KIingereza cha kuongea hiko mkuu, sio cha kusikiliza na kusoma. Hili suala mnalijadili juu juu sana.Sijui kwa nini nchi tunapenda sana kulea ujinga na mediocrity, yani mtu anasoma Kingereza kuanzia primary mpaka degree au PhD na bado hawezi kufanya mezungumzo coherent hata kwa dakika tano tu halafu watu wanachukulia poa tu!
Sie muda mwingi tunatumia kiswahili katika mawasiliano yetu ya kila siku ni tofauti na hao wenzetu.Kama tumeshakubali kwamba sisi hata tukisoma Kingereza hatuwezi basi tuachane nacho kabisa, tusome Kiswahili secondary na chuo kikuu.
Kwa nini Kenya na Uganda wakisoma Kingereza wanakuwa na uwezo mzuri wa kuzungumza??
Tatizo la kutokujua lugha ya kigeni sio tatizo kabisa, nchi zote zilizoendelea Wala hawana mpango na lugha za kigeniView attachment 3591661
Halafu English yake imeishia hapo Ubungo tu hapo ikitokea Magomeni ππππ
Tungeona kama tunavyoona kwenye kiingereza.Nani alisema mtu mwenye elimu akiongea kiswahili kibovu hatumcheki?
Hujaelewa mada, Kaa pembezoniIna maana hizo nchi hawana somo la english katika masomo yao?
Usiwaseme wakenya, nenda huko bukoba au mbeya humo vijijini ukaonane na watanzania ambao kiswahili hawajui na kiingereza hawajui wao ni kihaya na kinyakyusa tu.Kenya waliishobokea English sana ila tazama hivi sasa ENGLISH hawaijui na kiswahili pia hawakijui.
Kwanini aongee na lugha sio yake?Hiyo lugha sio yetu , kinachoshangaza upo busy kumkosoa mtu kwa lugha ambayo sio asilia yake.
Usomi sio kujua kiingereza.
Tazama china, tazama India, Pakistan, Japan ENGLISH wanayoiongea ni mbovu sana ila.....
Kwanini aongee na lugha sio yake?Hiyo lugha sio yetu , kinachoshangaza upo busy kumkosoa mtu kwa lugha ambayo sio asilia yake.
Usomi sio kujua kiingereza.
Tazama china, tazama India, Pakistan, Japan ENGLISH wanayoiongea ni mbovu sana ila.....
Tofauti ni kwamba huyo unaemtetea kaanza kusoma kwa kutumia Kiingereza tangu kidato cha kwanza hadi chuo kikuu na hao Wachina,Wajapan wanatumia lugha zao za taifa kwenye masomo yao.Hiyo lugha sio yetu , kinachoshangaza upo busy kumkosoa mtu kwa lugha ambayo sio asilia yake.
Usomi sio kujua kiingereza.
Tazama china, tazama India, Pakistan, Japan ENGLISH wanayoiongea ni mbovu sana ila.....
Elimu Elimu ElimuNje ya mada,
Hivi kwanini ni rahisi zaidi mtu kukosolewa anapokosea neno la kingereza kuliko kukosolewa pale anapoongea neno/sentensi kwa lugha ya Kiswahili na kukosea?
Mfano unakuta humu JF mtu akisahihishwa kuandika Kiswahili kwa ufasaha anakua mkali!
leo dada
SawaHujaelewa mada, Kaa pembezoni
Hao ndio mliyokuwa mkiwasifia kwa kuwa na confidence ya kuongea kiingereza huko darasani bila kuogopa kukosea kwa kusema kwamba hivyo ndio watajua kuongea kiingereza, matokeo yake wanajenga confidence ya kiingereza brokenl.Tofauti ni kwamba huyo unaemtetea kaanza kusoma kwa kutumia Kiingereza tangu kidato cha kwanza hadi chuo kikuu na hao Wachina,Wajapan wanatumia lugha zao za taifa kwenye masomo yao.
Tatizo ni kwamba elimu yetu ya Pili na vyuoni ni ya Kiingereza, hivyo ni mategemeo yetu, kuwa angekuwa ana kijua hicho kiswa -inglish, tofauti na MTU mwingine aliyesimea lugha nyingine Shule ya upili na vyuoni. Kama Rio Angejaribu Kiswahili akakisea watu wangemuwelewa.Hata ingekuwa ni sehemu ya lazima yeye kuongea kiingereza bado watu wangecheka tu, ndio utamaduni tuliyojijengea. Kiswahili kibovu akiongea mzungu au muhindi huwa hatuna muda wa kucheka tunasikiliza ili kumuelewa na sio kutaka aongee kiswahili kizuri ila linapokuja suala la sisi kuongea kiingereza hapo ndipo ufasaha wa lugha unapozingatiwa.
Hao ndio mliyokuwa mkiwasifia kwa kuwa na confidence ya kuongea kiingereza huko darasani bila kuogopa kukosea kwa kusema kwamba hivyo ndio watajua kuongea kiingereza, matokeo yake wanajenga confidence ya kiingereza brokenl.
Hujaelewa mada, Kaa pembezoni
Duh,View attachment 3591661
Halafu English yake imeishia hapo Ubungo tu hapo ikitokea Magomeni ππππ
Hauwezi kujitetea udhaifu wako kwa sababu nchi nyingine zimekwama.Umeanza kujifunza kuongea kiswahili tangu ukiwa na wastani wa miaka miwili/mtoto hadi miaka mitano uliweza kuongea vema.Kiingereza umejifunza kuanzia ukiwa na miaka minane/darasa la tatu hadi miaka 23 chuoni/miaka 15 kwa wastani.Nini shida hapo kama siyo uzuzu sugu aka ukilaza?Jitetee.Tatizo la kutokujua lugha ya kigeni sio tatizo kabisa, nchi zote zilizoendelea Wala hawana mpango na lugha za kigeni
Dr Makonda alisoma chuo kikuu gani na ana degree gani??Imagine huyo ni waziri na ana degree!
Yeeee...!Yaayaa kuna mihayo gete!Dr Makonda alisoma chuo kikuu gani na ana degree gani??
Si tuliambiwa yeye ni Albert Bashite na alifeli form 2 akaiba jina na vyeti vya mtu mwingine?
Yawezekana alimaanisha "weasel",hatuwezi kujua.π€Aise! Weza badala ya Weather?