Dotto Magari: Chawa au Mshawishi Hatari?

Huyu jamaa ni Faaala sana anatembelea upepo wa SirMia ngoja kuna siku ataishi maisha mabaya sana huyu Mpuuzi.

Alishawahi kuwatukana wanachuo hawana akili ipo siku hao wanachuo wakija kuwa na nafasi au ushawishi kwenye hii nchi, huyu boya ataiona nchi ni jehanam.
Umemtukana na kumuombea mabaya ila unaonekana unamfuatilia sana,unajua mpaka anao wasema na aliwasema lini,wabongo bhana mnapenda sana kuombeana maisha mabaya,Get a life man acha chuki binafsi
 
Hivi doto magari anajielewa kweli?

Yaani unakuwa chawa na kuomba hela kisa kupamba watu na mafanikio yao kweli?

View attachment 3653743

Sasa Maybach sio yako, unasifia wanaume wenzako na bado, unatambia wanaume wengine kwa kusikia wanaume...

Na wamatumbi tu bwana..

Na msanii wake jamaa linamdhalirisha mbele ya media.. Imagine dogo Rema anakuja kuwa independent na maisha yake si atakuja kujutia tu?
View attachment 3653748

Watu kama hawa ndo wanawaaminisha vijana kuna shortcut kwenye maisha.

Aisee ifike mahala kama taifa tuwe na limits kwa influencer wa namna hii ndo maana kuna vizazi vilivyo shindikana.

Ila Tukiachana matani jamaa anakula maisha kizembe sana huyu, vijana igeni mpasuke misamba..
View attachment 3653753

Wasomi hii 👋
Kuweka taarifa sawa, hio gari sio Maybach.Ni MB S Class wameweka Maybach labels tu.
 
Hii yote imeletwa na Gen Z wanapenda mambo ya kijinga kuliko vitu vya maana na wamekuwa wepesi sana kutolewa kwenye Reli kama walivyotolewa kirahisi kuhusu suala lile la bilioni 50 za mikopa kwa vijana sijui hata wameishia nalo wapi😀😀😀
Sasa si malezi mkuu..
Wakulaumiwa ni nyie wazazi
 
Umemtukana na kumuombea mabaya ila unaonekana unamfuatilia sana,unajua mpaka anao wasema na aliwasema lini,wabongo bhana mnapenda sana kuombeana maisha mabaya,Get a life man acha chuki binafsi
Sasa si anasema facts lakini..
Tukisema vijana wote wabishi kama yeye tutakuwa na taifa la namna gani?
 
Hivi doto magari anajielewa kweli?

Yaani unakuwa chawa na kuomba hela kisa kupamba watu na mafanikio yao kweli?

View attachment 3653743

Sasa Maybach sio yako, unasifia wanaume wenzako na bado, unatambia wanaume wengine kwa kusikia wanaume...

Na wamatumbi tu bwana..

Na msanii wake jamaa linamdhalirisha mbele ya media.. Imagine dogo Rema anakuja kuwa independent na maisha yake si atakuja kujutia tu?
View attachment 3653748

Watu kama hawa ndo wanawaaminisha vijana kuna shortcut kwenye maisha.

Aisee ifike mahala kama taifa tuwe na limits kwa influencer wa namna hii ndo maana kuna vizazi vilivyo shindikana.

Ila Tukiachana matani jamaa anakula maisha kizembe sana huyu, vijana igeni mpasuke misamba..
View attachment 3653753

Wasomi hii 👋
Gen Z wako mislead sana
 
Usichojua ni analipwa na ukiangalia vizuri video zake ni kama anafanya promotion au tangazo kwa utani lakini message inafika, kwa ufupi yupo kazini nafikiri ni very smart
 
Najua ila ile ya kuomba hela kwa jamaa wa Maybach ni kujidhalilisha kabisa
 
Sema machawa wa siku hizi na wenyewe zero brain kabisa,mtu hajui hata kuongea zaidi ya maneno ya kusifia aliyokariri kama scripts za movie.mtu kama mwijaku anaongea kama ana maji mdomoni na anachoongea unaona kabisa ni pointless hata ushawishi hakina ila mazuzu ndio wanamuita chawa!!! Hebu tuionee huruma hata fani ya uchawa jamani maana imevamiwa,Bora hata enzi zetu ukimuona chawa ni chawa kweli yaani ana sound mpaka boss unasema hapa kweli chawa yupo.Hakuna chawa sasa hivi ni makapi tu na watu waliopigwa na shida za dunia wanatafuta pa kuchomokea ila kiuhalisia hakuna chawa bali ni chawa hewa yaani wamefoji vyeti
 
Dotto uchawa alianza kitambo sana kusifia wenye hela especially wale wapiga dili nakumbuka kino nyuma ya mwanamboka kulikuwa na bar inaitwa full stop kutwa alikuwa pale mtu atasifiwa mpaka basi
Maneno mengi unajuwa wabongo wanapenda kusikia lopolopo,hapo kaacha ngada ilipokuja social media ndy hivyo
Content creator bongo wengi ni wale maneno mengi na wale wanawake wenye makalio makubwa kutwa kuyatingisha kuyanadi na wana views kweli 😄

Ova
 
Wabongo wengi wanapenda upuuzi wake, kina Mwijaku na wengine ndio maana wanatrendi.
 
Sema machawa wa siku hizi na wenyewe zero brain kabisa,mtu hajui hata kuongea zaidi ya maneno ya kusifia aliyokariri kama scripts za movie.mtu kama mwijaku anaongea kama ana maji mdomoni na anachoongea unaona kabisa ni pointless hata ushawishi hakina ila mazuzu ndio wanamuita chawa!!! Hebu tuionee huruma hata fani ya uchawa jamani maana imevamiwa,Bora hata enzi zetu ukimuona chawa ni chawa kweli yaani ana sound mpaka boss unasema hapa kweli chawa yupo.Hakuna chawa sasa hivi ni makapi tu na watu waliopigwa na shida za dunia wanatafuta pa kuchomokea ila kiuhalisia hakuna chawa bali ni chawa hewa yaani wamefoji vyeti
Wanasema kipaji kutoka kwa mola eti..
 
Back
Top Bottom