Yap kaka ni masquaroda. Nimeish dongobesh sana pale uwanja wa mpira jran na ktuo cha polisi..nimewafaid sana kwa macho mabinti wa pale dongobesh na vijiji vya jran kama gidim, tumati na endoji. Nakumbuka pia mabasi maarufu ya pale kama gari za Bayo, Mjomba na Bashnet coach.
Ako saita,umenikumbusha Imboru,mm nilikaa sana Sanu Baray na nilotembelea maeneo mengi sana lama Masoeda,Ginyoda,Dawdi,Aicho, Mongo wa mono,Dumanga,Eshkesh(Yaeda chini),Endagikot,Maretadu,Gidmadoy,Marang,Harrar,Getanyamba,Hydom,Gehandu,Bashay,Labay Khaday,Murray.Wakati huo Mbunge
Yap kaka ni masquaroda. Nimeish dongobesh sana pale uwanja wa mpira jran na ktuo cha polisi..nimewafaid sana kwa macho mabinti wa pale dongobesh na vijiji vya jran kama gidim, tumati na endoji. Nakumbuka pia mabasi maarufu ya pale kama gari za Bayo, Mjomba na Bashnet coach.
Ako saita,umenikumbusha Imboru,mm nilikaa sana Sanu Baray na nilotembelea maeneo mengi sana lama Masoeda,Ginyoda,Dawdi,Aicho, Mongo wa mono,Dumanga,Eshkesh(Yaeda chini),Endagikot,Maretadu,Gidmadoy,Marang,Harrar,Getanyamba,Hydom,Gehandu,Bashay,Labay Khaday,Tlawi,Murray.Wakati huo MbungeMarmo wanagombana na mpwa wake Osaack Bayo,daaa nimekumbuka mbaaaali 2005