Joh mcCain
Member
- Dec 12, 2014
- 6
- 0
Wakuu habari ya muda....
Nimefungua uzi huu ili tuweze kupeana dondoo za jinsi ya kutafuta na hatimaye kupata ufadhili wa masomo nje ya Tanzania.
Tuweke matangazo ya nafasi za masomo kokote nje ya Tanzania, tupeane maelekezo na hatimaye wengi wetu tutoke na kwenda kujifunza dunia inaendaje upande mwingine wa Dunia.
Nitakuwa mstari wa mbele kutoa updates na maelekezo kadiri nitakavyoweza....
Karibuni sana!
Mkuu nifanyeje nipate scholarship ya PhD ya Open hapa hapa Bongo??? Nipeni njia wakuu.....Wakuu habari ya muda....
Nimefungua uzi huu ili tuweze kupeana dondoo za jinsi ya kutafuta na hatimaye kupata ufadhili wa masomo nje ya Tanzania.
Tuweke matangazo ya nafasi za masomo kokote nje ya Tanzania, tupeane maelekezo na hatimaye wengi wetu tutoke na kwenda kujifunza dunia inaendaje upande mwingine wa Dunia.
Nitakuwa mstari wa mbele kutoa updates na maelekezo kadiri nitakavyoweza....
Karibuni sana!
Jaribu kuangali nchi ambazo hazihitaji hicho cheti...ulaya ni kubwa sana na kila nchi inataratibu zake.Habarini wakuu? Mie nimehitimu mwaka huu Bachelor of Electronic science and communication apo Chuo kikuu cha Dar es salaam nimepata Wastani wa GPA 4.1, vipi wakuu naweza pata scholarship za kusomea masters nchi za ulaya bila kusomea na kua na cheti chao cha Englih Test kutoka British council maana sina uwezo wa kumudu gharama zake
\Habari?lengo langu kusoma kozi ya afya nje ya nchi msaada wa sponsor plz!
Mkuu niruhusu nami nikuchek nahtaji scholarship nikasome masters ya finance and economics je naweza kukuchek kwa msaada zaidi?\Habari?
Scholarship zipo za nchini China tunatoa na pia nafasi ni chache fanya kuwasiliana nasi 0653077677
WKuna scholarship kwa ajili ya equivalent ya forms 5 na 6 zitolewazo na International School of Tanganyika.
Cheki hapa: International School of Tanganyika: IB Diploma Scholarship