Asilimia kubwa ya wakazi wa magomeni hujihusisha, walijihusisha au ndugu yao anajihusishaWaislam wengi wa Magomeni na sehemu zingine Dsm wametajirika kwa kuuza madawa ya kulevya
yap nipe conectionunaweza kuwa mpunda mzee
Kipindi cha JPM ilikuwa inaundwa team maalum ya ulaji. JPM alikuwa anataka watu maalum ndo wahusike na upigaji wa hela na dili haramu sio kila mtu anajipigia. Mwisho wa siku hao watu aliowachagua walikuja kumwangusha vibaya sana. Madawa yalikuwepo na ubadhirifu pia ulikuwepo lakini ni kwa watu maalumu tu.Shikuba mbona yuko nje muda kidogo, kijana wake Tikotiko naye yuko kitaa muda pia.. salama yake ni kwenda kuhukumiwa USA, angejaa kwa yule Mwamba JPM angenyolewa kama yule mwenzie wa Tanga Yanga Omar.. JPM ndiye alikuwa kiboko yao hawa.
Sasa hivi mdebwedo tu, naamini siku si nyingi yule jamaa wa migomigo kingpin mwingine Chonchi naye atakuwa huru maana mpaka sasa hajahukumiwa, naona wanatafuta njia wamteme.
Vijana kwasasa wanabinjuka tu, ni kama lango liko wazi, njia zote zinapitika.
Kwani mtu anaweza kutumia kitu ambacho hakipo na hakipatikani? Na ukishaonja unapata addiction (uraibu) , na hapo hata usipotaka, ule uraibu (arosto) inakulazimisha kutumia.Kwani mkubwa mtu analazimishwa kuvuta hiyo midude si hiyari yake mwenyewe
Kwani mtu anaweza kutumia kitu ambacho hakipo na hakipatikani? Na ukishaonja unapata addiction (uraibu) , na hapo hata usipotaka, ule uraibu (arosto) inakulazimisha kutumia.
Noma sana!Magomeni, sinza au kinondoni utapata koneksheni chap.
Katumia unga bila kushikiwa bunduki,kiba,ay,FA,ladyjd mbona hawakutumia unga...huyo muache avune alichopandaHawa ni wa kupiga risasi, oneni walichomfanya Chidbenz
Yard za wapakistanSi unaona yard nyingi za magari za mapaka zinafumuka tu,wale sasa ndy wenyewe ehhh...
Ova
Bora kuhukumiwa miaka 20 ulaya au USA kuliko kufungwa miaka 3 Africa..Ali Khatib Haji Hassan almaruf a.k.a “Shkuba” ahukumiwa miezi 99 jela mwaka 2019 nchini Marekani baada ya kukutwa na hatia ya kuongoza genge la wauza madawa ya kulevya kimataifa .
9 August 2019
U.S. Attorney's Office, Southern District of Texas
11 Sentenced in Transnational Heroin Trafficking Ring
Houston – A total of 11 men from the countries of Tanzania, Pakistan and Iran have been ordered to federal prison for their part in trafficking multiple kilograms of heroin to the United States from abroad, announced U.S. Attorney Ryan K. Patrick.
Ali Khatib Haji Hassan, 49, Makame Haji Mwinyi, 49, Ernest Michael Mbwile, 35, Abdulahtif Juma Maalim, 43, Ibrahim Omary Madega, 52, Tiko Emanuel Adam, 41, Iddy Saleme Mfullu, 46, Mohammed Said Mohammed, 48, Daud Michael Vedasto, 58, all from Tanzania, previously pleaded guilty as did Salim Omar Balouch, 36, from Iran, and Abdul Basit Jahangir, 40, from Karachi, Pakistan.
On Aug. 7, 2019, U.S. District Judge Sim Lake completed two days of hearings and ordered them all to federal prison.
Jahangir received a 151-month term of imprisonment. Mfullu and Mohammed both received terms of 50 months, while Hassan, Mwinyi, Mbwile, Maalim, Madega, Adam and Vedasto, were ordered to serve 99, 62, 52, 46, 87, 37 and 46 months, respectively. The court imposed a 135-month sentence for Balouch. Not U.S. citizens, they are all expected to face deportation proceedings following their sentences.
