Buchanan
JF-Expert Member
- May 19, 2009
- 13,192
- 1,976
- Thread starter
- #221
cha kushangaza Mhe Pinda huyu huyu even baada ya kupigwa vijembe kwa kauli yake bado hajalearn kwamba mfumo wa mbili haukubaliki. Sijaona kikubwa katika matamshi yyake zaidi ya kuwaamsha wazanzibari walioambiwa wao ni nchi ndani ya nchi, alipotamka Mhe Pinda tena bungeni ndio vuguvugu la kubadili katiba lilipoanza. Sio double standard, atakumbukwa kwa kuamsha demokrasia iliokuwa katika usingizi mzito. Kwa kauli ya mahakama still wazanzibari hawakuliona kubwa pia kwa wakati ule hasa kwa vile wanajuwa mamlaka ya kuipindua hayatakuwepo hasa baada ya muungano na kwamba suala la ulinzi ni la muungano na hivyo lisingewezekana. Iko mifano ya miungano ya defence kama wa EU ambapo nchi mwanachama hawezi kupinduliwa japo kuwa nchi husika zimebaki sovereign kamili, Charter zao zimeweka wazi kuzilinda nchi wananchama. Lakini Kauli ya Pinda kama kiongozi mkuu wa serikali ndio iliopiga msumari wa ukweli kwamba hakukuwa na nchi kama ambavyo wazanzibari walivyoamini.
Walipoteza muda bure kuanzisha "nchi" ambayo haipo kisheria! Ona sasa baada ya kuianzisha hiyo "nchi" bado wanadai "nchi yao!"