Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

Hey wakuu ni naombeni kujua ninataka kufanya mitihani ya IELTS, then badae niombe scholarship lakini sijui taratibu za kufata adi nifanikiwe juu ya a dhima yangu tafadhali kwa mwenye uelewa naomba anipe elimu juu ya utaratibu wa kufata na namna ya kutacle mitihan yao
 
kama upo Dar Nenda pale British Council Maeneo ya Posta Opposite na Crdb Bank nadhani watakusaidia sana pale
 
Wadau kwa mwenye uelewa wa kuomba scholarship naomba msaada wake nitamlipa kias flan alie tayar aje pm. Document muhim ninazo
 
Unataka kuomba Scholarship gani?weka maelezo yako hapa tutakusaidia ili na wengine wapate manufaa..Huna haja ya kumlipa mtu hivi vitu ni vya kusaidiana bure kabisa.
 
Msaada zaidi kwenye kupata scholarship na admission katika vyuo ambavyo havihitaj English proficiency tests results Kama IELTS au TOEFL . Vyuo ambavyo WanaRecognize English ya waliosoma undergraduate kwa kutumia English as medium of instructions .
msaada plss.
Esp scholarship za management kwa upande Wa afya.
 
Kwanza nikuulize kwanini unagopa kufanya TOEFL/IELTS?kifupi ili kupata scholarship nzuri hizo papers hazikwepeki na huo ni ukweli,tafuta pesa jiandae,weka mikakati ya kusoma na utapata hiyo 6.5(IELTS) au 90(TOEFL).
Ila kwa haraka haraka ,kuna scholarships hapa ambazo unaweza kupata bila hiyo mitihani;
1.E&M OF Mancherster University.
International master’s scholarships for Tanzania students | The University of Manchester

2.Swedish Institute Scholarship
Swedish Institute Study Scholarships (SISS) | Swedish Institute

3.Australiaawardsafrica
Home
 
Hey wakuu ni naombeni kujua ninataka kufanya mitihani ya IELTS, then badae niombe scholarship lakini sijui taratibu za kufata adi nifanikiwe juu ya a dhima yangu tafadhali kwa mwenye uelewa naomba anipe elimu juu ya utaratibu wa kufata na namna ya kutacle mitihan yao
Tembelea www.etc.org fanya usajili chagua inchi uliopo utaona vituo vya kufanyia huo mtihani na tarehe husika pamoja na ada yake vituo vipo mikoa mitatu Moshi, Arusha na Dar es salaam so utachagua wewe tarehe unayoona inafaa
 
Natafta sponsorship kwa masomo ya masters interested course in parasitology msaada namna ya kupata sponsors.
Natanguliza shukran
 
Kwanza nikuulize kwanini unagopa kufanya TOEFL/IELTS?kifupi ili kupata scholarship nzuri hizo papers hazikwepeki na huo ni ukweli,tafuta pesa jiandae,weka mikakati ya kusoma na utapata hiyo 6.5(IELTS) au 90(TOEFL).
Ila kwa haraka haraka ,kuna scholarships hapa ambazo unaweza kupata bila hiyo mitihani;
1.E&M OF Mancherster University.
International master’s scholarships for Tanzania students | The University of Manchester

2.Swedish Institute Scholarship
Swedish Institute Study Scholarships (SISS) | Swedish Institute

3.Australiaawardsafrica
Home
Ngoja tupitie hapa
 
35 Reactions
Reply
Back
Top Bottom