa kutaka Serikali 3! Msiwachukie watu wengine bure jamani wakati nyie wenyewe ndo mnang'ang'ania mambo huku mkifanya kama hamtaki!
Niwape changamoto wang'ang'ania Muungano wa Zanzibar: ukipewa Cheo chochote na JK, whether kwenye Taasisi ya Muungano au la ukatae kwa kuwa wewe hutaki Muungano! Otherwise ni unafiki hutaki samaki huku unakunywa mchuzi wake!

Buchanani.
Mkuu wangu hivi nani asiejua kuwa viongozi wengi wa zanzibar ni vibaraka wa serikali yetu? Kifupi hakuna anaepewa cheo kama zawadi bali hao ni viongozi walioandaliwa kutumikia na kuulinda muungano na maslahi yetu(tanganyika) na yawakubwa/external katika huu Muungano. Tangulini nchi ya watu millioni moja ikaungana na nchi ya watu milioni 45? Huruma hiyo Nyerere ameipata wapi? Wasiojua wanapaswa kujua kuwa moja ya masharti ya kuwa mwanaCcm anaepewa cheo katika serikali kutoka Zanzibar ni kuwa mhafidhina wa muungano! Akina Shekh Abedi Amani karume waliuliwa na Nyerere pale walipotaka kuvua koti lilianza kuwa zito la muungano. Akina Jumbe alipopachikwa na Nyerere kama Rais wazanzibar alipokwenda kinyume si unajua kilichompata? Akina Mansour, Jussa, Moyo nao si unaona kilichowapata walipojaribu kuutikisa muungano? So nani ni nani hapa mkuu? Kiukweli wanafiki ni Tanganyika na zanzibar ni wakuburutwa tu.
 
Serikali tatu ni must!!! Kwanza watupe definition ya nchi halafu ndipo waweze ku draw conclusion kuwa Zenz siyo nchi!!! Siassa ni hatari sana. National Symbols are (National Flag, Presidential Flag, National Anthem, National Currency). These are main national symbols!!! Hapo wazanzibari wanayo mangapi???? National flag can be seen in the state house, government offices, local government, embassies abroad, other private offices, and any ship offloading to a country (Je Zenz wanayo hii?), Presidential Flag is seen at the state house, president's office, president's car and whenever he/she travels within the national boundary!! Je Zenz hii ipo? Je Zenz wanayo National Anthem yake?? Je Zenz wanayo currency yao?

Walikubali kupoteza uhuru wao kwa Mungano ambao hawakuchukua muda kusoma na kuuelewa!! It is costing you. As per my little analysis here Zenz sii nchi!!!! Ndiyo maana wanawakejeli!!!! Fight for your sovereignty!!!!!
 
Wazanzibari ndio wanaong'ang'ania Muungano, usipochunguza kwa makini hutalielewa hili!

Kwa kuwa wanatufaidi sana ila nawaonea huruma!!! Sovereign !!!! Sovereign!!!! Wafikirie sana hili!!!
 
Kama nimekuelewa vizuri kauli ya Jaji Mstaafu Augustino Ramadhani ni ya "kizalendo" wakati ile ya Pinda ni ya "kejeli" japokuwa maana ni ile ile! Kama hivi ndivyo safari ndefu bado tunayo juu ya huu Muungano wetu!
Nilitumia neno" kupotelezea" yaani 'ignore' nikimaanisha ilikuwa convenient lakini si ya uzalendo. Wazanzibari tulihitaji kauli ya Augustino kama ndio njia pekee ya kutupa pumzi za kujipanga upya!

Unajuwa ndugu yangu muungano si mgumu hata kidogo tukitilia maanani haki na wajibu wa kila mmoja, na hili litapatikana kwa kuwepo serikali 3 iwapo muungano lazima uwepo!
 
Hata Zanzibar inaing'ang'ania Tanzania, ndio maana wanaishi popote katika nchi hii bila kuulizwa na mtu yeyote! Wanaongoza Wizara na Idara zisizo za Muungano bila hofu yoyote! Pia tumesikia kauli mbalimbali za Wazanzibari wenyewe wakiombea Muungano wa Serikali 2 uendelee! Hata wale wasioupenda kabisa Muungano still bado wanataka Muungano wa "Nkataba!"
Hawa Wazenj wanakuwa kama wanawake akitaka umpende zaidi atatishia kurudi kwao, huku akibaki pale pale!
Kwa hiyo asikudanganye mtu, hakuna wanaoung'ang'ania Muungano kama Wazanzibari!