This case began with the arrest of an internal body carrier at Houston’s Bush Intercontinental Airport June 3, 2012. That defendant had swallowed 1.5 kilograms of heroin packaged in 100 pellets.
The investigation eventually led to the charging of 15 defendants, including two Consolidated Priority Organization Targets, one U.S. Treasury Department designated “King Pin” and seizures of approximately 1,600 kilograms of heroin.
This investigation not only touched the United States, but also Canada, Afghanistan, Pakistan, Iran, South Africa, Tanzania, The Republic of Seychelles, Hong Kong, Australia, Oman, United Kingdom (UK), Italy, Brazil, United Arab Emirates, South Korea, Mozambique, The Netherlands and Saudi Arabia.
Thirteen have pleaded guilty. Two remain fugitives.
Immigration and Customs Enforcement’s Homeland Security Investigations (HSI) conducted the Organized Crime Drug Enforcement Task Force Investigation dubbed Operation Diver Down with assistance from other HSI offices domestic and foreign, Drug Enforcement Administration, South African Police Service, Dubai Police Department, Royal Oman Police, UK National Crime Agency, Royal Canadian Mounted Police and Australian Federal Police.
Assistant U.S. Attorney Richard Magness is prosecuting the case.
Source : 11 Sentenced in Transnational Heroin Trafficking Ring
Wagalatia kwa kupenda sadaka, mkisikia mtu ana hela mnataka awape sadaka bila kujali ni mfuasi wa muddy au muuza madawa ya kulevya. Nyie mnaangalia hela tuu acheni tamaa.Kama ni kweli Leo aende kanisani ibada ya kwanza akamtolee Mungu shukrani
Ndio kwasababu Dar es salaam ni mji wa kiislamu ndo maana unaona majina ya waislam yanajirudia rudia ni sawa ni kunasibisha wakristo wa makete na uchawiWaislam wengi wa Magomeni na sehemu zingine Dsm wametajirika kwa kuuza madawa ya kulevya
acha madawa mkuu yanabungua akili zako.Kipindi cha JPM ilikuwa inaundwa team maalum ya ulaji. JPM alikuwa anataka watu maalum ndo wahusike na upigaji wa hela na dili haramu sio kila mtu anajipigia. Mwisho wa siku hao watu aliowachagua walikuja kumwangusha vibaya sana. Madawa yalikuwepo na ubadhirifu pia ulikuwepo lakini ni kwa watu maalumu tu.
Mbona yupo nje mda mrefu, yule anakuwaga mbuzi wa kafara miaka yoteNdani mule hatari ....
Mzee wang mtama yupo huko migo
Jmn
Ova
Pia atoe Fungu la Kumi. Ha ha ha.Kama ni kweli Leo aende kanisani ibada ya kwanza akamtolee Mungu shukrani
Nilikuwa kwenye system hauniambii kitu kuhusu JPM. Naongea kitu nachojua kwa uhakika wa asilimia 100. Mpaka nyakati za mwisho wa maisha yake hela hamna mpaka Rostam ikabidi arejeshwe nchini kwa kumfungulia kesi kaka yake.acha madawa mkuu yanabungua akili zako.
waulize watu wa karibu kuhusu jpm usisikilize story zake kutoka kwa watu wanamjua kwa kuwaangalia akina bashite.
Kwamba rostam alipokuja sasa ndio hela ikaanza kupatikanaNilikuwa kwenye system hauniambii kitu kuhusu JPM. Naongea kitu nachojua kwa uhakika wa asilimia 100. Mpaka nyakati za mwisho wa maisha yake hela hamna mpaka Rostam ikabidi arejeshwe nchini kwa kumfungulia kesi kaka yake.
Fuatilia uzinduzi wa Taifa gas na kuanza ku-export gas yetu nje ya Tanzania. Hela ilianza kuingia kutoka nje. JPM alifurahi hadi akampa kiwanda cha ngozi Morogoro.Kwamba rostam alipokuja sasa ndio hela ikaanza kupatikana