Nimeishapaona Mr Rocky.Mzima wewe?
Mzima Honey Faith habari za kwako aise
Huku Dongobesh ni balaa kuna milima na mabonde ya hatari sana
Last edited by a moderator:
Nimeishapaona Mr Rocky.Mzima wewe?
Mzima Honey Faith habari za kwako aise
Huku Dongobesh ni balaa kuna milima na mabonde ya hatari sana
Mengine ni;
Gijal
Hirbadaw
Masquarouda
Quatabradic
Daktara
Basodesh
Endasak
Endaberg
Endagaw
Himit
Masakta
Garlawja
........... mshana jr na Earthmover lawaay? endelezeni...... Majina ya Kihabesh....
Dhambi iliingia ulimwenguni baada ya macho ya mwanaume kutiwa tamaa
Mh huyu dada kama namjua vile, wa dongobesh, niliwahi kusoma naye o-level
mnanionea bure na kunisingizia nimeacha tangu jana usiku
mnanionea bure na kunisingizia nimeacha tangu jana usiku