Don Shkuba Yupo Huru

Don Shkuba Yupo Huru

Kukamatwa ni ajali kazini tu .
Wauza unga ni majasusi haswaa
Sikuamini mwaka huu tulikutanishwa na brother etu aliondoka miaka 30 iliyopita...

Duu hao jamaa wana unit na mtandao very strong đź’Ş

Tulikabidhiwa brother etu akiwa dhaifu ila ana mabegi ya nguo za gharama na viatu vya gharama sanaa

Hapo magomeni, mwananyamala na kinondoni sio poaa

Ningeweka nickname yake hapa ila ngoja nimhifadhi..
 
Tiko tiko alivotoka tu, mipicha mipicha kama yte. Sema jamaa anaishi vzuri sana anaoenekana, yale mambwa sio mchezo mbka yanatisha. Naona mtaani sasa watajua hawajui na kubwa lao nae yupo out.... weeee

Ova
 
Tiko tiko alivotoka tu, mipicha mipicha kama yte. Sema jamaa anaishi vzuri sana anaoenekana, yale mambwa sio mchezo mbka yanatisha. Naona mtaani sasa watajua hawajui na kubwa lao nae yupo out.... weeee

Ova

Tiko aliwahi kutoka mapema sana yeye alikaa mwaka na miezi kama 7 hivi we unadhani ameacha kufanya hii biashara yenye Asali ya utamu
 
Wenzetu Kesi ya watuhumiwa 11 inasikilizwa siku mbili tu na kutia watu Hatiani.

Hawakamati mtu kwanza bila uchunguzi kuwa umekamilika pakubwa, kwetu mfumo wa haki jinai unakurupuka kwa tetesi kumkamata mtu na mbaya zaidi hata kupata ushahidi juu ya tuhuma hizo hawana weledi wala rasilimali watu mahiri wa kupata ushahidi kupitia kazi ya upelelezi

Tanzania extradites three drug trafficking suspects to U.S.​


Tanzania on Wednesday extradited three suspects accused of drug trafficking to the U.S.

The three, including an alleged drug kingpin, as wanted in the U.S. on narcotics trafficking charges, the U.S. embassy said.

The embassy said in a statement that the arrests of the three suspects, Ali Khatib Haji Hassan, also known as Shkuba, and his two associates Iddy Salehe Mfullu and Tiko Emanual Adam, was the result of collaboration between Tanzanian and U.S. security, law enforcement and justice agencies.

Tanzanian President John Magufuli launched a drive against narcotics in February, reflecting growing international concerns that East Africa is being used as a hub by drug traffickers.

Hassan is reported to have been arrested by Tanzanian authorities in 2014 for smuggling more than 200 kilograms of heroin.

The U.S. Treasury Department said last year that Hassan was a major international drug kingpin who smuggled multi-tonne shipments of heroin and cocaine to Africa, Europe, Asia and North America via his East Africa-based drug trafficking organisation.

The Tanzanian national is also accused of overseeing an extensive drug network in Latin America that distributed South American cocaine into East Africa, before being shipped into Europe and China, according to investigators
1702226837580.png
 
Hawakamati mtu kwanza bila uchunguzi kuwa umekamilika pakubwa, kwetu mfumo wa haki jinai unakurupuka kwa tetesi kumkamata
1702227582161.png

Baadhi ya gari kali za watuhumiwa zikiwa kituo cha polisi
1702228383547.png

1702228438034.png

PRESS RELEASES

Treasury Sanctions Tanzanian Kingpin and his East Africa-Based Drug Trafficking Organization​


March 9, 2016
(Archived Content)

Action Targets the Hassan Drug Trafficking Organization, a Key Cocaine and Heroin Smuggling Organization

WASHINGTON – Today, the U.S. Department of the Treasury’s Office of Foreign Assets Control (OFAC) identified Tanzanian national Ali Khatib Haji Hassan (a.k.a. “Shkuba”) and the Hassan Drug Trafficking Organization as significant foreign narcotics traffickers pursuant to the Foreign Narcotics Kingpin Designation Act (Kingpin Act). Hassan is a major international drug kingpin who smuggles multi-ton shipments of heroin and cocaine to Africa, Europe, Asia, and North America via his East Africa-based drug trafficking organization. As a result of today’s action, all assets of Hassan and his organization that are within U.S. jurisdiction or that are in the control of U.S. persons are frozen, and U.S. persons are generally prohibited from engaging in transactions with them.

After an intensive two-year manhunt, Hassan was arrested in 2014 by Tanzanian authorities for smuggling approximately 210 kilograms of heroin, which was seized in January 2012 in Lindi, Tanzania. Hassan has frequently attempted to bribe African government officials to avoid arrest and prosecution for his drug trafficking activities.

“Today’s action imposes sanctions on Ali Khatib Haji Hassan and his illicit drug trafficking network for smuggling heroin and cocaine around the world and seeking to use their illicit profits to bribe African government officials,” said OFAC Acting Director John E. Smith. “Narcotics traffickers like the Hassan Drug Trafficking Organization pose a significant threat to the international financial system and regional stability, and Treasury remains committed to exposing and targeting those fueling the global drug trade.”

The Hassan Drug Trafficking Organization obtains multi-ton quantities of heroin from sources in Southwest Asia as well as multi-ton quantities of cocaine from South American suppliers. Since at least 2006, Hassan has directed members of his network to send shipments of heroin to destinations including China, Europe, and the United States. Hassan served as the primary distributor for Tanzania-based drug traffickers who regularly received multi-hundred kilogram maritime shipments of heroin from the Makran coast of Pakistan and Iran. Hassan also oversaw an extensive drug network in Latin America that distributed South American cocaine into East Africa en route to Europe and China.

Since June 2000, more than 1,800 entities and individuals have been named pursuant to the Kingpin Act for their role in international narcotics trafficking. Penalties for violations of the Kingpin Act range from civil penalties of up to $1.075 million per violation to more severe criminal penalties. Criminal penalties for corporate officers may include up to 30 years in prison and fines of up to $5 million. Criminal fines for corporations may reach $10 million. Other individuals could face up to 10 years in prison and fines pursuant to Title 18 of the United States
Code for criminal violations of the Kingpin Act.

To see the identifying information relating to today’s actions, click here.

For the report to Congress identifying Ali Khatib Haji Hassan and the Hassan Drug Trafficking Organization pursuant to Section 805(b)(l) of the Kingpin Act, click
 
Tiko aliwahi kutoka mapema sana yeye alikaa mwaka na miezi kama 7 hivi we unadhani ameacha kufanya hii biashara yenye Asali ya utamu
Na tiko yule mnyakyusa mke wake Ana mpunga mrefu pia sema hayuko bongo
Sema all in all hii biashara ina laana
Mwishowe syo mzuri hata hyo shaba
Kutoka jela salaama kuja uraiani aahukuru
Pesa za madawa hata uwe na nyingi lakini kama zinakuzuzua
Utaishia kubaya tu au kifo

Ova
 
Na tiko yule mnyakyusa mke wake Ana mpunga mrefu pia sema hayuko bongo
Sema all in all hii biashara ina laana
Mwishowe syo mzuri hata hyo shaba
Kutoka jela salaama kuja uraiani aahukuru
Pesa za madawa hata uwe na nyingi lakini kama zinakuzuzua
Utaishia kubaya tu au kifo

Ova

Mke wake ni Mzulu kama sikosei na anaish huko huko SA na ana bonge la supermarket huko
 
Back
Top Bottom