Dont try this.....please!

Mkuu kiusahihi ni odometer na ile ya pili calibration zote zipo, kph ma mph.

Huwezi kufika 160 KpH kwa 3000rpm

attachment.php
 
taratibu ndio mwendo!!!
ukifa katika ajali na nyingi sababu zake ni mwendo wa kasi,wengi watahuzunika kwa ajili yako!
 
View attachment 62335
Hii si hapa Dra es salam,ila kwenye highway sehemu za mbugani huko kati ya Mbuyuni na Comfort(Iringa).
Ila dont try this in DSM...please

Ina maana hizo gari ni ambulance au nini???huwa najiuliza wanakuwa mnawahisha wagonjwa hospitali au???wengine huwa wanahatarisha maisha kwa kwenda spidi kali kuwahi apointimenti ya bia moja bar,au kuwahi mademu na wengine ni sifa tu wao kuendesha ktk mwendo mkali!!!tubadilike jamani na kuacha mwendo mkali pasipo sababu na pasiporuhusiwa.kwa mijini kama dar spidi kali yatakiwa kuwa 80-90km/h!!!
 
Back
Top Bottom