kwa mda tu.Unakosa vingi
Na mimi nasema hivi....don't give a player the chance to hurt u... Unajitolea kufanya yote hayo mwisho wa siku u get dumped bila hata huruma na huku anatamba 'she is too cheap and stupid' my girl,If you can play dumb just do it....hawa viumbe hawanaga shukrani hata chembe. Timiza majukumu yako ya msingi kama mwanamke na mpe nafasi yake kama mwanaume, mheshimu ila pia heshimu mipaka yako,kama umeamua kufanya ya ziada fanya kwa mapenzi but do not expect something in return....mwisho wa siku kama ipo ipo tu.
Hahahaha sasa usipomwambia anakosea atajuaje hupendi ye anaona sawa tu
Hahaha majibu yako siku hizi yanaashiria kitu.
Good morning!
Leo nimeamka na upako...
mwekundu unakosea. Sitaki demu/girlfriend wa kuja kunifulia nguo na kunipangia nguo...sikufundishwa hivyo jandoni!
Pili, Unapaswa kufahamu ulivyolelewa wewe na alivyolelewa yeye ni TOFAUTI.
Tatu, ukitaka kuwa na amani moyoni...usitoe kuliko uwezo wako, usitegemee kupita kiasi, usitoe ukiwa na matarajio ya kurudishiwa!
Mwisho, wote wa kiume na wa kike...niwatakie siku njema!
Love is a good thing!!!!