kumbe hawafai kuolewaNdiyo hivyo...kama hujaoa vigezo vya bure hivyo hapo.
Ukiona demu ni mrefu zaidi yako, una mwaproach ili iweje?
Chapa lala mbele...
I love tall guys though.
5.6"And, are you tall or short.?
Mazee hata uwe na pesa kiasi gani, kuoa mwanamke aliyekuzidi urefu i mean urefu wa kimo pamoja na Elimu lazima akusumbue na utaibiwa sana. Hii ishu kubwa sana kwenye ndoa...ni wanawake wachache sana wanaoweza kuwavumilia wanaume wafupi na ambao wamewazidi elimu...
Na nivitu vinavyoweza kuepukika...
Nadhani niko sahihi, karibu kama una hoja...