Mkuu sawa Wazanzibar wanautaka lakini kinafiki,ila watanganyika tumezidi unafiki,maana mijitu inayong'ang'ana na
mfuno wa serikali mbili ni mitanganyika tu kwa maslahi yao wachache,wakati ukweli unajulikana kuwa serikali ya
Tanzania inafanya kazi on behalf of Tanganyika,sasa unafiki huu mpaka lini??? ni heri tuwe kila mmoja kivyake
halafu tukitaka kuwa pamoja tukutane kwenye shirikisho la Tanzania,huu unafiki wa kuwahofia wazungu wanaoogopa
sijui takataka Alshabaab,sijui Alqaeda, watadhibiti huo ujinga wao kupitia shirikisho la Tanzania,watuache tujinafasi'
 
Serikali tatu ni must!!! Kwanza watupe definition ya nchi halafu ndipo waweze ku draw conclusion kuwa Zenz siyo nchi!!! Siassa ni hatari sana. National Symbols are (National Flag, Presidential Flag, National Anthem, National Currency). These are main national symbols!!! Hapo wazanzibari wanayo mangapi???? National flag can be seen in the state house, government offices, local government, embassies abroad, other private offices, and any ship offloading to a country (Je Zenz wanayo hii?), Presidential Flag is seen at the state house, president's office, president's car and whenever he/she travels within the national boundary!! Je Zenz hii ipo? Je Zenz wanayo National Anthem yake?? Je Zenz wanayo currency yao?

Walikubali kupoteza uhuru wao kwa Mungano ambao hawakuchukua muda kusoma na kuuelewa!! It is costing you. As per my little analysis here Zenz sii nchi!!!! Ndiyo maana wanawakejeli!!!! Fight for your sovereignty!!!!!

Muungano huu ni batili na umeshakufa kitambo sana. Kilichobakia ni udikteta wa tanganyika kutawala na kuiendesha Zanzibar kwa remote.
 
Wazanzibar hawana haja ya kutishiwa kuhusu jambo lolote. Hawa walipotafuta uhuru wa taifa lao walikuwa wanajua kuhusu kuongezeka kwa number yao, walikuwa wanafahamu kuhusu kuendesha serikali yao pia kunaitaji gharama kwahiyo wao tuwape uhuru wanaoutaka. Hata Uholanzi kijieneo chao kilikuwa hakitoshelezi wakafanya land reclamation na eneo likawa kubwa. Wakishakuwa na nchi yao pia matatizo yao watajua jinsi ya kuyatatua.

Elezea Wazanzibari kwa nini wasianze hiyo "land reclamation" sasa? Au kwa nini msiifanye Zanzibar kuwa "Dubai?" Kinachowazuia ni nini hasa? Kama wanasubiri Muungano uvunjike ndo waanze kufanya shughuli za kujenga "nchi" yao nawapa pole sana maana Muungano hauvunjiki leo wala kesho!
 
Hata hao wachache sio Wazanzibari? Kwani nilisema WOTE?
Hilo la kura tutaliona huko Dodoma, sidhani kama kuna room nyingine ya kura za maoni!

Kuhusu vyuo nilivyosoma ni vingi na nimefundishwa na Wahadhiri wengi! Kwani tatizo liko wapi hapo? Kama kuulizana vyuo tulivyosoma na walimu waliotufundisha tuwataje, naomba uanze wewe mkuu!
usitaje kura ya itakayopigwa dodoma. Kwani nani asiyejua kuwa wajumbe waliopo kule wameteliwa kimkakati?
suali la kuwa hao wachache sio wazanzibari? jibu ni yes/no- baadhi ndio na baadhi siyo. wapo wengi ambao ni mapandikizi ya Tanganyika/ccm na hawa ndio vitimbakwiri na wanafiki wanaorudisha nyuma juhudi za wazanzibari katika kuondokana na adha hii ya muungano.
Nimekuuliza kuh. walimu na vyuo ulivyosoma kutokana na kukuhisi kuwa hupo flexible katika kuangalia na kupima hoja za wachangiaji. unataka watu wakariri ulichokiandika wewe tu. Nilipatwa na wasiwasi usijekuwa umesomea UDSM.
 
Wazanziba haelewi maana ya nchi, wakasome nn maana ya nchi, ngoja niwape sababu moja tu kubwa wanayoisahau

Nchi haijatangazi yenyewe bali inatambuliwa, je Zanzibar inatambuliwa na nchi gani hapa duniani? Niambieni kama kuna taifa lenye balozi wa Zanzibar. Mstumie nguvu nying kujiita nchi eakati kanuni na shelia ya wewe kuwa nchi huna.

Naomba muendelee kutoa sababu zingine kwanini Zenji c nchi

Bwanamkubwa ningekuuliza jee nchi hii ya Tanzania ilitengenezwa na nani na nani aliyepeleka maombi ya kuingia au kutambuliwa kufa kwa Jamhuri ya Tanganyika na ya Zanzibar kule UNO? Alifanya Mmarekani , Mrusi au Mchina? Hivyo bila ya wewe mwenyewe kujitambua atatokea mwengine akufanyie hilo?
 
Mkuu kwanza nakuomba upunguze kunipiga Ban kwakumsalandia bwana mdogo Lema na unawaacha wanaomtukana Jk. Nimeyasema haya kwakuwa wahenga wana msemo wao wasemao UMUONAPO ZUMBE HAPOHAPO MSALIMIE. Tukirudi kwenye mnakasha nikubaliane na wewe kuhusu hili la influence ya nje katika politics zetu na bila shaka ni kila nchi yeyote duniani haikosi hali hiyo. Lakini Unapowasema wazanzibar ati ni double standard kwenye kauli zao kuhusu masuala ya muungano ni vyema na wewe pia ukajipima ni msafi kiasi gani. Kumbuka unapomnyooshea kidole kimoja mwenzako vyengine vinne vinakuzodoa mwenyewe. Uzuri tunafahamiana humu ndani kwa maandiko yetu ndio maana nakuambia wenye undumilakuwili sio wazanzibar tu bali sisi watanganyika ni zaidi ya hapo. Therefore if we wish to solve the problem then we should remove our hypocratical ideas and deed. Lazima tukisema flani ni mzinzi ni vyema tujitathmini sisi ni wasafi kiasi gani. Arrasso!?

Mkuu inawezekana na mimi nina mapungufu yangu lakini sidhani kama ni vibaya kusema kile ninachoamini! Tushindane kwa hoja sio ku-attack personalities!
Nimeona sasa hivi mmeshaanza kugeuza mjadala na kunijadili mimi badala ya hoja iliyoko mezani! Jadili hoja yangu zaidi ili tusaidia kujenga nchi yetu! Who knows? Unaweza kunishawishi nikabadili mawazo niliyo nayo na kuwa na mtizamo mpya, na ndio maana tuko hapa Jukwaani!
Na huo "undumila kuwili wa Watanganyika" unaousema ndio upi? Unasema hivyo kwa ajili ya "ku-balance equation" au namna gani? Mbona hutoi detail? Au ndo juhudi za ku-divert mada?
 
Zanzibar sio nchi ni kisiwa tu kama ilivyo ukerewe, ukara ndani ya Tanzania. Kuijadili kila wakati ni kuwapa kichwa bure.
 
Umejitahidi sana kuuhalalisha ubovu wa muungano tulionao lakini ukweli utabaki kuwa jinsi ulivyo, kwamba Muungano uliundwa ukiwa na kasoro zake tokea mwanzo. Huwezi ua nchi moja kabisa halafu nyingine ukaiacha kama ilivyokuwa na ukadai kwamba mmeungana kwa usawa na sasa nchi yenu ni moja. Kama ni kufa zife zote ndipo izaliwe nchi hiyo moja mnayotaka kuiunda, kama ni kubaki zibaki zote ili mjue hamjaungana bali mmeunda Jumuiya kama zilivyo SADC, EAC, etc.

