Don't give player a reason

Don't give player a reason

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
22,477
Reaction score
21,023
Unafiki gheto weekend au hata weekdays kwanza....we ndo wa kwanza kunikumbusha tupeleke bill ya chips kwa Mayweather ,hapa umuhimu wako wa hata kupika siuoni .

Unakuta nguo chafu ghetto we ndo wa kwanza kulalamika ooh baby chumba chako hukiweki kwenye mpangilio ,usaf na nguo chafu hujapeleka tu kwa dobi?(hapa mchezo nausoma tu)
Kuanzia ijumaa hadi jumapili unalazimisha usiku lazima tutoke club au sehemu yoyote ile "nikakamulike maziwa"...nadhani ndo raha yako OK sawa....nikikataa tu kidogo ooh baby acha ushamba!!

Uko kila social networks ,Tango,facebook,twitter ,una magroup 25 whatapp etc stories zako ooh nime upload picha Instagram nimepata likes 10000 ,baby hata like yako sijaiona "una roho mbaya we janaume!!" Najinong'oneza hivi mbona hataki tupige story za MMU za kuelimisha mapenzini kama thread za kaka Mtambuzi ?

Mbaya zaidi unalalamika ooh week hii hujanipa hela yakusuka halafu imetoka fashion mpya ya High heel inaitwa kimkardashian naomba hela,Me sikunyimi utapata baby ( natimiza moja ya majukumu yangu) ,isitoshe huachi kuulizia "UNA MPANGO GANI NA MIMI BABY,UTANIOA LINI"? Harusi ya akina miss chagga ame upload instagram wamependeza....Daaah hua nasikitika sana rohoni sema mimi nikidume akili inakua tu kichwani wala sikuambii unakosea wapi kwa sababu hata wengi za mademu wa wasikaji zangu akina Mentor Kaizer Mashaxizo mshana jr kabanga wako hivi hivi siwezi nikakubadilisha kama wewe mwenyewe na kizazi chenu umuhimu wa kuwa HAWA/EVA hujauona

Nakuja kukufanyia evaluation umekuja hadi unaondoka nikijumlisha na zile gharama zangu za virungu vidogo vidogo through the week so far " UWEPO WAKO SIONI UMUHIMU WAKE " Man and half majibu ninayopata "HUNA UMUHIMU KWANGU" You are not wife material, You give me a reason to be a player
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha sasa usipomwambia anakosea atajuaje hupendi ye anaona sawa tu
 
Muda wote huo ulikuwa unangoja nini? Hata kwao hawakujui unataka umtumikishe ghetto kwako, ghetto la kwako kwa nini usipangilie vitu vyako?
 
Hapo kwe usafi acha kujitoa ufahamu asee,unataka nani aje akupangie ghetto lako?
 
Na mimi nasema hivi....don't give a player the chance to hurt u... Unajitolea kufanya yote hayo mwisho wa siku u get dumped bila hata huruma na huku anatamba 'she is too cheap and stupid' my girl,If you can play dumb just do it....hawa viumbe hawanaga shukrani hata chembe. Timiza majukumu yako ya msingi kama mwanamke na mpe nafasi yake kama mwanaume, mheshimu ila pia heshimu mipaka yako,kama umeamua kufanya ya ziada fanya kwa mapenzi but do not expect something in return....mwisho wa siku kama ipo ipo tu.
 
Lakini pia kuna ka msemo ka "If you get free milk ......"
 
Na mimi nasema hivi....don't give a player the chance to hurt u... Unajitolea kufanya yote hayo mwisho wa siku u get dumped bila hata huruma na huku anatamba 'she is too cheap and stupid' my girl,If you can play dumb just do it....hawa viumbe hawanaga shukrani hata chembe. Timiza majukumu yako ya msingi kama mwanamke na mpe nafasi yake kama mwanaume, mheshimu ila pia heshimu mipaka yako,kama umeamua kufanya ya ziada fanya kwa mapenzi but do not expect something in return....mwisho wa siku kama ipo ipo tu.

Kati ya hao ambao hawana shukrani wangefanyiwa wanachopaswa wangekua wameshaoa
 
Muda wote huo ulikuwa unangoja nini? Hata kwao hawakujui unataka umtumikishe ghetto kwako, ghetto la kwako kwa nini usipangilie vitu vyako?

