Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

GOOD NEWS KWA WANAWAKE WOTE: SERIKALI IMETANGAZA UDHAMINI WA MASOMO KUSOMEA MASTERS 2019/2020*
*▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬*

*WANAWAKE WOTE WALIOHITIMU VYUO VIKUU-FULLY FUNDED SCHOLARSHIPS KWA UDHAMINI WA BENKI YA DUNIA NA JUMUIYA YA VYUO VIKUU AFRIKA MASHARIKI*
*_____________________________________*

*Vigezo*:
• Uwe mwanamke chini ya umri miaka 35
• Uwe muhitimu wa Chuo kikuu kinachotambulika na TCU
• Na ufaulu uliotajwa

*Scholarships Fully Funded*

*Utapewa Laptop ya kusomea na Vitabu*
*Utapewa Fedha ya matumizi kila mwezi ( Million 1.6 Tshs)*
*Utalipiwa Ada na gharama zote za masomo*
*Utalipiwa Usafiri wa Ndege*
*Utapewa Fedha ya Research*

Scholarships kwa Fani hizi:

*Fani za Uwalimu- Education*
*Fani za Afya- Health Fields*
*Fani za Kilimo- Agriculture*
*Fani za Engineering/ Industry*
*Mathematics*
*Applied Statistics*
*Petrolium*
*Geoscientists*
*Technicians*

*Deadline: June 30,2019*

*Bonyeza Link-download Application Form na APPLY ONLINE*


*Warning : HAKUNA KUFANYA MALIPO YOYOTE KATIKA KU-Apply

*SAIDIA KUSHEA FURSA HII IWEZE KUWAFIKIA WANAWAKE WOTE WENYE UHITAJI WA UDHAMINI NA FURSA HII WATUME MAOMBI YAO MAPEMA*
Msaada jinsi ya kuaply chuo china kwa certificate ya 4m 4
 
Mkuu navyoelewa mimi lazima upate chuo kwanza.kila scholarships inakuwa na vigezo vyake lakini ,tafuta scholarships Halafu angalia vigezo wanavyotaka kama wameweka gpa wanayoitaka utaiona lakini mara nyingi inakuwa na gpa ya kuruhusu kupata chuo,kwenye scholarships awaangalii gpa peke yake mkuu.

,wanamaswali yao mnakuwa mnajaza ya kujieleza ukielezea vizuri unanafasi kubwa ya kupata sasa kama umejielezea vibaya na gpa yako kubwa sizani kama watakubali? Pia kuna kuwa na idadi ya watu wanaowataka.

Kuna baadhi ya vyuo ukimaliza kujaza application ya chuo mwisho kunakuwa na Application’s za scholarships unakuwa unachagua tu kwa kuzipa tick kama utameet vigezo wao watakavyoona wanakupa scholarships.

Na pia experience ya kazi pia inaweza kupapa scholarship .
Kikubwa kuangalia wanataka vigezo gani na pia kujaribu kuomba tu maana kuomba scholarships ni bure ni muda wako tu



Sent from my iPhone using JamiiForums
Jibu nzuri sana una G.P.A 4.5 unaitwa oral interview unajikanyaga kanyaga alafu siku hivi washajua kutoka scholarship kwa kuangalia G.P.A ni ujinga wengi sasa wanaangalia uzoefu wa kazi mtu mwenye G.P.A ya 2.5 aliyakaa kazini miaka sita, huwezi mfananisha na mtu mwenye G.P.A ya 4.5 aliyetoks chuo Jana kiutendaji na uelewa wa mambo kuna vitu vingine sehemu ya kazi vinaitaji uelewa ha changamoto ya kazi ujawahi viona popote tangu usome shule

Ushauri tafuteni uzoefu wa kazi scholarship zipo nyingi sana
 
Jibu nzuri sana una G.P.A 4.5 unaitwa oral interview unajikanyaga kanyaga alafu siku hivi washajua kutoka scholarship kwa kuangalia G.P.A ni ujinga wengi sasa wanaangalia uzoefu wa kazi mtu mwenye G.P.A ya 2.5 aliyakaa kazini miaka sita, huwezi mfananisha na mtu mwenye G.P.A ya 4.5 aliyetoks chuo Jana kiutendaji na uelewa wa mambo kuna vitu vingine sehemu ya kazi vinaitaji uelewa ha changamoto ya kazi ujawahi viona popote tangu usome shule

Ushauri tafuteni uzoefu wa kazi scholarship zipo nyingi sana
Je tunawezaje zipata hizi scholarships ?? Msaada pls
 
Wadau Mbona kimya humu kwa wajuvi mtujuze updates za scholarships currently
 
Mwenye experience pia ya jinsi ya kupata internships za Agriculture abroad,msaada please
 
35 Reactions
Reply
Back
Top Bottom