Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

Msaada jinsi ya kuaply chuo china kwa certificate ya 4m 4
 
Jibu nzuri sana una G.P.A 4.5 unaitwa oral interview unajikanyaga kanyaga alafu siku hivi washajua kutoka scholarship kwa kuangalia G.P.A ni ujinga wengi sasa wanaangalia uzoefu wa kazi mtu mwenye G.P.A ya 2.5 aliyakaa kazini miaka sita, huwezi mfananisha na mtu mwenye G.P.A ya 4.5 aliyetoks chuo Jana kiutendaji na uelewa wa mambo kuna vitu vingine sehemu ya kazi vinaitaji uelewa ha changamoto ya kazi ujawahi viona popote tangu usome shule

Ushauri tafuteni uzoefu wa kazi scholarship zipo nyingi sana
 
Je tunawezaje zipata hizi scholarships ?? Msaada pls
 
Wadau Mbona kimya humu kwa wajuvi mtujuze updates za scholarships currently
 
Mwenye experience pia ya jinsi ya kupata internships za Agriculture abroad,msaada please
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…