kama upo Dar Nenda pale British Council Maeneo ya Posta Opposite na Crdb Bank nadhani watakusaidia sana paleHey wakuu ni naombeni kujua ninataka kufanya mitihani ya IELTS, then badae niombe scholarship lakini sijui taratibu za kufata adi nifanikiwe juu ya a dhima yangu tafadhali kwa mwenye uelewa naomba anipe elimu juu ya utaratibu wa kufata na namna ya kutacle mitihan yao
Shukrani sana Kanye.kama upo Dar Nenda pale British Council Maeneo ya Posta Opposite na Crdb Bank nadhani watakusaidia sana pale
Wadau kwa mwenye uelewa wa kuomba scholarship naomba msaada wake nitamlipa kias flan alie tayar aje pm. Document muhim ninazo
Poa mkuuNicheki kwa namba 0625755889
Unataka kuomba Scholarship gani?weka maelezo yako hapa tutakusaidia ili na wengine wapate manufaa..Huna haja ya kumlipa mtu hivi vitu ni vya kusaidiana bure kabisa.Wadau kwa mwenye uelewa wa kuomba scholarship naomba msaada wake nitamlipa kias flan alie tayar aje pm. Document muhim ninazo
Msaada zaidi kwenye kupata scholarship na admission katika vyuo ambavyo havihitaj English proficiency tests results Kama IELTS au TOEFL . Vyuo ambavyo WanaRecognize English ya waliosoma undergraduate kwa kutumia English as medium of instructions .Unataka kuomba Scholarship gani?weka maelezo yako hapa tutakusaidia ili na wengine wapate manufaa..Huna haja ya kumlipa mtu hivi vitu ni vya kusaidiana bure kabisa.
Kwanza nikuulize kwanini unagopa kufanya TOEFL/IELTS?kifupi ili kupata scholarship nzuri hizo papers hazikwepeki na huo ni ukweli,tafuta pesa jiandae,weka mikakati ya kusoma na utapata hiyo 6.5(IELTS) au 90(TOEFL).Msaada zaidi kwenye kupata scholarship na admission katika vyuo ambavyo havihitaj English proficiency tests results Kama IELTS au TOEFL . Vyuo ambavyo WanaRecognize English ya waliosoma undergraduate kwa kutumia English as medium of instructions .
msaada plss.
Esp scholarship za management kwa upande Wa afya.
Nenda International School of Tanganyika.Mwenye taarifa center za kufanyia toefl anijuze,kwa hapa dar
Tembelea www.etc.org fanya usajili chagua inchi uliopo utaona vituo vya kufanyia huo mtihani na tarehe husika pamoja na ada yake vituo vipo mikoa mitatu Moshi, Arusha na Dar es salaam so utachagua wewe tarehe unayoona inafaaHey wakuu ni naombeni kujua ninataka kufanya mitihani ya IELTS, then badae niombe scholarship lakini sijui taratibu za kufata adi nifanikiwe juu ya a dhima yangu tafadhali kwa mwenye uelewa naomba anipe elimu juu ya utaratibu wa kufata na namna ya kutacle mitihan yao
Soma hiyo comment hapo juu kila kitu kipo hapo.Natafta sponsorship kwa masomo ya masters interested course in parasitology msaada namna ya kupata sponsors.
Natanguliza shukran
Mkuu hiyo link ina walakiniTembelea www.etc.org fanya usajili chagua inchi uliopo utaona vituo vya kufanyia huo mtihani na tarehe husika pamoja na ada yake vituo vipo mikoa mitatu Moshi, Arusha na Dar es salaam so utachagua wewe tarehe unayoona inafaa
Ngoja nipitie nikuletee hapaMkuu hiyo link ina walakini
Ngoja tupitie hapaKwanza nikuulize kwanini unagopa kufanya TOEFL/IELTS?kifupi ili kupata scholarship nzuri hizo papers hazikwepeki na huo ni ukweli,tafuta pesa jiandae,weka mikakati ya kusoma na utapata hiyo 6.5(IELTS) au 90(TOEFL).
Ila kwa haraka haraka ,kuna scholarships hapa ambazo unaweza kupata bila hiyo mitihani;
1.E&M OF Mancherster University.
International master’s scholarships for Tanzania students | The University of Manchester
2.Swedish Institute Scholarship
Swedish Institute Study Scholarships (SISS) | Swedish Institute
3.Australiaawardsafrica
Home
TOEFLWadau msaada please kati mtihani wa TOEFL na IELTS upi mtihan rahis?