Don't think about Changing Magufuli; Change yourself My Dear!

Azizi Mussa

JF-Expert Member
May 9, 2012
9,172
7,428
Ndugu yangu,

Achana na Fikra eti za kutaka kumbadilisha Rais Magufuli! pambana kujibadilisha mwenyewe ndugu yangu. Magufuli tayari kafanikiwa na anaiishi ndoto yake! Naam, kafanikiwa ndio!

Fanya jitihada kuifanya ndoto yako iwe kweli. Magufuli tayari ana influence watu Mamilioni kwa mamilioni, Magufuli kawasaidia watu mamilioni kwa mamilioni, Jiulize wewe umekwishakufanya nini hadi sasa!? Umeacha athari gani ya kukumbukwa duniani hadi sasa!

Tufanye kitu ama tusifanye, tuwepo ama tusiwepo, muda unasonga mbele kwa kasi sana. Tuacheni kupoteza wakati! Magufuli anasonga mbele na anaendelea kuiishi ndoto yake kila dakika, wewe unaendelea kulia lia tu muda wote. Amka ndugu yangu.

Mafanikio yako na dunia inayokuzunguka yako mikononi mwako! unafanya nini! toka hapo ulipo acha kushabikia upuuzi. Anza kufanya vitu sasa acha kutoa sababu, hakuna sababu ya kushindwa kwa mtu yeyote isipokuwa uvivu wa kufikiri. Punguza kujadili watu wengine na kuwalaumu rafiki yangu. Mwanaume wa kweli ni yule anayetumia mazingira yanayomzunguka kufanya jambo ambalo halijafanywa na mtu yeyote kwenye eneo hilo au hata duniani kwa manufaa yake na binadamu wengine

You are very potential my friend! don't downgrade yourself to that level! kwa nini lakini?
 
To you Lumumba idiots, he is alpha & omega, hawezi kubadilika!
Jenga tabia ya kusimamia kile unachoamini ni sahihi bila kujali sana wengine wanasema nini. Usiwe mfuata upepo. Watu wengi ni wapumbavu, hawafanyi kitu cha maana mpaka waone kinawapa maslahi binafsi. Huo ni upumbavu mkuu, na huo ndio tunatakiwa tuutoe kwenye akili zetu ili tuweze kupata maendeleo.

Tukiendekeza upuzi upuzI tukijifanya Kokosoa wengine lakini tunaendekeza unafiki na upumbavu mwingine tunajidhalilisha kwa kiwango ambacho hatutendei haki elimu zetu na umuhimu wetu wa kuwepo duniani haupo. Ni lazima tujue tunataka nini. Ni lazima tuwe dertamined.

MABADILIKO YOYOTE SI RAHISI HASA KWA JAMII YENYE WATU WASIOELEWA WANACHOKITAKA KAMA WEWE. INATAKA MOYO NA KUJITOLEA SANA. HATA HIVYO HAKUNA JAMBO LINALOWEZA KUFANIKIWA BILA KUJITOA.

NAKUSIHI, TETEA CHOCHOTE UNACHOAMINI NI KWELI HATA KAMA UKO PEKE YAKO. HAKIKISHA UNATUMIA AKILI WAKATI WOTE KABLA YA KUTENDA MAANA HICHO KICHWA HUJAPEWA UFUGIE NYWELE.
 
Na yeye atakosolewa tu maana alikubali kuliongoza taifa na hapo ndipo ulipo udhaifu wa bandiko lako unapaswa kutambua huyo sio mfalme
Uwe mwepesi kuelewa, hata ukiamua kukaa barabarani kuangalia kila gari inayopija derava ana sura nzuri ama mbaya unaweza kufanya tu hiyo kazi lakini haitakuwezesha kufikia ndoto zako na wala huwezi kuwa na manufaa yeyote kwa jamii yako. Sasa kama unaambiwa acha kupoteza wakati fanya mambo ya maana huelewi basi endelea huku umri unakwenda.
 
Na yeye atakosolewa tu maana alikubali kuliongoza taifa na hapo ndipo ulipo udhaifu wa bandiko lako unapaswa kutambua huyo sio mfalme
Na unafikiri hii nchi ilivyo na baadhi ya watu wasiojielewa kama huyo hapo juu, inaweza kuendeshwa bila amri? amri ni lazima na usipotii kwa hiari utatiishwa kwa lazima. Watu waliostaarabika ndio pekee wanaweza kwenda mila amri. Kwa hiyo ukio wewe unaamrishwa kila maara ujue bado hujastaarabika na bila amri huendi ndio maana unapewa stahili yako.
 
Only in Chato.
Watu kama wewe ndio mkiendeshwa kwa amri mnalalmika mbona hamna demokrasia? demokrasia inawahusu watu waliostaarabika tu, watu wanaofikiri kwa utaratibu huu stahili yao ni amri tu na ndio maana Magufuli kaliona hilo na anadili na watu wa dizaini hii kwa staili inayowafaa.
 
