Don't give player a reason

Don't give player a reason

Na mimi nasema hivi....don't give a player the chance to hurt u... Unajitolea kufanya yote hayo mwisho wa siku u get dumped bila hata huruma na huku anatamba 'she is too cheap and stupid' my girl,If you can play dumb just do it....hawa viumbe hawanaga shukrani hata chembe. Timiza majukumu yako ya msingi kama mwanamke na mpe nafasi yake kama mwanaume, mheshimu ila pia heshimu mipaka yako,kama umeamua kufanya ya ziada fanya kwa mapenzi but do not expect something in return....mwisho wa siku kama ipo ipo tu.

saluti kwako...... hawa viumbe waache tu kwani fanya ufanyavyo mwisho wa cku utaonekan c chochote ni km ulikuw unajipendekez kwake.... hawan hat maan hawo
 
Hii sredi mwekundu unatafuta ugomvi na watu tu, maana wako hapa hapa wanakusoma
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom