Not science-defects in early embryology!Mungu ameumba jamani.
Hadi mwili unanisisimka maana naogopa nyoka balaa
Not science-defects in early embryology!
Please explain. Was this as a result of a defect? Kumaanisha there are no double headed snakes?
Wanasema Mungu kaumba, mimi nasema ni this can be explained by science. Kwanini tunakimbilia Mungu wakati kuna majibu ya sayansi?
Hebu angalia hapo uvunguni kama nimemuona kama huyu
Acha basiiiii!!!!!
Yeah uko sahihikilema cha namna hiyo kwa viumbe hawa(nyoka) ni kawaida sana. Ingawa huyu sio python. Huyo ni nyoka wa kawaida sana maana Python ni Chatu na huwa mrefu sana.
Not science-defects in early embryology!
Wanasema Mungu kaumba, mimi nasema ni this can be explained by science. Kwanini tunakimbilia Mungu wakati kuna majibu ya sayansi?