Uwe mwepesi kuelewa, hata ukiamua kukaa barabarani kuangalia kila gari inayopija derava ana sura nzuri ama mbaya unaweza kufanya tu hiyo kazi lakini haitakuwezesha kufikia ndoto zako na wala huwezi kuwa na manufaa yeyote kwa jamii yako. Sasa kama unaambiwa acha kupoteza wakati fanya mambo ya maana huelewi basi endelea huku umri unakwenda.
Kutumia muda kwaajili ya kukosoa upuuzi ni faida kubwa kuliko hata hiyo unayoona wewe vile wewe ambae hupendi kufanya hayo ni bora kuwa kimya na kufanya shughuri zako kuliko kupoteza muda kwa watu aina yetu
 
Kwa hiyo ninyi mkirudisha taifa nyuma sawa tu lakini wengine wakirudisha ndio iwe nongwa? watu ambao hawana hoja ya maana na hawana la maana wanalofanya ndio wanafanya kazi eti ya kumtoa kasoro mtu aliewazidi kwa mafanikio hatua mamilioni mbele, kweli wewe unaona hiyo ni sawa kabisa na inapaswa kuachwa kuendelea hivyo?
 
Ndugu yangu,
Don't think about Changing Magufuli; Change you self My Dear!...
Your very potential my friend!
don't downgrade your self to that level!
Fent ford at his best...kwa nini mnang'ang'ania lugha za watu lakini? Kama wewe si fent ford mwenyewe lazima utakuwa pacha wake...akili zile zile, kukurupuka kule kule, kupayuka vile vile...!
 
Fent ford at his best...kwa nini mnang'ang'ania lugha za watu lakini? Kama wewe si fent ford mwenyewe lazima utakuwa pacha wake...akili zile zile, kukurupuka kule kule, kupayuka vile vile...!
Nisingeandika hivyo ungechangia nini sasa? kwanza hata kusoma usingesoma maana wewe unasoma sehemu zilizokosewa au zenye matusi. Sasa kwa kuwa nimekosea hapo , sasa na wewe umepata cha kuchangia haya nakubali nimekosea na hicho sio kingereza sahihi na kingereza sijui. ila najua umeelewa na nakusihi ubadilike.Wewe unayejua kingereza vizuri, kingereza chako kitakuwa hakina maana kama utaendelea na utamaduni wa kushabikia ujinga na hutoi wala kuchangia hoja za msingi.
 
Fungua akili yako wewe, acha kudumaza akili yako kwa kuandika pumba. Tafakari kwa kina kabla ya kuja kuandika ujuha wako humu. Kinana si Chadema lakini ameliona hili.

Watu kama ninyi eti ndio mnalalamika hampewi demokrasia, demokrasia inawahusu watu waliostaarabika na wanaojitambua tu. Watu wasiojielewa wanatakiwa wapelekwe kwa amri ndio wanaenda na wakilalamikia amri ya kwanza wanaongezewa amri ya pili. hiyo ndio haki yao wanayostahili ili tuweze kwenda sawa.
 
...kama utaendelea na utamaduni wa kushabikia ujinga na hutoi wala kuchangia hoja za msingi.
Hoja ya msingi iko wapi? Yaani wewe betlehem uwe na hoja za msingi! Angalia usinivunje mbavu, hoja ya msingi utaitoa wapi? Kwamba Magufuli habadiliki? Mbona unakufuru wewe kilaza...habadiliki kivipi? Kiakili, kitabia, kimaumbile au kimaslahi? Mwenye sifa hizo hana uhai...amekufa, ni maiti.
 
Kwa hiyo ninyi mkirudisha taifa nyuma sawa tu lakini wengine wakirudisha ndio iwe nongwa? watu ambao hawana hoja ya maana na hawana la maana wanalofanya ndio wanafanya kazi eti ya kumtoa kasoro mtu aliewazidi kwa mafanikio hatua mamilioni mbele, kweli wewe unaona hiyo ni sawa kabisa na inapaswa kuachwa kuendelea hivyo?
Kuwa na mamilioni sio kinga ya kukosolewa pale unapoharibu, mtu yeyote muelewa(hata tajiri unayemuabudu na kumsifia hata akikosea) hufanyia kazi maoni ya wakosoaji na kurekebisha pale alipokosea. Lakini mpumbavu hata akikosolewa pale alipokosea ataona katukanwa maana kalewa pesa/cheo na kuona kila afanyalo linahitaji kupigiwa makofi.
 
Mawazo mfu kabisa kutolewa na baba mzima.
Mwenzako anasema dada wewe unasema baba all in all wote mnaongea upuuzi tu, na watu kama ninyi ndio magufuli hiwapeleka kwa amri! Demokrasi ni kwa ajili ya wanaojitambua tu

usitembee juu ya ardhi kwa majivuno
 
Back
Top Bottom