Tanganyika haijawahi kufa hata siku moja. Tanganyika ilijibadilisha jina na kuwa Tanzania na baadae ikafanya kama walivyofanya wakoloni, wakajifanya protactorate kwa Zanzibar.
Iwapo umri wako unafikia 50 mpaka 45 unaweza kukumbuka kuwa hakukuwa na aina ya hii ya muungano wakati wa Abeid Karume.
Ajabu watu wanapiga kelele sasa kuhusu wimbo wa Taifa na amiri jeshi wa vikosi na hata bendera wakati vitu hivi havijawahi kuondoshwa Zanzibar.
Wakati wa Karume hakukuwa na uwakilishi wa Zanzibar kwenye Bunge ukiachia mawaziri kama Sepetu na Mwinyi. Karume alikuwa Amiri jeshi wa vikosi vya Zanzibar na yeye ndie aliyechagua mkuu wa majeshi ya Zanzibar. Haya yote na mengine ya utambuzi wa Zanzibar yalifanywa na Nyerere akiwepo, sasa kunakuwa na chungu ya maneno kuwa muungano uliokusudiwa ni huu tulionao sasa.
 
Buchanan

Mkuu, haujamtendea haki PM wetu Mizengo Pinda, umemeuita kama hana cheo chochote.

Cheo ni kuwa na maamuz ya busara na utendaj cheo gani cha kulia lia na unafiki pinda haelewek ni baba au mama
 
usitaje kura ya itakayopigwa dodoma. Kwani nani asiyejua kuwa wajumbe waliopo kule wameteliwa kimkakati?
suali la kuwa hao wachache sio wazanzibari? jibu ni yes/no- baadhi ndio na baadhi siyo. wapo wengi ambao ni mapandikizi ya Tanganyika/ccm na hawa ndio vitimbakwiri na wanafiki wanaorudisha nyuma juhudi za wazanzibari katika kuondokana na adha hii ya muungano.
Nimekuuliza kuh. walimu na vyuo ulivyosoma kutokana na kukuhisi kuwa hupo flexible katika kuangalia na kupima hoja za wachangiaji. unataka watu wakariri ulichokiandika wewe tu. Nilipatwa na wasiwasi usijekuwa umesomea UDSM.

Mkuu tujadili hoja, hayo ya kusomea wapi tuachane nayo maana hayasaidii mjadala huu kwa kuwa Vyuo havifundishi watu kufikiri kwa mwelekeo fulani bali mnaweza kusoma Chuo kile kile mkawa na mawazo tofauti! Chukua mfano wa Tundu Lissu amesomea UDSM, kafundishwa na Prof Shivji! Hawa wawili wana msimamo tofauti: Tundu Lissu - Serikali 3, Prof Shivji - Serikali 2!
Juu ya flexibility, sidhani kama siko flexible, kila hoja nimejibu kulingana na ilivyotolewa! Mimi nakuona wewe sio flexible kwa kuwa unawaita wenzako wenye mawazo tofauti na ya kwako kuwa ni "Wasaliti!" Huko ndio kuwa flexible?
 
Elezea Wazanzibari kwa nini wasianze hiyo "land reclamation" sasa? Au kwa nini msiifanye Zanzibar kuwa "Dubai?" Kinachowazuia ni nini hasa? Kama wanasubiri Muungano uvunjike ndo waanze kufanya shughuli za kujenga "nchi" yao nawapa pole sana maana Muungano hauvunjiki leo wala kesho!

Nani kakuambia idadi yao imezidi eneo wanaloishi? Mimi nimemjibu huyo mwenzako aliyekuwa anawatishia eti eneo lao dogo.
 
Kwa kuwa wanatufaidi sana ila nawaonea huruma!!! Sovereign !!!! Sovereign!!!! Wafikirie sana hili!!!

wao wanasema kila siku bara imewabana hawapumui vizuri, wanadanganywa sana na waarabu pasipo wao kujijua
 
Hakuna "ndoa" isiyopita kwenye misukosuko hata kidogo na misukosuko ndiyo inayoiimarisha! Hata hivyo wazo lako la Serikali moja ni jema na aliwahi kulitoa PM Pinda nalo halikuwafurahisha baadhi ya watu!

kama ni ndoa nina imani kuwa ZANZIBAR ni mke na TANGANYIKA ni mume sasa kama kawaida mume ndo huongoza familia wazanzibari kazi yako kunyonyesha watoto na kubeba mimba tutafanyaje sasa ndo washaolewa na tanganyika na posa wamekula tangu mwaka 1964 haiwezekan lazma watulie tu wakazwe
 
Back
Top Bottom