Done your proper research?! Kingereza cha ugoko cha Bashite

Hiyo ni broken English
Watanzania wengi inaweza kuwa 90% tunaongea broken English
Shuleni sekondari walimu wanafundisha kwa Kiswahili. Hata somo la Kiingereza linafundishwa kwa Kiswahili
Haswaaa.
 
Halaf majitu majinga huwa yana confidence sana yan; yan hapa Bashite humwambii kitu kuwa English yake mbovuπŸ˜‚πŸ˜‚
Si ndio huwa tunaambiwa huko darasani kwamba ukitaka kujua kuongea kiingereza basi uongea usiogope kukosea ndio utajua kuongea kiingereza, matokeo yake mtu anajenga confidence ya kuongea lugha isivyofasaha.
Mbaya zaidi mtu aliyejenga confidence ya kuongea kiingereza kisicho fasaha ni ngumu sana kujirekebisha makosa anayofanya kwenye kiingereza chake.
 
Wabongo tuna allergy na English. Imagine huyo ni waziri na ana degree! Professor Ndalichako akizungumza ndio utazimia kabisa.
Alizungumza Ulega pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…