Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa imewekwa pembeni mkuu.Siku hizi nchi inajengwa na rais na sio serikali tena
Kwa sasa ipo serikali ya Mh mama SSH.
Sicilia inavyotajwa kwenye majukwaa na vyombo vya habari. š¤£š¤£š¤£
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa imewekwa pembeni mkuu.Siku hizi nchi inajengwa na rais na sio serikali tena
Mmezoea kubembelezwa. Mlivyo walkway mzee wa kazi akawapotezea mkakoswa mwelekeo basi ikawa Nongwa. Jaribuni kususia Tena mtasugua benchi hadi mvi zitawatoka mabwege kabisa.Hakuna mpenda haki aliyeshiriki uchaguzi wa kihayawani wa 2020. Labda kama ni sifa za kinafki.
Huyu anaye kingia kifua ndugu zake uku geita kubomoa nyumba za wananchi 439 nyarugusu geita.Mh Dotto Biteko ni mnyenyekevu pia nafikiri samia alifanya chaguo sahihi
Hakuna anayetaka kubembelezwa ila tunawashangaa chama kina miaka 50+ Bado kinategemea kupora uchaguzi kukaa madarakani kwa shuruti! Hakuna mwenye shida na uongozi unaopatikana kwa njia za kihayawani. Waliopoteza ushawishi ndio wanategemea mabavu kukaa madarakani.Mmezoea kubembelezwa. Mlivyo walkway mzee wa kazi akawapotezea mkakoswa mwelekeo basi ikawa Nongwa. Jaribuni kususia Tena mtasugua benchi hadi mvi zitawatoka mabwege kabisa.