Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 7,658
- 3,746
the music industry is booming now, wasanii usanii unalipa sasa, nchi imefunguka. Cheers.🫡🫡🫡🫡
Nlkua najiuliza maswali mengi sana huu usanii wa sasa na maisha yao, umenipa dots nmekuelewa mkuu na ilkua ni obvious tu lazma iwe hvo.
Wengne hta wanavoimba hatuoni au kusema wanafanya vzuri sokoni kivile hamnaaa ila maisha wanaishi sio poa mixa mandinga wanayomiliki sio poa kabisaaa.....kweli nchi imefunguka