Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,418
- Thread starter
- #21
Hahahahahahaha! Haijawahi kuwa hivyo kwangu, ni mpambanaji tu but bado nipo huku huku chini.Hii ni mbinu ya wewe kutaka kujipunguzia competition, because you know it's few of you up the ladder and you are directing them there.
Uzuri, they know and they don't know what they want in us, it will always be as it has been.
Halafu mimi yangu yashaniishia, now ni mwendo wa kutafuta tu hizo six cars, habari ya six packs tulifanya kipindi hicho tumemaliza advance hatuna ishu mtaani kula na kulala home tu