Naamini walicooperate, wamewataja wakubwa zao na njia zao in exchange kwa kupunguziwa muda. Au labda sielewi naona kama wamekaa muda mfupi sana.
Ndio hukumu iliyotoka USA, USA hizi kesi sio issue kama huku, ndio maana waliforce waende kunyolewa USA.
USA utafungwa miaka mingi tu kama uko involved na kidnaping and murdering of people within either the business circle au nje ya circle wale informer na wanoko wengine.
Elchapo na swaiba wake Zambada wanaweza kuozea jela maana wameua, wameumiza na kuteka watu wengi sana, lakini pia wanaendesha mtandao mkubwa sana ndani ya USA yaani wao ni kingpins ndani ya USA japo waliishi Mexico, lakini wana franchise all over Europe.
Shikuba na kijana wake Tikotiko ni just smuggler tu wanaotegemea mabosi huko USA na kwingineno lakini sio kingpins kiviiile huko ughaibuni, kwa hapa Bongo, YES jamaa alikuwa one of the god father, SA pia ni smuggler tu just a smuggler tu mwenye connection na some kingmakers.
It's dangerous to be informer, maana kutoa siri za wale tycoon maana yake umejihukumu kifo.
Inasemekana mtoto wa Elchapo ndiye alimuuza Zambada ( the co-founder and one of the tycoon in Sinaloa cartel) kwa DEA ya USA na FBI jamaa akajaa nyavuni, hii ilileta shida sana Mexico na Kwa usalama wa dogo inabidi aendelee kukaa jela USA, japo nao walikuwa wanamshutuma Zambada kwa kumuuza Elchapo kwa USA.
Underworld life is very dangerous to be the snitch/informer maana hukumu yake ni kifo na unakuwa the working dead body.
All in all life is good kwa wauza roho, they are shining in town and making our sisters enjoy the holidays, uncountable vacations in Dubai, turkey etc.. the music industry is booming now, wasanii usanii unalipa sasa, nchi imefunguka. Cheers.