Unapewa unaibu waziri mkuu badala ya kufanya kazi wewe unaishia kuwa motivesheni speaker tu.Yaani,
Ni mshangao kwa walio wengi. Ila, we saw it coming.
Matumizi yake ili kuhakikisha Majaliwa hana nguvu sana yameisha.
Siasa hizi! Na mseme kuna maridhiano?
Mkuu kasome Katiba vizuri, usilete ufundi wa kujenga hoja hapa. Kuna baadhi ya nafasi ambazo Katiba inakataza mtu ambaye wazazi wake hawana asili ya Tanzania, kuzishika zikiwemo hizo za maamuzi (Waziri Mkuu, Makamu wa Rais na Rais).
Lakini katiba haizuii kwa raia yeyote kuwa mbunge au waziri wa kawaida.
Tubishane kwa hoja.
Bashungwa bora alivyotolewa .wizara ya mambo ya ndani ni lawamaInnocent Bashungwa, Jenister Mhagama.
Mazanzibar mengi hayana akili kwanini wanayapa uongozi
Shangaaa na ww ajabu hiiIla mkampa ubunge?
Mfuate ukamliwazeKatupwa jamani roho imeniuma sana
Ukweli sikubariani na seriakili dhalimu na teuzi zake. Angekuwepo au asingekuwepo sawaYaani,
Ni mshangao kwa walio wengi. Ila, we saw it coming.
Matumizi yake ili kuhakikisha Majaliwa hana nguvu sana yameisha.
Siasa hizi! Na mseme kuna maridhiano?
Tangu lini Mnyarwanda akawa mbunge wa Tanzania,wewe ni mpumbavuBiteko ni Mnyarwanda acheni ujuaji
RABAIKAElimu zao wote za mchongo. Huwezi kuta mzenji kasoma elimu inayoeleweka.
Kimeshafutwa, hakipo kikatiba.Biteko kaachwa na cheo chake kikafutwa rasmi au
Swali konki sana hili π.Kama Biteko ni mnyarwanda mbona Samia ni muomani na ni Rais? Vipi nchimbi? kwa nini hamsemi kuwa ni mmalawi? π²
Jenister atarudi fastaa, ngoja akamalizie kupeleka hela kwa mganga wake wa mitomonii.Innocent Bashungwa, Jenister Mhagama.
Hakumalizia hela, we subiri akapeleke uone.Mganga wa Jenesta kakosea kuchanganganya tunguri ama?
Jamaa yetu kalamba unaibuKila zama na kitabu chake
Kaa kwa kutulia, huelewiMnyarwanda.
Tena tapeli haswaaaa ππππNarudia tena, mganga wa dotto ni tapeli