Curtiz
JF-Expert Member
- Oct 1, 2021
- 1,312
- 2,480
Aseee, ni balaaa.....sema shkuba inaonekana sio mtu wa mitandao....hta picha zake nyingi zilionekana baada ya kukamatwa....ni balaaa alooo.....sasa imagine wale smart dealers ambao hawapo kabisa na mitandao, wao wanaishi tu huko kwny mijengo yao....tena wapo ambao wanasurvive kwa kuwa lowkey kabisa hta hawajulikani shida wakina sie tukizpataaaTiko ni chawa wa Shkuba imagine shkuba anaishije
