Dot Kom hii

Dot Kom hii

Mutensa

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2009
Posts
421
Reaction score
92
Nimetoka zangu home jioni kumsindikiza mgeni. Nakutana na mtoto wa kike, bila shaka fom 4. Anatoka shule - kitu pekee kinachomtambulisha kuwa ni mwanafunzi ni Unifomu. Vinginevyo amekamata smatifoni, whatsap kwa wingi na simu inaingia hii, inakatwa hii, inapokelewa ile. Hakuna hata daftari moja mkononi wala begi. Swali ni je - siku hizi kila kitu elektroniki online jamani? Hakuna hata notes darasani. Mh - kwa mtindo huu Div. ....

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Dunia imechange! Enzi zetu haikua rahisi umkute gal ana t.ako huge kumzidi Ticha ! Siku hizi wanafunzi mi.t.a.ko hhin'hhaa!
Unategemea nini! Kama sio dharau kwa maticha!
 
Dunia imechange! Enzi zetu haikua rahisi umkute gal ana t.ako huge kumzidi Ticha ! Siku hizi wanafunzi mi.t.a.ko hhin'hhaa!
Unategemea nini! Kama sio dharau kwa maticha!


Duh nice observasion,nilikuwa sijaligundua hili,wacha nianze kuwachunguza....
 
hahahaaa.... Kwani we ni ticha?

For any desire observation from any one allowed! Due this matter ! Wewe Chocs binafsi yako hulijui hili ?
Au nawewe ulikua miongoni mwa waliowapiku maticha kwa "Nundu" ?
 
Last edited by a moderator:
Siku hizi kuna Google yatosha...
 
For any desire observation from any one allowed! Due this matter ! Wewe Chocs binafsi yako hulijui hili ?
Au nawewe ulikua miongoni mwa waliowapiku maticha kwa "Nundu" ?
Hahahahaa...umenikumbusha kuleee skuli kipindi kile,aisee acha tuu
 
hata walimu nao wanachangia kwani hawayaoni haya.bila kuwasahau wazazi.unamunulia mtoto galax unategemea anaenda kuifanyia nini?
 
Tunakoelekea hata madaftari hayatakuwa na matumizi tena, kila kitu kitakuwa kwenye soft copy, mwalimu anawatumia wanafunzi notes na maswali kwenye email zao, wanasoma wakimaliza kazi wanamrushia mwalimu kwenye email yake naye anapitia kazi zao na kusahihisha kazi inakuwa imemalizika. Dunia inabadilika tena kwa kasi sana, kikubwa ni jinsi gani watoto wetu wanaitumia teknolojia hii.
 
Dunia imechange! Enzi zetu haikua rahisi umkute gal ana t.ako huge kumzidi Ticha ! Siku hizi wanafunzi mi.t.a.ko hhin'hhaa!
Unategemea nini! Kama sio dharau kwa maticha!
Na wanafunzi wakiume nao wamewazidi nini maticha wao wa kiume?
 
Dunia imechange! Enzi zetu haikua rahisi umkute gal ana t.ako huge kumzidi Ticha ! Siku hizi wanafunzi mi.t.a.ko hhin'hhaa!
Unategemea nini! Kama sio dharau kwa maticha!


Hao ni kizazi cha Sindano.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom