Dotto Magari: Chawa au Mshawishi Hatari?

Dotto Magari: Chawa au Mshawishi Hatari?

Siku zote watu wamekuwa wanachukua fursa, ni aina ya fursa tu ndio zimetofautiana.
Hakika wakati walimwengu mna sema yeye ana make doo, hakuna usawa mkuu

It's struggle for survival
 
Nina Imani hata hao maboss wenyewe wanaosifiwa na hawa machawa wanaona kama wanadhalilishwa,maana machawa ni kama wanaforce Kwa lazima ilimradi wapate hela kwa nguvu
Ukisha mzoesha chawa kumpa elf 10 au laki atakuganda uumpe hiyo hiyo

Wao Wanaita kuchekecha
 
Sioni tatizo lolote la Dotto. Wewe uliyemfungulia uzi ndo una matatizo ya akili na wivu. Dotto anafanya matangazo na namna anavyofanya ndo style inayouza zaidi kwa sasa. Kuna watu msipobadili fikra zenu mtakufa maskini.
 
Hao jamaa wanapenda kusifiwa na kuombwa pesa hadharani na Dotto anaelewa na mshipa wa aibu hana, nasikia ukizoea kusifiwa na machawa ni very addictive
Sana tuu.
Ni nani asiye penda sifa? Hasa matajiri
 
Sioni tatizo lolote la Dotto. Wewe uliyemfungulia uzi ndo una matatizo ya akili na wivu. Dotto anafanya matangazo na namna anavyofanya ndo style inayouza zaidi kwa sasa. Kuna watu msipobadili fikra zenu mtakufa maskini.
Humjui doto vizuri wewe...
 
Maoni binafsi kwenye kutukana wasomi?
Wewe hua ni mgumu sana wa kuelewa,inaonekana uliwasumbua sana walimu wako,

Nimesema maoni binafsi ya huyo aliyetoa maoni yake ila wewe ukayaita ni fact,mimi sijamuongelea huyo Doto.
 
Wewe hua ni mgumu sana wa kuelewa,inaonekana uliwasumbua sana walimu wako,

Nimesema maoni binafsi ya huyo aliyetoa maoni yake ila wewe ukayaita ni fact,mimi sijamuongelea huyo Doto.
Sasa kwani mawazo ya mtu hayawezibkuwa fact?
 
Sasa kwani mawazo ya mtu hayawezibkuwa fact?
Ndio maana nikakuuliza unajua maana ya fact? Hukujibu,mawazo ya mtu hayawezi kua fact hata siku moja,
An individual opinion cannot be a fact,
A fact is an objective reality that can be proven true or false with evidence,
An opinion is a personal view, feeling, or value judgment that cannot be proven
 
Sasa why are you judging if that is not a fact na hujaipitisha katika mizani?
 
Hivi doto magari anajielewa kweli?

Yaani unakuwa chawa na kuomba hela kisa kupamba watu na mafanikio yao kweli?

View attachment 3653743

Sasa Maybach sio yako, unasifia wanaume wenzako na bado, unatambia wanaume wengine kwa kusikia wanaume...

Na wamatumbi tu bwana..

Na msanii wake jamaa linamdhalirisha mbele ya media.. Imagine dogo Rema anakuja kuwa independent na maisha yake si atakuja kujutia tu?
View attachment 3653748

Watu kama hawa ndo wanawaaminisha vijana kuna shortcut kwenye maisha.

Aisee ifike mahala kama taifa tuwe na limits kwa influencer wa namna hii ndo maana kuna vizazi vilivyo shindikana.

Ila Tukiachana matani jamaa anakula maisha kizembe sana huyu, vijana igeni mpasuke misamba..
View attachment 3653753

Wasomi hii 👋
Hivihivi unavyomuona hajielewi ndiyo anaishi, analisha familia, anasomesha watoto(japo yeye hata elimu ya msingi hakusoma) na anasafiri huku akifurahia maisha.
He is a fighter in his own way, au mnataka arudie shughuli zake za zamani za pickpocketing, ukabaji na kuvunja nyumba za watu?
 
Sasa why are you judging if that is not a fact na hujaipitisha katika mizani?
Huna akili wewe,wala hujui hata kinachojadiliwa,kumbe ulirukia tu kuniquote wakati akili ya uelewa huna,
Usinisumbue,huna akili ya uelewa,wewe kukufahamisha jambo ni kazi bure tu,

Viswali vya kitoto na havina maana wala havihusiani na nilichokisema.
 
Acha kuleta truntum boya wewe
 
Back
Top Bottom