Dotto Magari: Chawa au Mshawishi Hatari?

Huna akili wewe,wala hujui hata kinachojadiliwa,kumbe ulirukia tu kuniquote wakati akili ya uelewa huna,
Usinisumbue,huna akili ya uelewa,wewe kukufahamisha jambo ni kazi bure tu,

Viswali vya kitoto na havina maana wala havihusiani na nilichokisema.
Kama huna hoja usiwe unapita kwenye mada zangu sio kuleta ujinga na ujuaji wakati huna kitu cha kuonesha...

Usilete hasira na udwanzi wa kishamba
 
Hivihivi unavyomuona hajielewi ndiyo anaishi, analisha familia, anasomesha watoto(japo yeye hata elimu ya msingi hakusoma) na anasafiri huku akifurahia maisha.
He is a fighter in his own way, au mnataka arudie shughuli zake za zamani za pickpocketing, ukabaji na kuvunja nyumba za watu?
I appreciate him for that na watu wanamwamini because he's a good ambassador
 
Kama huna hoja usiwe unapita kwenye mada zangu sio kuleta ujinga na ujuaji wakati huna kitu cha kuonesha...

Usilete hasira na udwanzi wa kishamba
Kama huna akili ya uelewa usiwe unauliza vimaswali kama vile umekatwa kichwa,
Hii sio mada yako bali ni mali ya JF,ukisha post mada hapa inakua sio mada yako bali ni mali ya JF,ndio maana huwezi kufuta uzi,

JF is an open forums.
 
Sasa nimekuuliza swali unaleta drama unategemea nini?

Mimi huwa siwavumilii washenzi kama wewe. Wewe kama ungekuwa na akili ungetetea madai yako sio kuongea shit eti una akili!

Akili au ujinga?
 
Naona imekuchoma kama pasi,mpaka comment yangu moja unaijibu kwa kuiquote mara mbili.
Issue ni kuwa wewe na ujinga wako humu wakuleta personal trauma ukomee huko huko unako kujua wewe.. Sio on my zone..

Sikuachi salama kabisa
 
Sasa nimekuuliza swali unaleta drama unategemea nini?

Mimi huwa siwavumilii washenzi kama wewe. Wewe kama ungekuwa na akili ungetetea madai yako sio kuongea shit eti una akili!

Akili au ujinga?
Nitetee mada yangu ipi? Unajua maana ya mada?

Wewe ungekua na akili timamu usingeita individual opinion kua ni fact,
Wewe debe tupu take a break,kajifindishe jinsi ya kuendesha mijadala,kisha ndio uje tena JF.
 
Issue ni kuwa wewe na ujinga wako humu wakuleta personal trauma ukomee huko huko unako kujua wewe.. Sio on my zone..

Sikuachi salama kabisa
Wewe zaidi ya kuweka vibroken english vyako humu,huna kingine.
 
Nitetee mada yangu ipi? Unajua maana ya mada?

Wewe ungekua na akili timamu usingeita individual opinion kua ni fact,
Wewe debe tupu take a break,kajifindishe jinsi ya kuendesha mijadala,kisha ndio uje tena JF.
Skia wewe boyaa
Usiniletee ushamba wako wa manipulative intelligence kwangu, mimi huwa sichezewi na wajinga type yenu..

I respect people who respect themselves sio washenzi kama wewe, debe tupu ni wewe ambaye hata hukuanzisha mada..

Next time kama huwezi kujadili kitu, usilete ujuaji binafsi bila kutoa madai..

It's nonsense
 
Wacha weee! Basi hapo mwenyewe unajiona umepiga bonge la mkwala eeh! Yani wewe kichekesho cha jf unipige mkwala mimi?

Wewe ni debe tupu kubali tu,zaidi ya kuchomeka hivyo vi broken english vyako huna cha zaidi.
 
Mimi huwa sichezewi.
 
Boya nini

Am too aware ndo maana wanaosoma na ku comment ni wengi.
Yani kufungua uzi wa kumjadili Dotto magari ndio unajisifia? Ndio maana nakuita debe tupu,unafungua uzi wa kujadili harakati za mwanaume mwenzio!! Halafu unajisifia!
 
Back
Top Bottom