Mshana..huko dongobesh nmekaa sana. Kuanzia bashnet, bashay mpaka maskaroda
Mshana..huko dongobesh nmekaa sana. Kuanzia bashnet, bashay mpaka maskaroda
MO11 na utafiti na kabanga na bysange na Kibo10 hebu pitieni hapa
asipaone miss neddy na miss chagga na Honey Faith wala Tized
Haaaaah we mshana jr. Ulikuwa unatafuta nini kwenye himaya yangu? ni wilaya ya Hanang bana, Katesh ni makao makuu ya wilaya. Karibu kwetu, umeona videsiii ?
ni masquaroda... sio maskaroda mkuu. ndipo ninapoishi sasa mkui