Don Shkuba Yupo Huru

Don Shkuba Yupo Huru

anasema alirejeshwa baada ya pesa kukosekana😂😂.
wakati huo anadai madawa bado yalikuwepo,sijui walikuwa wanauza kwa bei ya hasara!
Hela ya madawa haingii serikalini hio ni hela ya inaingia mikononi mwa watu wachache wafanye wanachotaka. Serikali ilikuwa haina hela ila viongozi wanazo utawalazimisha viongozi watoe hela zao walizopiga kufanya maendeleo. JPM alikuwa kiongozi mzuri lakini kasoro yake kubwa na iliyomuangusha ni Unafiki. Ukiwa mnafiki unawavuta wanafiki wawe karibu yako kuna kipindi alikosa mtu wa kuteua mpaka Bashiru Ally alipewa vyeo viwili. JPM alijifunza mengi sana kipindi cha mwisho wa maisha yake although it was too late. Lakini cha ajabu CCM bado haijajifunza na makosa yake. Bado Serikalini Teuzi zinafanyika kishabiki, nchi ni kubwa sana kuongozwa na mawazo ya mtu mmoja peke yake. Inabidi uwe na team inayokuchallenge, na kukupa mwongozo wa upande mwingine wa shilingi. Kwangu mimi natamani Tanzania iendelee hivi hivi ije kuwa kama Congo ili nikirudi nipige hela vizuri kwa raha. Na tukifikia status ya Congo itakuwa Rahisi kwa wanaotaka kuzamia Ulaya. Tunaelekea kuwa a failed state haijalishi tuwe na rais wa aina gani. Kikwazo kikubwa cha maendeleo ni mfumo na si mtu(Rais).
 
Chei Chei Waungwana

Muna Habari Yoyote Kuwa Shkuba Yupo Huru ?

Kwa Taarifa zilizonifikia wakati huu kuwa Tajiri Shkuba kamaliza kifungo chake cha miaka minne na sasa yupo huru na yupo nchini hapa
Mwenye update anaweza kushare na sisi pia kuhusu Tycoon Shkuba






View attachment 2838150
Those who know don't talk. Those who talk, don't know.

Capo di Tutti Capi.La Cosa Nostra. Omerta
 
Chei Chei Waungwana

Muna Habari Yoyote Kuwa Shkuba Yupo Huru ?

Kwa Taarifa zilizonifikia wakati huu kuwa Tajiri Shkuba kamaliza kifungo chake cha miaka minne na sasa yupo huru na yupo nchini hapa
Mwenye update anaweza kushare na sisi pia kuhusu Tycoon Shkuba






View attachment 2838150
Sura km nguruwe... Mtafute Lucas Mwashambwa umuoe
 
Kipindi cha JPM ilikuwa inaundwa team maalum ya ulaji. JPM alikuwa anataka watu maalum ndo wahusike na upigaji wa hela na dili haramu sio kila mtu anajipigia. Mwisho wa siku hao watu aliowachagua walikuja kumwangusha vibaya sana. Madawa yalikuwepo na ubadhirifu pia ulikuwepo lakini ni kwa watu maalumu tu.
Na source zenu za "trust me broooo......".
 
Back
Top Bottom