Dont try this.....please!

jamani hiyo 150 ndo wasema tusijaribu wakati nilishapiga hadi 165 Dar
 
Kwa jinsi eneo hilo ulilolitaja lilivyo mkeka, hiyo kasi inawezekana. Cha msingi uwe umefunga mkanda, na Airbags zako zote ziwe functional.
 
Ukitaka ujue raha ya Cruiser (hard top)hizi new model endesha kwa speed hiyo.
Afu iwe rough road.
 
Ukitaka ujue raha ya Cruiser (hard top)hizi new model endesha kwa speed hiyo.
Afu iwe rough road.

huku ni kuua gari tu, na kutafuta sifa zisizo za maana, kwanini usiseme iyo speed ukimbie ukiwa lami??
kwenye barabara ya vumbi ni kuua gari tu.
 
attachment.php
 
huku ni kuua gari tu, na kutafuta sifa zisizo za maana, kwanini usiseme iyo speed ukimbie ukiwa lami??
kwenye barabara ya vumbi ni kuua gari tu.
Lami na cruiser unatafuta nini sasa?
Cruiser raha yake ni uko na vichwa unatafuta serengeti mbugani,
Cruiser upo Arusha mjini unawahi mirerani shift ya kuzama usiku nadhani hapa PakaJimmy atakuwa ananielewa.

Hiyo ndiyo kazi na raha ya high speed ukiwa na cruiser siyo kuuzia sura.
 
Last edited by a moderator:
wacha hiyo mm nilishakizungusha hicho kimshale kikatoka 180km/h hadi kikaanza 0mph




lakini nilikuwa Garage na gari ilikuwa juu ya jeki
 
Kwa spidi hizi acha niwe karibu na ww ili niweze kumsaidia shem, kwani muda si mrefu tutakuimbia "kwa ndumi kwa ndumi"
 
kama wenzetu mna mioyo ya plastic kwamba ikipasuka inaungika basi supidi njema lakini kama ni ya nyama na haina supea basi endeleei tu mi simo.
 
wakuu GX 110 toyota verosa , kukamata moro acha otani, mshale unaisha wote na iko na balanca nzuri sana, i like that car
 
Back
Top Bottom