She doesn't act like a lady ,ukanitambulishe kwenu what for?
 
Kati ya hao ambao hawana shukrani wangefanyiwa wanachopaswa wangekua wameshaoa

Sasa utajuaje anachotaka kufanyiwa kama hasemi.....mtu anajiponda kufanya makubwa kumbe maskini ya Mungu anaenda opposite direction....kwa nini usimwelekeze mwenzio badala yake unamuinjoi,unamtegea ili akosee upate sababu ya kumwacha...shame on u mabazazi
 
Majukumu basic ya mwanamke kama ubavu wangu bila kusahau ushauri nzuri ,upstair pawe positive etc the things those don't cost
 
Kwa vitu ambavyo havicost sawa ila kuungua na kuchubuka mikono ili uwe considered sijui....
 
She doesn't act like a lady ,ukanitambulishe kwenu what for?

Kumbe unajua huna hiyo hadhi ya kutambulishwa kwao, kwanini umtegemee atimize majukumu ambayo hakuna mamlaka(taasisi ya ndoa) inayomtiisha kufanya majukumu ya ghetto. By the way wanaume wanao-oa hawakai kwenye ma ghetto utalelea wapi familia.
Wengine ni vivulana mnataka kuwa wanaume, kutunza mke hamuwezi ila mnataka mhudumiwe kama waume.
Bora umwache mapema kabisa huyo mtu.
 
Unafiki gheto weekend au hata weekdays kwanza....we ndo wa kwanza kunikumbusha tupeleke bill ya chips kwa Mayweather ,hapa umuhimu wako wa hata kupika siuoni .

Unakuta nguo chafu ghetto we ndo wa kwanza kulalamika ooh baby chumba chako hukiweki kwenye mpangilio ,usaf na nguo chafu hujapeleka tu kwa dobi?(hapa mchezo nausoma tu)
Kuanzia ijumaa hadi jumapili unalazimisha usiku lazima tutoke club au sehemu yoyote ile "nikakamulike maziwa"...nadhani ndo raha yako OK sawa....nikikataa tu kidogo ooh baby acha ushamba!!

Uko kila social networks ,Tango,facebook,twitter ,una magroup 25 whatapp etc stories zako ooh nime upload picha Instagram nimepata likes 10000 ,baby hata like yako sijaiona "una roho mbaya we janaume!!" Najinong'oneza hivi mbona hataki tupige story za MMU za kuelimisha mapenzini kama thread za kaka Mtambuzi ?

Mbaya zaidi unalalamika ooh week hii hujanipa hela yakusuka halafu imetoka fashion mpya ya High heel inaitwa kimkardashian naomba hela,Me sikunyimi utapata baby ( natimiza moja ya majukumu yangu) ,isitoshe huachi kuulizia "UNA MPANGO GANI NA MIMI BABY,UTANIOA LINI"? Harusi ya akina miss chagga ame upload instagram wamependeza....Daaah hua nasikitika sana rohoni sema mimi nikidume akili inakua tu kichwani wala sikuambii unakosea wapi kwa sababu hata wengi za mademu wa wasikaji zangu akina Mentor Kaizer Mashaxizo mshana jr kabanga wako hivi hivi siwezi nikakubadilisha kama wewe mwenyewe na kizazi chenu umuhimu wa kuwa HAWA/EVA hujauona

Nakuja kukufanyia evaluation umekuja hadi unaondoka nikijumlisha na zile gharama zangu za virungu vidogo vidogo through the week so far " UWEPO WAKO SIONI UMUHIMU WAKE " Man and half majibu ninayopata "HUNA UMUHIMU KWANGU" You are not wife material, You give me a reason to be a player

Hahahhahaaaa mwekundu umeua umepiga mulemule
 
Last edited by a moderator:
Yeye ndo anaona yuko sahihi kuishi hivyo

Mtu yeyeto unayetaka kuishi naye kurekebishana na jukumu lenu wote labda useme hataki kubadilika hapo ndio shida...... Lakini kusema anakuja geto hataki kupafanyia usafi anajiona asije kuishia kwenye kutumikishwa wengine wakamalizia.....mpe nafasi ya kujiona ndio mmiliki halali
 
Back
Top Bottom